UMOJA wa Kiislamu (Istiqama) wamtaka Mufti aache kushambulia vyama vya upinzani

JILE 79 ,, Unachotaka kushangaaa wee nini! lini umeanza kusifia waislam eti oooo "nilitaka kushangaa kuwa waislam ...." kuwa waislam nini? niniiiiiiiiiii ? We huwezi sema viongoz wa kiislam wanaropoka wewe kama nani? hueleweki mara unanawasifu... unajua lakin kawaida ya wenye kuhangaika mara waislamha hawajasoma wanywa kahawa mara leo umewasifu! hatuyumbishwi ,Hatuitaj kusifiwa nawewe wala na waiman yako hata kama we Jile 79 utakuwa ni Bohora ua utakua ni BUdha faham sisi waislam na wajinga wa suplimentary na kujiita umesoma!! tena me nakutaka kama umesoma wewe post transcropt kayo hapa na vyweti na mi kama muislam unaeniita mnywakahawa niweke zangu (Am sory huenda pia hiyo transcript ikawa msamiati ) ila jua waislam hatuitaj kafiri yoyute kujipendekeza kwa kutusifia wala kuongea ongea ili kumuona mwema!! kama mliamua kutu dis we endelea tu!! hatuitaj utu premodify kinafki

Naona umeamua kujitoa akili, hebu sema kama wewe ni msemaji wa waislamu? maana hatukutambui, nadhani ingekuwa vyema ungeongea kama wewe 'msimamo mkali' na si vinginevyo.

Nawapongeza waislamu wote walioungana na Sheikh Yasin Bahama kupinga mashambulizi ya kidini kwa vyama vya upinzani. Taifa letu Tanzania mbele jamani.
 
Duh hii imekaa vizuri CHADEMA watumie fursa hii mapema masheikh kama hawa wanatakiwa kugharamiwa na chama kusamabaza ujumbe Tanzania nzima.
 
Punguza jazba,Maana hoja unazojenga ni kama vile waislamu wote wako mifukoni au mikononi mwako??
Kwa taarifa,Waislamu watakuwa na wataendelea kuwa na misimamo tofauti ya kisiasa siku zote. Huwezi kumlazimisha mtu achukie CDM au CCM kwa sababu ya misimamo yako ya kidini..

Mimi ni member kabla yako, hivyo vitisho ndo nimesema vitakufikisha huko unakotaka kufika. na utakuwa victim wa kwanza.
Mendwa we unais unafunga Acount ? damn !! Ilisha fungwa tena kamwambie bosi wako afunge tena me siitaj kujua wewe kuwa member wa kwanza au wa mwazo Mimi sitishiwi kufungiwa au kufungiwa Account, usijifariji kwa mawazo yatakayo kuridhisha ktk maslai yako!! Me nakuombe Mungu akuweke kisha uyaone haya yanayo mpostiwa yapi yanafanya kazi!! WEWE HUITAJ WALA HUPENDI WAISLAM KUWA NA MAWAZO SAWA YA KISIASA ila mimim kama kiongozi sikuitaj wewe wala wenzio kuitambua misimamo wala kuipenda misimamo ya kiislam bali utaiyona kwa macho

SASA PIGA SIMU WAFUNGE ACCOUNT
Nakuambia waambie wablock account yangu ths tym kwakutofuraishwa na post zangu na kuziwacha post zinazo wafuraisha ambao watakua kinyume na matendo ya waislam tena ya unae isi rafiki yako mpenzi ktk uislam! atakayokupa nayo moyo utashuhudia kama ndiyo utakayo yaona kwa macho yako
sasa BLOCK
 
Naona umeamua kujitoa akili, hebu sema kama wewe ni msemaji wa waislamu? maana hatukutambui, nadhani ingekuwa vyema ungeongea kama wewe 'msimamo mkali' na si vinginevyo.

Nawapongeza waislamu wote walioungana na Sheikh Yasin Bahama kupinga mashambulizi ya kidini kwa vyama vya upinzani. Taifa letu Tanzania mbele jamani.
we Anti-F nakwambia mimi ni kiongozi mwenye kundi kubwa nchi nzima bahati mbaya nina sauti kumliko unaeis katika akili yako!! uongozi wangu utauprove kivitendo
 
Mendwa we unais unafunga Acount ? damn !! Ilisha fungwa tena kamwambie bosi wako afunge tena me siitaj kujua wewe kuwa member wa kwanza au wa mwazo Mimi sitishiwi kufungiwa au kufungiwa Account, usijifariji kwa mawazo yatakayo kuridhisha ktk maslai yako!! Me nakuombe Mungu akuweke kisha uyaone haya yanayo mpostiwa yapi yanafanya kazi!! WEWE HUITAJ WALA HUPENDI WAISLAM KUWA NA MAWAZO SAWA YA KISIASA ila mimim kama kiongozi sikuitaj wewe wala wenzio kuitambua misimamo wala kuipenda misimamo ya kiislam bali utaiyona kwa macho

SASA PIGA SIMU WAFUNGE ACCOUNT
Nakuambia waambie wablock account yangu ths tym kwakutofuraishwa na post zangu na kuziwacha post zinazo wafuraisha ambao watakua kinyume na matendo ya waislam tena ya unae isi rafiki yako mpenzi ktk uislam! atakayokupa nayo moyo utashuhudia kama ndiyo utakayo yaona kwa macho yako
sasa BLOCK

Hakuna anayekuchukia hapa!
Ila mawazo yako ndo tunayoyapima. Wewe endelea kuwa na misimamo yako mikali, ila ujue kabisa, siku zote sio watu wote watakaokubaliana na kila unachokiamini.
Sasa kama hutaki kuwa mvumilivu wa kutofautiana, hata huo uongozi ulio nao utakushinda... sina mamlaka ya kufunga Account za watu.
kuna sheria na taratibu zilizowekwa, na kama ukizivunja basi ujue wahusika watachukua hatua stahili
 
Wadau hili mnalionaje, kuna ukweli wowote? Kama ni kweli basi angalau hawa wamefunguka wanaweza kutusaidia katika harakati za kuukataa udini katika siasa za tanzania (Source Tanzania Daima)

Waislamu wampinga Mufti kuibeba CCM

na Abdallah Khamis, Dodoma

UMOJA wa Kiislamu (Istiqama) Mkoa wa Dares Salaam, umemtaka Sheikh Mkuu nchini, Mufti Shaaban bin Simba, kuacha kuvishambulia vyama vya siasa vinavyoikosoa serikali na badala yake ashughulikie masuala yanayohusu maslahi na matakwa ya Waislamu hasa katika kipindi hiki cha vuguvugu la madai ya Katiba mpya.

Msimamo huo ulitolewa jana na Sheikh Yasin Bahama, kwa niaba ya umoja huo wa mringano wa Kiislamu, wakati akitoa tamko kuhusu mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya na nafasi ya Waislamu katika mchakato huo.

Tamko hilo limekuja ikiwa ni wiki chache tu zimepita tangu Mufti Simba ayalaumu maandamano yaliyofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika mikoa ya Kanda ya Ziwa akisema yanahatarisha amani ya nchi.

Ajenda ya maandamano hayo ilikuwa ni kuishinikiza serikali kuchukua hatua za dharura za kulinusuru taifa liondokane na maisha magumu hasa baada ya kupanda kwa bei za vyakula, bidhaa na huduma mbalimbali ikiwemo umeme, gesi na mafuta.

Sheikh Bahama alisema mufti kama kiongozi wa waislamu wote nchini anapaswa ahakikishe kuwa katiba ijayo inawapa Waislamu fursa na haki za kutosha ikiwa ni pamoja na kuwa na Mahakama ya Kadhi.

“Haya maisha magumu tunayapata wote sasa wanapotokea watu wanaishinikiza serikali ili hali iwe nafuu halafu anatokea mtu anawapinga (Mufti), kwa kweli ni jambo la kushangaza,” alisema.

Sisi kama Waislamu hatuoni tatizo lolote linalofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kuwa ni chama cha siasa cha upinzani, na lengo la vyama vya upinzani ni kuikosoa serikali kwa kuwa ni haki yao kisheria.

Tunawasihi Waislamu wote kwa pamoja tuhakikishe Katiba mpya inakuwa na Mahakama ya Kadhi. ….tushughulike na kudai haki zetu ziingie kwenye Katiba. Tuachane na kutetea CCM na serikali yake, tuachane na kushambulia vyama vya siasa kwani vipo kwa mujibu wa sheria”, alisema Sheikh Bahama.

Walisisitiza kuwa suala la kuwa na Katiba mpya ni muhimu kuliko kuangalia ni chama gani kinaongoza nchi kwa wakati huu, kwani chama kinachoongoza sasa kitafika mwisho wake lakini kama Katiba itakuwa mbovu basi haki na maslahi ya Mwislamu vitaendelea kudhulumiwa siku zote.

Alisema kuwa Waislamu wana madai mengi na ya msingi wanayopaswa kuhakikisha wanatimiziwa kuliko kuangalia kwanini serikali ya CCM inasemwa.

Waliwataka viongozi wote wa kidini nchini kuachana na masuala ya kisiasa na badala yake wawaongoze watu wao katika kufanya mema kwa ajili ya mwenyezi Mungu.
Hakika Istqama wameonyesha nini viongozi wa dini wanatakiwa kufanya,si kukurupuka kama Sheikh mkuu Simba,mie nadhani ifike pahala sasa Taasisi yetu ya kiislam iongozwe na Watu wenye Vision wenye kuleta maendeleo,wenye kuwashawishi Waumini kuudhamini Uislam wao Sheikh Mkuu si kuisaidia CCM bali kuwasaidia Waislam kupata maendeleo kitaaluma Elimu dunia na elimu ahera,maendeleo kiuchumi kwa kutokubali kumkumbatia Mtu anaetumia elimu duni yetu kujipatia maendeleo ikiwa ni pamoja na kutugawa waislamu.hebu tuone sisi tuna shule ngapi za sekondari,vyuo vikuu vingapi? tunahitaji kujiingiza kwenye malumbano ya kisiasa au kushughulikia shida zetu.
 
Hakuna anayekuchukia hapa!
Ila mawazo yako ndo tunayoyapima. Wewe endelea kuwa na misimamo yako mikali, ila ujue kabisa, siku zote sio watu wote watakaokubaliana na kila unachokiamini.
Sasa kama hutaki kuwa mvumilivu wa kutofautiana, hata huo uongozi ulio nao utakushinda... sina mamlaka ya kufunga Account za watu.
kuna sheria na taratibu zilizowekwa, na kama ukizivunja basi ujue wahusika watachukua hatua stahili

Usijifunze kuzoea rahisi tu na jipu kuitwa kipele !! lazima ufaham utofauti wa matatizo na Shida! Nikawaida ya binadam yoyote hupenda njia ya mafanikio kuwa rais hatakama inamdhuru mwenzie bila kuisema ,ila kitalam jila langu "MSIMAMO MKALI" linanifanya kama psychologist kusoma HOW DOEZ THIS NAME IMPLIES THREAT TO YO GUYZ!! eduvativelly pamewekwa prons and cons kwa ajili ya kuwezehsa mambo pakawekwa kitu Oposite ! Oposite ndio challenge kwa viumbe duniani kwa Maelekezo ya Mwenye kukuumba akitaka maisha yako yawe X maranyingi sisi viumbe hutaji pia kuwe na Y ndo maana penye msimamo mkali hapakosi msimamo mpole !!
NAMSHAANGAA SANA ANEOGOPA VITA BARIDI TENA KTK POST HAPA anaambua kublock ila ananipa wasiwas kama ataweza kuimili vita moto!!
Kitaalam huwezi kumpangia Adui silaha za kukupiga bali atakazoona anzeza kukumaliza mara moja ndizo atakazo tumia! tuwe kweli Great thinkerz na sio kuish na slogan bila ku meditate na ku cogitate matokeo yake wengi tuna think
 
we Anti-F nakwambia mimi ni kiongozi mwenye kundi kubwa nchi nzima bahati mbaya nina sauti kumliko unaeis katika akili yako!! uongozi wangu utauprove kivitendo

wewe Ms.Mkali ni kibaraka tu,unafikiri kwa tumbo zaidi na ndio maana hamna anayeungana na hoja zako humu; u tupo jamii nzima ya kitanzania humu JF waislam kwa wakristo; wewe unakimbilia kuvuruga hoja kwa misimamo yako ya kikafri.
 
mi ntasema kweli daima kama nyie ni waislamu mambo yenu yamalizwe msikitini sio kushabikia vitu mnavyoletewa kwenye jf "nini kasema SAW pale weislamu au mashekh wanapopishana hoja ?" mnaletewa hoja chafu za kuwagawa waislmu wenzenu ili mseme fulani anafaa na fulani hafai mnaanza kwenye jf kuleta misemo na hadith zisizofaa, tumalize mambo yetu msikitini, kwani hilo gazeti la kiislamu? hata kama ni kweli kasema yabidi aambiwe mwenzie kakosea basi kuna njia ya kumkosoa. sasa mnajenga tabaka za ushabiki tu ktk jf. ni lini uliona wasiokua waislamu wameleta mabishano au makosa ya viongozi wao hapa jf ? tieni akili mtume SAW watu wamekojoa msikitini kakaa kimya anasubiri watu waondoke ili amfundishe akiwa peke yake "vp sisi tutumie majukwaa kwa kumsifu huyu na kumponda huyu" kumbukeni kauli ya tauhiiid mnayoshea. ALLAH atuongoze wote mimi na wewe na nimetumia njia hii sababu tu siwezi kukufikia ulipo na sipajui lakini tumfuate mtume kama alivyotufunza ili tumtii mola wetu.

Mbona migogoro mingine ya makanisa huandikwakwenye media mara nying tu ile migogoro ya KKKT ilitawala sana hapo nyuma mpaka ikawa inasemeakana kuwa JK ilibidi ai intervene at time kwangu mie "wananchi waambiwe/watahadharishwe pale wanapopotoshwa hata kwenye hizo jumuia za kama tu kuna umuhimu"

Kakobe kaongea sana kuhusu ufisadi...
Lusekelo kampigia saa JK debe ....

Ndugu uhuru wa maoni bwana wacha uendelee kuprevail usiturudishe nyuma tafadhali .......
 
Big up sana kwa kutujuza hili,ni jambo la kufurahia cause kuna watu wanajifanya kujipendekeza CCM wakidhani kwamba itakaa pale milele.Mambo ya dini tuziachie dini na Siasa tuviachie vyama.Nawapongeza hao Waislam kwa hilo.
 
wewe Ms.Mkali ni kibaraka tu,unafikiri kwa tumbo zaidi na ndio maana hamna anayeungana na hoja zako humu; u tupo jamii nzima ya kitanzania humu JF waislam kwa wakristo; wewe unakimbilia kuvuruga hoja kwa misimamo yako ya kikafri.

HAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHA Unafanya nicheke sana na kafiri kama wewe wakati sinaratiba iyo!! UISLAM HAUFUNDISHI BIFU unafundisha amani tena ktk grade ya hali ya juu!1 Sisis vita kwetu niibada kama ilivyo kuingia ktk sala, hata kugombana na wewe ktk post kama izi me nipo katika ibada, SIFA YA IBADA HII ANAELIPA IBADA YAHOJA ZANGU NI MUNGU na SIKUOTAJ anti KUPOST CHOCHOTE CHA KUNISIFIA WALA SIWAITAJ WATU WAKUISIFIA TENA NAPENDA WALE WENYE KUISOMA NA KUWAPA HASIRA KAMA WEWE!! KWANI NAFSI YANGU HUFURAI KADRI UNAVYO CHUKIA UKWELI KWANGU NA KUTAKA KUPEWA MOYO NA WENGINE!! ukija kwa kujifunza utapata nafasi kwangu ila ukija kijinga kwangu nutaondoka TAAHIRA , hutofanikiwa unachotaka kifuatwe hakitofuatwa na mimi wala wenzangu wa lio wengi wenye mapenzi na dini yao na misimamo yao kueshim
 
Nashukuru kama kuna watu mwenye mwanga kama huo ktk dini ya kiislamu. Mie tangu mufti aanze kuibeba ccm nilianza kuona uislam kama ushetani fulani vile!. lakini sasa itabidi nianzekubadilisha mtazamo, kumbe kuna watu huko wenye akili kama huyu sheik. Mufti mzima anashindwa kujua mahitaji ya msingi kwa watanzania? anakubali ku compromise dini yake anaunga mkono propaganda za ccm???!!!. Angekua kiongozi wangu ningeitisha maandamano ya kumwondoa. Kwa hilo mufti hafai kuwa hata kiongozi wa msikiti. shame shame!!!
 
Mimi muislam na nakubaliana na sheikh bahama 100%
kul hakat lau kana murua{sema kweli ijapo kuwa chungu}

mi ntasema kweli daima kama nyie ni waislamu mambo yenu yamalizwe msikitini sio kushabikia vitu mnavyoletewa kwenye jf "nini kasema SAW pale weislamu au mashekh wanapopishana hoja ?" mnaletewa hoja chafu za kuwagawa waislmu wenzenu ili mseme fulani anafaa na fulani hafai mnaanza kwenye jf kuleta misemo na hadith zisizofaa, tumalize mambo yetu msikitini, kwani hilo gazeti la kiislamu? hata kama ni kweli kasema yabidi aambiwe mwenzie kakosea basi kuna njia ya kumkosoa. sasa mnajenga tabaka za ushabiki tu ktk jf. ni lini uliona wasiokua waislamu wameleta mabishano au makosa ya viongozi wao hapa jf ? tieni akili mtume SAW watu wamekojoa msikitini kakaa kimya anasubiri watu waondoke ili amfundishe akiwa peke yake "vp sisi tutumie majukwaa kwa kumsifu huyu na kumponda huyu" kumbukeni kauli ya tauhiiid mnayoshea. ALLAH atuongoze wote mimi na wewe na nimetumia njia hii sababu tu siwezi kukufikia ulipo na sipajui lakini tumfuate mtume kama alivyotufunza ili tumtii mola wetu.

kibokogiziba jifunze kutoka kwa mwenzio inaeonekana ana uwezo mkubwa sana wa kuchanganua mambo kuliko wewe. Pole
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHA Unafanya nicheke sana na kafiri kama wewe wakati sinaratiba iyo!! UISLAM HAUFUNDISHI BIFU unafundisha amani tena ktk grade ya hali ya juu!1 Sisis vita kwetu niibada kama ilivyo kuingia ktk sala, hata kugombana na wewe ktk post kama izi me nipo katika ibada, SIFA YA IBADA HII ANAELIPA IBADA YAHOJA ZANGU NI MUNGU na SIKUOTAJ anti KUPOST CHOCHOTE CHA KUNISIFIA WALA SIWAITAJ WATU WAKUISIFIA TENA NAPENDA WALE WENYE KUISOMA NA KUWAPA HASIRA KAMA WEWE!! KWANI NAFSI YANGU HUFURAI KADRI UNAVYO CHUKIA UKWELI KWANGU NA KUTAKA KUPEWA MOYO NA WENGINE!! ukija kwa kujifunza utapata nafasi kwangu ila ukija kijinga kwangu nutaondoka TAAHIRA , hutofanikiwa unachotaka kifuatwe hakitofuatwa na mimi wala wenzangu wa lio wengi wenye mapenzi na dini yao na misimamo yao kueshim

Tunaweza kujikuta tunajadili hoja na vichaa wa mirembe hapa, kipimo cha kwanza ambacho ningefanya ili kuendelea kujibu hoja zako ni akili; inaonekana una mtindio wa ubongo, la sivyo ni uko-stressed sasa unatafuta pa kupunguzia hasira zako za maisha! Sitapoteza muda wangu kujibu upuuzi wako
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHA Unafanya nicheke sana na kafiri kama wewe wakati sinaratiba iyo!! UISLAM HAUFUNDISHI BIFU unafundisha amani tena ktk grade ya hali ya juu!1 Sisis vita kwetu niibada kama ilivyo kuingia ktk sala, hata kugombana na wewe ktk post kama izi me nipo katika ibada, SIFA YA IBADA HII ANAELIPA IBADA YAHOJA ZANGU NI MUNGU na SIKUOTAJ anti KUPOST CHOCHOTE CHA KUNISIFIA WALA SIWAITAJ WATU WAKUISIFIA TENA NAPENDA WALE WENYE KUISOMA NA KUWAPA HASIRA KAMA WEWE!! KWANI NAFSI YANGU HUFURAI KADRI UNAVYO CHUKIA UKWELI KWANGU NA KUTAKA KUPEWA MOYO NA WENGINE!! ukija kwa kujifunza utapata nafasi kwangu ila ukija kijinga kwangu nutaondoka TAAHIRA , hutofanikiwa unachotaka kifuatwe hakitofuatwa na mimi wala wenzangu wa lio wengi wenye mapenzi na dini yao na misimamo yao kueshim

Bila shaka ni either UISLAM umekushindwa au wewe umeshindwa UISLAM, nafikiri wewe ni mmoja wapo mnaye haribu sifa ya uislam. Haiwezekani katika post hii tu umejichanganya kwamba UISLAM unafundisha AMANI at the same time unatangaza vita na chuki, ???
Tunashukuru tuna waislamu wengi wenye busara na uelewa wa hali ya juu, ila wewe hapa unathibitisha yaliyo kujaza moyoni...
 
Back
Top Bottom