UMOJA wa Kiislamu (Istiqama) wamtaka Mufti aache kushambulia vyama vya upinzani

Ahahahaha, leo nimecheka sana nakushangaa yani wale wote walikuwa Irreligious against Muslim leo tena wanawasifia wakati hawa jamaa siku zote mnawaponda wajinga awajasoma kazi yao kunywa kahawa na kashata. mimi nawaona kama Insubstantial, waislam siku nyingi wanajitambua na Activating siku zote nyie akili zenu zinawatuma Waislam wote ni CCM. sasa sijui leo Provable mmeitoa wapi
 
wewe kamkumbushe sheikh mkuu afuate huo utaratibu wako. Kwani shekh mkuu yeye alitoa kauli msikitini au kwa waandishi wa habari? Hakutoa kwa siri. Alitoa hadharani nao wao nao wamefanya kama yeye alvyofanya. Acha udini wewe. Tumia akili kufikiri. Au wewe mwisalmu bora kuliko mufti.
1. ubora wa mwislamu anaujua yule alomuumba, na nakuthibitishia kua mimi si mbora kuliko mufti, nimeelewa wewe ni mzuri katika hoja pamoja na matusi, ila udini siachi maana ndo asilimia kubwa ya maisha yangu na namuomba ALLAH anizidishie hilo, kwani siko tayari kuwaona watu wenye nia mbaya na dini yangu wakiwagawa waumini kwa njia ambayo tumetahadharishwa nazo na nikakaa kimya. chezeeni dini zetu na wala uislamu hauwahusu.
2. Ntajitahidi kutumia akili alonipa ALLAH kuhakikisha natoa hoja juu ya waumini wasikubali watu wanaotaka kuwafanya kama nyumbu "wawafarakanishe kisha wawale kwa ulaini wakiwa mmojammoja " na kutimiza malengo yao.
3. narudia kauli yangu ya kusema kwamba wanasiasa asilimia tisini na ukitaka ongeza zilizobaki ni waongo na siko tayari kuona dalili hii ya kinafiki ikigawanya umma wa waumini "wao nia yao ni dola tu na uchumi hata damu ya watu wako tayari" tumeiona mifano mingi tu sina haja ya kuitaja. ulafi wa wanasiasa usisababishe waumini kusahau kua wanafunga swafa pamoja na kusema kalima moja. yapo mambo yanayothibiti kututenganisha tena ni mazito. sio chai za hawa wanaoendeshwa na matamaniyo ya nafsi ("hawa ni kama wanyama na wanyama ni bora kuliko wao" kayasema haya ALLAH mwenyewe katika surat FURQNI,) acheni kushadadia masheikh tafuteni hoja zenu bwana!
 
mhu, i beg to differ, Mufti kakemea juhudi za chama cha siasa hadharani, shurti aliyekerwa na jambo hili akemee hadharani pia. Ni vema waislam mtamke waziwazi kuwa mufti anachanganya dini na siasa. Badala ya kutumia cheo chake kuhimiza dini na maslahi ya wenye dini anatumia kiti chake vibaya kwa kulinda maslahi ya wanasiasa- hanabudi kukemewa hadharani. Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir.
kama wewe ni muumini nkushauri uende kwa sheikh wako, au tizama vitabu vyako vya dini, na urejee hiyo takbiiir inatolewa wakati gani! kisha uone kama una haki ya kuitumia hapo!
hili jambo ninaloliongea mimi ni la msingi na cha kushangaza zaidi manafanya masihara, sijui kama ndugu wewe ni muislamu lakini umma utapoparaganyika sijui tutajibu nin kwa ALLAH sisi tuloliona na tukaanza kulishabikia hili kwa chini chini "kosa haliondoki kwa kulipizia kosa" hayo ni maneno ya mtume SAW kama wafurahia hii hali ya kusutana, na kupata mashabiki wa huku na kule. mimi nimekumbeusha malaika wameshudia vidole vyangu. ALLAH akupe nuru zaidi na mchana mwema.
 
We sjui ndo AVATAR sjui Seniao member mimi siandiki post ili nisomeke na wewe au na wenye IQ ndogo kama yako, ila mshukuru Mungu kwa hako ka IQ cha kutoisoma ana kutoelewa my post...usihofu nitakapo kubadilishia LUGHA na nikanena kwa vitendo na wewe... Akili za wenzio wenye perspection kama yako wanataka wooooooooooote kweye forum nzima tufuate mtazamo mno uitaj wa post na kwenda kinyume mnachukua hatua za kublock account ya aliepinga mawazo yenu.........Sisi kitaalam TUNAFUNDISHWA KUFUTA IDEAR YA MTU NA SI KUFUTA ACCOUNT KAMA INAVYO FANYIKA, huenda ilionekana ni njia ya kuzima kinachosemwa lakin , fahamu kwamba mtu anapo kaa uchi wewe kuziba Macho bado hujamfunika ktk uchi anao onekana nao....! YANGU ILIFUNGWA na ikawachiwa sasa MWAMBIE Boss wako kama nae hatoisoma WALA KUIELEWA POST YANGU Afunge tena Account yangu ila Hatofanikiwa kufunga na kublock vitendo vya msimamo wa post zangu na NGUVU YA MSIMAMO WANGU KTK IIMAN ATAIELEWA PALE ktk battle field wether ya cold war au Ground fghtng rebellion.

NATARAJIBAADA YA POST HII KUFUNGIWA ila yangu yazingatiwe ktk akilli yako!!
UR FREE TO BLOCK MY ACCOUNT right now
Nakutuma we Avatar Mwambie BOss WAKO ANIBLOCK, Mshawish mpaka afanye ivyo haraka iwezekanavyo
 
nimefurahia hili maana ukombozi wa nchi zidi ya majanga ya ukabila , ufisadi na ujuma yamali za umma ni owte saote bila kujali dini, hivyo yatypasa kuungana kupinga mabaya, mmeona NAPE anayoyakemea akiwa ndani? huyu Mufti aachane na upambe Nuksi naye Ajiuzuru kwa Kujivua Gamba kama makamba na el, ra
 
hilo ndilo neno!mufti haoni aibu waislam kutokua na hospital hata moja ya waislam na chuo kikuu kimoja tena hakipo chini ya bakwata leo anathubutu kuitetea ccm?angejiuliza kwa nini jamii ya kiislam imekua nyuma ktk huduma za jamii,ni wazi chanzo ni utawala wa tanu kisha ccm!
 
Nilitaka kushangaa kuwa ni kweli waislamu wote hawana akili timamu kwa hiyo wanakubali kutumiwa kirahisi hivyo na kikwete na ccm?.............
Kama kweli kasema hivyo basi huu ni mfano wa kuigwa na sio kuropoka hovyo km wafanyavyo baadhi ya viongozi wa waislamu kwa maslahi yao binafsi
JILE 79 ,, Unachotaka kushangaaa wee nini! lini umeanza kusifia waislam eti oooo "nilitaka kushangaa kuwa waislam ...." kuwa waislam nini? niniiiiiiiiiii ? We huwezi sema viongoz wa kiislam wanaropoka wewe kama nani? hueleweki mara unanawasifu... unajua lakin kawaida ya wenye kuhangaika mara waislamha hawajasoma wanywa kahawa mara leo umewasifu! Hatuitaj kusifiwa nawewe wala na waiman yako hata kama we Jile 79 utakuwa ni Bohora ua utakua ni BUdha faham sisi waislam hatuyumbishwi na wajinga wa suplimentary na kujiita umesoma!! tena me nakutaka kama umesoma wewe post transcropt kayo hapa na vyweti na mi kama muislam unaeniita mnywakahawa niweke zangu (Am sory huenda pia hiyo transcript ikawa msamiati ) ila jua waislam hatuitaj kafiri yoyute kujipendekeza kwa kutusifia wala kuongea ongea ili kumuona mwema!! kama mliamua kutu dis we endelea tu!! hatuitaj utu premodify kinafki
 
Ifahamike kiukweli kama hutofahamishwa na sisis waislam hakuna wakuwafahamisha wasiojua WAISLAM NCHI HII HATUNA CHAMA CHA SIASA CHOCHOTE, Muda huu mnakiskia CHADEMA TUNAKICHANACHANA kwa sababu imeonekana kuna uhuiano wa UKRISTO NCHINI, Si kwamba CCM ndo chama cha kiislam tena ndicho chama MAMA CHA MFUMO KRISTO ILA KWAKUA KIMEAMUA KUJIFICHA JANGWANI SISIS TUNA KI TAZAMA TU ktunamshuhulikia aliejifanya kidume CHADEMA na kwetu ATANYOOKA

Duuu! kumbe mnakichanachana CHADEMA, nilikua sijui, mnaonekana mnahasira.
sasa mkimaliza kukichana ndo waislamu mnapata haki zenu???
Hamka wewe and think as a great thinker, wenzako wana wazo zuri la kudai haki zenu na wala sio mawazo yako mgando ya kupambana na CDM.
 
Jamani, kweli basi Bwana God amewafumbua macho waonao wakajifanya hawaoni au wanaona kwa niaba ya wengine
 
Ifahamike kiukweli kama hutofahamishwa na sisis waislam hakuna wakuwafahamisha wasiojua WAISLAM NCHI HII HATUNA CHAMA CHA SIASA CHOCHOTE, Muda huu mnakiskia CHADEMA TUNAKICHANACHANA kwa sababu imeonekana kuna uhuiano wa UKRISTO NCHINI, Si kwamba CCM ndo chama cha kiislam tena ndicho chama MAMA CHA MFUMO KRISTO ILA KWAKUA KIMEAMUA KUJIFICHA JANGWANI SISIS TUNA KI TAZAMA TU ktunamshuhulikia aliejifanya kidume CHADEMA na kwetu ATANYOOKA

Una hakika haya ndo mawazo ya Waislamu wote?? Wewe ni nani mpaka uwasemee?

Ina maana hapo kwenye blue, kuna dini gani nyingine ina miliki chama?
Haya mawazo yako ya kidini yataanza kukushughulikia wewe binafsi kabla hayajawafikia wengine
 
Naona waislamu wa kweli wameanza kujipambanua na waislamu masalia. Hongera sana Shehe Bahama waokoe wanaoburuzwa
 
mi ntasema kweli daima kama nyie ni waislamu mambo yenu yamalizwe msikitini sio kushabikia vitu mnavyoletewa kwenye jf "nini kasema SAW pale weislamu au mashekh wanapopishana hoja ?" mnaletewa hoja chafu za kuwagawa waislmu wenzenu ili mseme fulani anafaa na fulani hafai mnaanza kwenye jf kuleta misemo na hadith zisizofaa, tumalize mambo yetu msikitini, kwani hilo gazeti la kiislamu? hata kama ni kweli kasema yabidi aambiwe mwenzie kakosea basi kuna njia ya kumkosoa. sasa mnajenga tabaka za ushabiki tu ktk jf. ni lini uliona wasiokua waislamu wameleta mabishano au makosa ya viongozi wao hapa jf ? tieni akili mtume SAW watu wamekojoa msikitini kakaa kimya anasubiri watu waondoke ili amfundishe akiwa peke yake "vp sisi tutumie majukwaa kwa kumsifu huyu na kumponda huyu" kumbukeni kauli ya tauhiiid mnayoshea. ALLAH atuongoze wote mimi na wewe na nimetumia njia hii sababu tu siwezi kukufikia ulipo na sipajui lakini tumfuate mtume kama alivyotufunza ili tumtii mola wetu.

hali ngumu ya maisha haichagui muislamu au mkristo, wote tuna suffer, alichoongea sheikh wa istiqama ni sawa kabisa. kuna mambo ya kuongelea msikitini tu lakini hili ni la wote ili tu share ideas. we are all muslims and tanzanians.
 
Professor ameanza kazi rasmi na bado watabaki waislam maslahi na mufti wao
acheni kuwagawa waislamu kwa majina kama hayo, kama huna hoja ni bora ukae kimya, huwezi kutukana kundi la waumini eti "waislamu maslahi" nini wanasiasa wote wanachopigania kama sio maslahi, fanyeni siasa kama siasa wala msianze kuwapa majina kama mlivyofanya siku za nyuma, eti siasa kali na waislamu poa. mimi sina ushabiki na watu waongo kama wanasiasa wa ccm wala cdm ambao nyote mna ahadi zisizoeleweka tu kila siku. waacheni waislamu na msitake kuwatenganisha kwa kutumia vikauli vyenu vilivyojaa matamaniyo mabaya juu yao.
 
Una hakika haya ndo mawazo ya Waislamu wote?? Wewe ni nani mpaka uwasemee?

Ina maana hapo kwenye blue, kuna dini gani nyingine ina miliki chama?
Haya mawazo yako ya kidini yataanza kukushughulikia wewe binafsi kabla hayajawafikia wengine

Eti MPENDWA we uandhani ukijiita mpendwa Do I care that shit?!, unataka kunijua mimi nan unahakikaaa NAKUULIZA UNATAKA KUNIJUA MIMI NANI? Upo tayari kukutana na mimi muda wowote!! thibitisha uhakika wa kukutana na mimi tuonane! Nimesha sema hatuna chama cha siasa waislam, wasioua waislam ndo wanavyama vikiwa na misingi wanayo ijua wao! NAIS WEWE MENGI UTAONGEA NA MIMI KWAKUONANA KAMA UTAITAJ.... We uadhani kuna muislam ane kupenda kwamba hana udini SAHAU Kijana tena sahau kwelikweli ! hiii ni forum ya hoja \yenye post za mawazo ya watu sasa Utaamin mawazo yangu pale patakapo kua naforum ya vitendo na ninakuitaj uwe member na UPENDWA WAKO
 
Nilijua tu hii ngoma haikeshi kwa kuwa haikutokana na mawazo ya waislam wa chini ilipandikizwa.

ILI UJUE TYPING ZA WAANDISHI WA HABARI HAWANAZO TENA WAISLAM, CHEKI KONGAMANO J2 IJAYO KAGERA UWANJA WA KASHAI THEN J2 BAADA YA HIYO CHECK LINDI TAR24 ndio utajua, hawana time hizo tena za kuchonganishwa na media. madai yao yako wazi na hakuna hata mmoja aliyejibu hoja hata moja. kitu ambacho wala hakiwasaidii kitu.
 
Eti MPENDWA we uandhani ukijiita mpendwa Do I care that shit?!, unataka kunijua mimi nan unahakikaaa NAKUULIZA UNATAKA KUNIJUA MIMI NANI? Upo tayari kukutana na mimi muda wowote!! thibitisha uhakika wa kukutana na mimi tuonane! Nimesha sema hatuna chama cha siasa waislam, wasioua waislam ndo wanavyama vikiwa na misingi wanayo ijua wao! NAIS WEWE MENGI UTAONGEA NA MIMI KWAKUONANA KAMA UTAITAJ.... We uadhani kuna muislam ane kupenda kwamba hana udini SAHAU Kijana tena sahau kwelikweli ! hiii ni forum ya hoja \yenye post za mawazo ya watu sasa Utaamin mawazo yangu pale patakapo kua naforum ya vitendo na ninakuitaj uwe member na UPENDWA WAKO

Punguza jazba,Maana hoja unazojenga ni kama vile waislamu wote wako mifukoni au mikononi mwako??
Kwa taarifa,Waislamu watakuwa na wataendelea kuwa na misimamo tofauti ya kisiasa siku zote. Huwezi kumlazimisha mtu achukie CDM au CCM kwa sababu ya misimamo yako ya kidini..

Mimi ni member kabla yako, hivyo vitisho ndo nimesema vitakufikisha huko unakotaka kufika. na utakuwa victim wa kwanza.
 
Duuu! kumbe mnakichanachana CHADEMA, nilikua sijui, mnaonekana mnahasira.
sasa mkimaliza kukichana ndo waislamu mnapata haki zenu???
Hamka wewe and think as a great thinker, wenzako wana wazo zuri la kudai haki zenu na wala sio mawazo yako mgando ya kupambana na CDM.

NAFURAI KWA KAFIRI KAMA WEWE UNATAMBUA HAKI ZA WAISLAM! Ila real think and rethink advant post ya desipient dictions here!1 the statement translated the word political party y? CHADEMA and Muslim na hapajakua ni haki na madai!! kitaalam wengi hutoka nje ya mada husika na kupost their own whims , deliberately kuwatoa watu waqache kujadili mada na kujadili mawazo yao bt here U ve gone! psychologically hawatoboi hao watu watahama wao ukiwe mo wewe!
Eti Guyton leo anatambua Haki za waislam too late kiajana hata usipo tambua we inaugurated the motabiliity and we are spiritual activist laailalaa hailllallah Muhammad Rasullla
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom