hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,451
- 6,325
Aisee ukimwi hauwezi kuisha bongo hii. Kuna gest inaitwa umoja gest house ipo nyuma ya kituo cha police mabatini, malaya wamechukua rums hapo kumekuwa ni danguro, ukifika tu unatoa elf mbili yako unagonga mzigo. Halmashauri ya jiji tupieni jicho kwenye hii gest