Umoja gest house sinza mapambano

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,513
6,401
Aisee ukimwi hauwezi kuisha bongo hii. Kuna gest inaitwa umoja gest house ipo nyuma ya kituo cha police mabatini, malaya wamechukua rums hapo kumekuwa ni danguro, ukifika tu unatoa elf mbili yako unagonga mzigo. Halmashauri ya jiji tupieni jicho kwenye hii gest
 
Ulijuaje au ww nae niiiiiiiii.?
Ahsante kwa taarifa ila ukute wamepewa kubali

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Aisee ni hatari sana hapa ni zaidi ya dangulo
 
saizi zipo nyini, zinine zipo buguruni il sizijui jina, nako buku mbili tu, unabeba mzigo, sharti lake goli moja tu, makiss, madenda huruhusiwi, we fanya mambo then sepa.......ukimwi na menineyokimpango wako
 
saizi zipo nyini, zinine zipo buguruni il sizijui jina, nako buku mbili tu, unabeba mzigo, sharti goli moja lake tu, makiss, madenda huruhusiwi, we fanya mambo then sepa.......ukimwi na menineyokimpango wako

nilikua sehemu mmoja zanzibar Kiwengwa kuna malaya alijipendekeza kwa Mmasai golo moja tu jamaa alichukua kama dk 40 mpaka malaya akawa analia na mpaka wenzake wakaanza kumgongea mlango wanamwambia arudishe hela ya mmasai
 
Aisee ukimwi hauwezi kuisha bongo hii. Kuna gest inaitwa umoja gest house ipo nyuma ya kituo cha police mabatini, malaya wamechukua rums hapo kumekuwa ni danguro, ukifika tu unatoa elf mbili yako unagonga mzigo. Halmashauri ya jiji tupieni jicho kwenye hii gest
unatangaza biashara kijanja....inaonekana ni marketing officer mzuri sana
 
nilikua sehemu mmoja zanzibar Kiwengwa kuna malaya alijipendekeza kwa Mmasai golo moja tu jamaa alichukua kama dk 40 mpaka malaya akawa analia na mpaka wenzake wakaanza kumgongea mlango wanamwambia arudishe hela ya mmasai
mmasai alifungwa speed governer nini
 
Ni kila sehem wapo hao ila wa buku mbili si wale wenye shombo.Akivua utadhani umefungua kabati lenye samaki waliochina
 
Na ingine ipo Mori pale kituoni nayo inatisha kwa kukodishwa na malaya wa usiku na inajulikana na kila jirani wa maeneo yale,kama kuna sheria ya kumulikwa nayo iwemo kwenye list.ila huko buguruni ni janga kuu wamejazana sana na kama week end hii jaribu kupita saa 1 usiku kuanzia leo uone sodoma mpya kule!
 
Bei kubwa sana hiyo.

Hii gesti ipo Maeneo ya dovya, inaitwa dekule, unapata kei kwa jero tu. Wataalam fuatilieni mkajionee

eat6.jpg
 
saizi zipo nyini, zinine zipo buguruni il sizijui jina, nako buku mbili tu, unabeba mzigo, sharti lake goli moja tu, makiss, madenda huruhusiwi, we fanya mambo then sepa.......ukimwi na menineyokimpango wako

Nna wasiwasi we Si Mtz! zinine...., menineyo... Naomba PASSPORT Yako please.
 
Back
Top Bottom