Umiza akili katika maswali matatu, uongeze IQ yako

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.

Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu.

SWALI LA KWANZA
Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu wa pili, wewe unakuwa mtu wa ngapi?

SWALI LA PILI
Imagine ulikuwa na Mbuzi 15 ,wakafa wote isipikuwa Mbuzi 7 , Je utakuwa umebakiwa na Mbuzi wangapi?

SWALI LA TATU
Baba na mtoto wakiwa safarini walipata ajali na Baba akafa pale pale, Wakati mtoto yuko maututi akawaishwa hospitali , Doctor akasema " Siwezi kukutibu mwanangu".

Je, Doctor ni nani?

Zawadi ipo wazi kwa atakae jibu kwa usahihi maswali yote matatu.

GOODLUCK!
 
SWALI LA KWANZA.
Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu wa pili, wewe unakuwa mtu wa ngapi?
Itategemea mimi ni wa ngapi. Mfano mimi ni wanne, nikimpita huyo wa tatu basi mimi nitakuwa watatu.
SWALI LA PILI.
Imagine ulikuwa na Mbuzi 15 ,wakafa wote isipikuwa Mbuzi 7 , Je utakuwa umebakiwa na Mbuzi wangapi?
Sitobakiwa na mbuzi mana tayari wamekufa wote.
SWALI LA TATU.
Baba na mtoto wakiwa safarini walipata ajali na Baba akafa pale pale, Wakati mtoto yuko maututi akawaishwa hospitali , Doctor akasema " Siwezi kukutibu mwanangu"
Je, Doctor ni nani?
Doctor Ni doctor.
 
Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.

Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu.

SWALI LA KWANZA.
Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu wa pili, wewe unakuwa mtu wa ngapi?

SWALI LA PILI.
Imagine ulikuwa na Mbuzi 15 ,wakafa wote isipikuwa Mbuzi 7 , Je utakuwa umebakiwa na Mbuzi wangapi?

SWALI LA TATU.
Baba na mtoto wakiwa safarini walipata ajali na Baba akafa pale pale, Wakati mtoto yuko maututi akawaishwa hospitali , Doctor akasema " Siwezi kukutibu mwanangu"
Je, Doctor ni nani?

Zawadi ipo wazi kwa atakae jibu kwa usahihi maswali yote matatu.

GOODLUCK!
Mimi jtakuwa mtu wa 2
Nitabakiwa na mbuzi 7
Doctor ni mama mzazi wa mtoto
 
1. Neno isipokuwa linamaanisha hao Saba hawakufa.

Kwa ivo inakuwa 15-7=8. Kimantiki mbuzi waliokufa ni 8 na waliobakia ni 7.
Mp
2. Ukimpita mtu wa pili wewe ndiyo unakuwa wa pili. 2-1+1=2.

3. daktari ni daktari ila ametumia neno "mwanangu" kuonesha utofauti wa umri kati yao.
Brovoooo 👏 , Ila lipo moja bado hapo
 
Back
Top Bottom