UMOJA wa Kiislamu (Istiqama) wamtaka Mufti aache kushambulia vyama vya upinzani

Sijaona source lakini kama ni kweli basi ni mwanzo mzuri!

sio mwanzo, haya ni mapambano endelevu kwa uislam unapinga kwa nguvu zote unyonyaji ndio maana nchi kama iran hawana masihala ktk maslahi ya nchi yao
 
Back
Top Bottom