Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) ulioasi UVCCM sasa kutikisa nchi, Kuja na 'CCM Halisi'

Mwenyekiti Kikwete kaishindwa rushwa kabaki analalamika. Mukana anatetea. Nepi kauchuna, wastaafu akina Ben na Rukhsa wamechimbia vichwa vyao chini ya mchanga kama mbuni. Nyie vifisadi vidogo vidogo mtafanya nini? Six(sita) kachoka, ole sendeka, Kilango wapambanaji zuga hata sauti hazitoki, katafuteni wajinga wenzenu wa kuwadanganya, HATUDANGANYIKI
 
Wakati unakula wakati. Mtanzania wa leo si wa jana, watu wanahiji waone kichwa,macho,mikono,na miguu na si kiwiliwili. Unapopigana vita jambo la kwanza ni kujua nguvu yako dhidi ya adui yako.

Inawezekana ukamzidi nguvu lakini kuna kitu kinaitwa hesabu, kama hushambulii eneo sahihi hiyo ni kazi bule.
 
leo ndio mmeona kuna ufisadi baada ya kupigwa chini uvccm sio? je niwaulize mngepita kwenye uchaguzi uvccm mngekua leo mko hapa mnaongea pumba zenu...poleni imekula kwenu ccm itabakia kua ile ile na mafisadi watabakia pale pale...

Nani atawasiliza nje ya vikao rasmi vya chama? hizo propanganda hafifu,kama ninyi mnaojiita makamanda mgejenga hoja zenu,kuzitetea na kutafuta ushawishi ndani ya chama. Lakini kama mmeshindwa kuwashawishi wenye chama chao basi hamna njia nyingine kwani agenda mbandala na zenye upeo mpana zipo kwenye kambi ya upizani. Acha kuuza headline tu rudi ndani ya chama chenu,na sijui kama watawasikiliza tena kwani mnakisaliti.
 
CCM kwishine, mipango yenu ni tasa kwa sababu chama kina wanachama wenye sifa zifuatazo; 1. wasiojua kusoma na kuandika. 2. wagonjwa wa kudumu 3. ombaomba 4. wafanyakazi wasio na sifa stahiki ktk maeneo yao ya kazi. Hawa ndo wanachama wenu.
 
Does it matter? Hapa ni mwendo wa mambo hadharani, wamemwaga mboga na wenzao wamwaga ugali. La kujiuliza ni hii inaeweka CCM sehemu gani katika viwango vya anguko

CCM haitasarambatishwa na harufu ya watolo,hawa sio waasi ni njaa tu,wanataka kuvaa mkanda wa uzito wa juu wakati mosquito weight yenyewe wanapwaya.Hawajamwaga mboga kwani hakuna sufuria ya mboga wala mboga yenyewe
 
Ha ha haaa Makonda Kilichobaki ni Kuramba Miguu ya Prince na wewe Upate ka UDC kama Mwenzako Mrisho Gambo. Tatioz Vijana wa CCM hamuaminiki mkishapewa tu uongozi basi Mnatukana hadi Mama zenu ona Mwenzako Korogwe yaani mtoto mdogo unamtukana mtu mzima wa kukuzaa eti "Una Degree ya Chupi"
Acha ush...ga wewe, kubwatuka ndo desturi yako, na huyo anaedai ametukanwa anachezea kwenye 29 utu uzima ulimpa wewe? Nyambafu wewe. WIvu sina ila roho inauma mmeku. Utaisoma japo kimyakimya.
 
aisee hii moto. wanafadhiliwa na nani financially? lazima kuna wasaliti ccm. oh my God
 
Ni bora waliite hilo kundi lao UVCCJ maana Nape na Six walishawaandalia mafikio, wameuza utu wao kwa rushwa za laki 1 na 2 sasa wanajifanya wamezinduka na kuchukia, wasubiri wanaojua thamani ya kura watawaonesha matumizi yake muda ukifika.
 
Andaeni hayo mabadiliko huku mkichukua tahadhari kubwa tusije kuishia kuwaokota mabwepande mkiwa mmeshabinywa kengele zenu na pliers...!
 
-Kuhamia CHADEMA?Are we that desparate.Mtaongeza mtaji gani kama reasoning yenu ni hii?Political liability....
-Oh mnarudi kule kule nilikowaambia.You belong kwa wazee.You cant stand on your own feets.Ndiyo maana nasema hiyo ni jumuiya inayobeba ajenda za wazee na si vijana.Nilidhani mnapata ushauri kwa wazee kumbe mnapata support?Disaster in the making!

-kama Chadema ni matapeli subiri matokeo ya kesho.By the way huyo mzee mliyeshindwa kumsimamisha hadi akawachagulia uongozi tutamsimamisha sisi na kumstaafisha siasa
-Tumia uzoefu wenu wa kuanzisha CCJ muanzishe chama chenu.Stop whinning aimlessly



Mkuu Ben achana na hawa watoto, naona unajitahidi kuwaelewesha hawaelewi wanaamua kuamisha mada iwe CCM na CDM,' mada ni CCM na CCM . Jibuni hoja acheni ushabiki,kuna msemo mmoja umenikumbusha mbali'' wanaume wote tunahonga ila tunatofautiana viwango'' au kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake. Naona kamnba ya EL imekuwa ndefu zaidi. Swali kwa mr emmy; kwanini mwenyekiti anawaacha mvuruge chama kiasi hicho?
 
mmewekwa na mafisadi,mnatangaza kuwatoa mafisadi...naona mnacheza na akili zetu.
 
hey muanzisha mada, sorry hawa jamaa wako chini ya nani? ccm au kuna wadau wa nje?
 
Back
Top Bottom