Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) ulioasi UVCCM sasa kutikisa nchi, Kuja na 'CCM Halisi'

Wameanzisha thread na kupotea.Kama katibu mwenezi wao.
Kweli ndiyo maana huwa wanakimbia midahalo
Hakuna M2 wa kukimbia hapa kinachoenekana ni wanaChadema kupagawa na vuguvugu jipya la mabadiliko ndani ya CCM mpya na halisi
 
Mikakati ya zima moto hiyo. Mmetumwa na mgombea yupi wa urais?vijana tunakubali kutumiwa tu kiurahisi.
 
Hawa majeruhi wa Uchaguzi wanatapatapa tu hapa hakuna jipya. ombeni ajila kwenye vituo vya Mafuta vya Prince Ridhiwani, Lowasa ndio CCM na CCM ni Lowasa. Pelekeni njaa zenu mbele huko hapa mnatujazia server bure.

Ukiwaona wanatoa mapovu kwenye TV unaweza ukadhani ni wapambanaji kweli.Vijana hawa walishindwa mnada na hao walioshinda ni maadui wakubwa wa vijana
-umoja wa vijana ulistahili kuwa chombo cha kuwapigania vijana lakini hawa wanapigana vita ya wazee wao wanafiki,walioliharibu taifa
-Hii ni idara ya kupika majanga na maafa yajayo kwa taifa
They worthless than appendix,morally and politically bancrupty.
 
naona hii ni single mpya,nani prodyuza?.eti ccm halisi,na bado,mtawewseka sana mwaka huu,gamba mmeshindwa kulivua hiyo moc mtaiweza?
 
*Mleta mada embu taja majina ya hao majemedari,

*Pia tuambie nani ni Mwenyekiti, Kaimu mwenyekiti, Katibu, Mweka hazina nk.

*Mwisho mtueleze chanzo cha mapato au ruzuku ya kuendeshea hizo harakati zenu.
wakulima na wafanyakazi ndo mkakati wa vuguvugu la mabadiliko ndani ya chama. Kumbuka hiki sio chama kipya ila ni mabadiliko yanafanywa na majemedari kukitoa chama utumwani na mikononi mwa mafisadi
 
Kesho tu mtatishiwa kufukuzwa chama and that will be the end of your nonsense. Hamna ubavu labda mseme mnajiweka pembeni ya CCM ambacho mwenyekiti wake ni JK muanze chenu lakini tofauti hapo mtkula za mbavu na mtatoka manundu ya uso end of story
 
*Mleta mada embu taja majina ya hao majemedari,

*Pia tuambie nani ni Mwenyekiti, Kaimu mwenyekiti, Katibu, Mweka hazina nk.

*Mwisho mtueleze chanzo cha mapato au ruzuku ya kuendeshea hizo harakati zenu.
Mwenyekiti ni kijana Wiliam Malecela

Makamu mwenyekiti Paulo Makonda

Katibu ni kijana Shyrose Banji

Mweka hazina ni Prince Ridhiwani Kikwete.
 
Ukiwaona wanatoa mapovu kwenye TV unaweza ukadhani ni wapambanaji kweli.Vijana hawa walishindwa mnada na hao walioshinda ni maadui wakubwa wa vijana
-umoja wa vijana ulistahili kuwa chombo cha kuwapigania vijana lakini hawa wanapigana vita ya wazee wao wanafiki,walioliharibu taifa
-Hii ni idara ya kupika majanga na maafa yajayo kwa taifa
They worthless than appendix,morally and politically bancrupty.
Umoja mpya wa vijana CCM unaungwa mkono na wazee wazalendo katika chama na unabaraka zote za kuifanya CCM halisi kama ilivyokuwa enzi ya TANU. kamwe haturudi nyuma na hatuta hama chama kujiunga na matapeli chadema dira na madhumuni yetu ni kuangusha nguzo mbili hatari kwa Watanzania nazo ni CCM mafisadi na Chadema Matapeli/wezi wamfukoni. Sasa ni wasaa wa Mtanzania kujivunia uhalisi wa CCM na amani ya nchi yake
 
Ha ha haaa New Movement for Change (NM4C) Bwa ha haaaaa
Huyo ni wakumuonea huruma tu, hajui hata M4C ni nini, waache kwanza wapooze majeraha akili zikiwarudia watakaa pamoja tu magambani, kinachowauma ni kutumia pesa nyingi na wakapigwa mweleka wa uhakika.
 
Hakuna jipya hapo!!
Jipya lipo, aliyewapa pesa za kuhonga anahoji pesa zote zimefanya kazi gani mbona wote wameangushwa? ni kwa nini ni Vijana wa Lowasa pekee ndio waliogaragaza wenzao? Samuel Sitta alishayapima maji na akaona kuna dalili za kufirisika uzeeni.
 
Hakuna M2 wa kukimbia hapa kinachoenekana ni wanaChadema kupagawa na vuguvugu jipya la mabadiliko ndani ya CCM mpya na halisi

The best way to document your plans is by creating an agenda.Do you have any agenda concerning Youths?
-Iko wapi ajenda ya Baraza huru la Vijana la Taifa?
-Iko wapi ajenda ya wamachinga na vijana wa mitaani?
-Ni upi msimamo wenu juu ya ukuaji wa deni la taifa ambalo vijana wa sasa na baadae ndiyo watakaobeba mzigo huo?
-Ni nini msimamo wenu kuhisu sera ya elimu ya juu?
-Vipi msimamo wa hao majemedari wenu juu ya tatizo la mimba katika umri mdogo na demand ya reform katika sekta ya afya na social welfare?
Acheni kuwatumikia wazee wenu walioshindwa kwa tamaa zenu binafsi,mnatutia aibu!
 
Hivi vitoto vya mafisadi vilivyobwagwa navyo? Vilikuwa vikijitapa kule facebook kwamba vina kila sababu ya kukubalika kumbe rushwa wamezidiana sasa vinalia na kuja na ndoto za mchana! Swain kabisa. Nepi/Nape alijaribu mawazo ya jinsi hii angalia kaishia kubwatuliwa na kundi mojawapo la mafisadi!
 
Hao wanataka kutafuta umaarufu tu kama julious malema.ila mwenzenu alikuwa mpiganaji kwelikweli.
 
Back
Top Bottom