Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) ulioasi UVCCM sasa kutikisa nchi, Kuja na 'CCM Halisi'

The best way to document your plans is by creating an agenda.Do you have any agenda concerning Youths?
-Iko wapi ajenda ya Baraza huru la Vijana la Taifa?
-Iko wapi ajenda ya wamachinga na vijana wa mitaani?
-Ni upi msimamo wenu juu ya ukuaji wa deni la taifa ambalo vijana wa sasa na baadae ndiyo watakaobeba mzigo huo?
-Ni nini msimamo wenu kuhisu sera ya elimu ya juu?
-Vipi msimamo wa hao majemedari wenu juu ya tatizo la mimba katika umri mdogo na demand ya reform katika sekta ya afya na social welfare?
Acheni kuwatumikia wazee wenu walioshindwa kwa tamaa zenu binafsi,mnatutia aibu!
Hapa hujamtendea haki, hakuna kijana yeyote ndani ya CCM mwenye uwezo wa kujibu hizi hoja zako unless aongee propaganda tu.
 
Ni juavyo mimi kuas ni kuto kukubaliana na mienendo inayo endeshwa kikundi/chama na kuhama kabisaaaaaaaaaa kikundi/chama hicho na kwenda ambacho unaona kinaendana na taratib zinafuatwa.sasa sijaelewa mnapo sema mna asi halafu kumbe bado mpo humo huma je huku ni kuasi au ni umbea na unafiki tu.watu wajanja wanataka watulizwe kwa kupewa ka udc utaona kimya hakuna majemedali wala OMC.pumbavu kabisa nyie ~(umvccm )
 
Mr Emmy

"Rushwakwangu mwiko nitakuwa mkweli daima unafiki kwangu mwiko"
mmaneno haya yanapaatikana katika kiapo cha wana ccm asilia sasa nyinyi vijana mnapokuwa wanafiki ujanani kwa kujifanaya mnaikataa rushwa wakati mmezidiwa kete na hamjitaji majina mkizeeka si mtakuwa wachawi? au nado mambo ya CCM ACADEMIA?
 
Last edited by a moderator:
Umoja mpya wa vijana CCM unaungwa mkono na wazee wazalendo katika chama na unabaraka zote za kuifanya CCM halisi kama ilivyokuwa enzi ya TANU. kamwe haturudi nyuma na hatuta hama chama kujiunga na matapeli chadema dira na madhumuni yetu ni kuangusha nguzo mbili hatari kwa Watanzania nazo ni CCM mafisadi na Chadema Matapeli/wezi wamfukoni. Sasa ni wasaa wa Mtanzania kujivunia uhalisi wa CCM na amani ya nchi yake

-Kuhamia CHADEMA?Are we that desparate.Mtaongeza mtaji gani kama reasoning yenu ni hii?Political liability....
-Oh mnarudi kule kule nilikowaambia.You belong kwa wazee.You cant stand on your own feets.Ndiyo maana nasema hiyo ni jumuiya inayobeba ajenda za wazee na si vijana.Nilidhani mnapata ushauri kwa wazee kumbe mnapata support?Disaster in the making!

-kama Chadema ni matapeli subiri matokeo ya kesho.By the way huyo mzee mliyeshindwa kumsimamisha hadi akawachagulia uongozi tutamsimamisha sisi na kumstaafisha siasa
-Tumia uzoefu wenu wa kuanzisha CCJ muanzishe chama chenu.Stop whinning aimlessly
 
Kama Mwenyekti wenu, Katibu wenu na Nape wameshindwa kusimamia operation waliyoianzisha wenyewe ya KUJIVUA GAMBA, sasa wakati huu, wakati UVCCM, UWT na NEC-CCM zimo mikononi mwa Mafisadi, mtaweza wapui? Mwenyeki wenu wenyewe ameanza kulia lia, kuchukua hatua hawezi, nyie watoto mtaweza wapi?

Nakuulixza wewe Emmy, mleta mada hii, umewahi kusikia kauli yoyote rasmi ya Chama baada ya matokeo ya chaguzi zenu? Ushamsikia Nape? Ushamsikia Mukama? Wote wamenyuti, wamemwachia Mwenyekiti, naye amebaki kulalamika
 
Hawa vijana watakuwa wanavuta bangi haaa haiwezekani wawe na mawazo na fikra za kuku
 
Ukiwaona wanatoa mapovu kwenye TV unaweza ukadhani ni wapambanaji kweli.Vijana hawa walishindwa mnada na hao walioshinda ni maadui wakubwa wa vijana
-umoja wa vijana ulistahili kuwa chombo cha kuwapigania vijana lakini hawa wanapigana vita ya wazee wao wanafiki,walioliharibu taifa
-Hii ni idara ya kupika majanga na maafa yajayo kwa taifa
They worthless than appendix,morally and politically bancrupty.

Mapambano yetu siyo ya nguvu ya pesa wala rushwa kama livyokuwa kunda la vijana watoro wa BAVICHA waliokuwa hawamtambui Heche ila baada ya kuonjeshwa mnuso kidogo na Mbowe na Slaa vijana hao wamegeuka wapigadeki I hope Ben utakuwa unawakumbuka vijana hao ndani ya chama chako cha CDM.

UMVCCM tupo imara kabisa kukabiliana na majanga ya taifa ya Mafisadi na matapeli wa Chadema
 
Mapambano yetu siyo ya nguvu ya pesa wala rushwa kama livyokuwa kunda la vijana watoro wa BAVICHA waliokuwa hawamtambui Heche ila baada ya kuonjeshwa mnuso kidogo na Mbowe na Slaa vijana hao wamegeuka wapigadeki I hope Ben utakuwa unawakumbuka vijana hao ndani ya chama chako cha CDM. UMVCCM tupo imara kabisa kukabiliana na majanga ya taifa ya Mafisadi na matapeli wa Chadema

Mkuu Tulia , Ramba miguu ya Prince huku ukiomba Mkuu wa wilaya afe Upate nafasi
 
KAF haijatajwa kwenye hiyo battle apo.
Ama kweli CDM ni chama teule kutoka kwa mnyazi Mungu.
 
nyinyi ni kina nani mnaojiona safi ilihali mmelelewa na kukulia kwenye mikono michafu?au na nyinyi mnataka kutengeneza kahimaya kenu ka kifisadi?shame upon you!
 
pumbaf zako, majizi yale yale yanayotumiwa na mavibaka, mabata kunya. Kafieni huko na hao waume zenu.
 
Mapambano yetu siyo ya nguvu ya pesa wala rushwa kama livyokuwa kunda la vijana watoro wa BAVICHA waliokuwa hawamtambui Heche ila baada ya kuonjeshwa mnuso kidogo na Mbowe na Slaa vijana hao wamegeuka wapigadeki I hope Ben utakuwa unawakumbuka vijana hao ndani ya chama chako cha CDM. UMVCCM tupo imara kabisa kukabiliana na majanga ya taifa ya Mafisadi na matapeli wa Chadema

Mr.Defacto Vice Chairman naomba ujibu hoja ulizoulizwa usianze kuzunguka zunguka kama ambavyo amekuwa akifanya uliyetarajia kumrithi!

-ni nini ajenda yenu kuhusu baraza huru la vijana mkiwa na fursa ya ziada kama kundi la vijana ndani ya chama tawala?
-Msikimbilie kwa wazee wawachagulie ajenda ya vijana.
-hayo ya watoro wa BAVICHA unayajua wewe and i wont go that way.I wont be reduced into such a petty politics.It suits you,wewe unanielewa .....
 
Nyie ndio manaotaka kukiangusha kabisa ccm kwani mtasababisha mgogoro mkubwa kati yenu na hao mnaowaita mafisadi. wakati huo wapinzani watapata fursa ya kujiimarisha. ni vema mkaanzisha chama cha upinzani ili wakati mkishambulia muwe upande mmoja na washambuliwaji upande mwingine.

Mnawezaje kusafiri katika boti moja huku mkishambuliana na huku mkishabulia adui wa nje halafu mbaki salama? jahazi lenu likely litazama
 
Kama Mwenyekti wenu, Katibu wenu na Nape wameshindwa kusimamia operation waliyoianzisha wenyewe ya KUJIVUA GAMBA, sasa wakati huu, wakati UVCCM, UWT na NEC-CCM zimo mikononi mwa Mafisadi, mtaweza wapui? Mwenyeki wenu wenyewe ameanza kulia lia, kuchukua hatua hawezi, nyie watoto mtaweza wapi?
Nakuulixza wewe Emmy, mleta mada hii, umewahi kusikia kauli yoyote rasmi ya Chama baada ya matokeo ya chaguzi zenu? Ushamsikia Nape? Ushamsikia Mukama? Wote wamenyuti, wamemwachia Mwenyekiti, naye amebaki kulalamika
kamanda wenu ni huyo Nape ambaye tayari ameonyesha kushindwa. kama siye mtamuweka wapi?
 
Vijana mafisadi waliozidiwa na wenzao.
-Siasa za ubaguzi na utoto ndiyo mapinduzi?
-Kama hayo mliyoandika hapo ndiyo malengo na mikakati ya ukombozi basi rudini darasani
-Vijana wa aina yenu ni janga.Hivi mlikua wapi kipindi cha DOWANS na RICHMOND?
-Mtatoa wapi hoja za kupambana na CHADEMA?Labda kama zipo bandarini......
-Acheni tamaa ya rushwa kama wazee wenu

Ben unafanya vizuri kuwaasa vijana hawa ambao nao mikono yao inanuka rushwa ila tu wamezidiwa akili na washindani wao. tunachoka kuwaelimisha CCM na vijana wao lakini tufanyaje kwani kazi ya kuelimisha haina mwisho tuendeleee tu iko siku watakuwa upande wetu
 
Back
Top Bottom