umeshine sana huku town...lakini hebu tupe picha namna ulivokiacha kitanda chako...

mi nimelala guest house. jenga picha nmeachaje kitanda.
 
mambo gani haya? Mi nlishasema matani ya ukweli sio mazuri
 
umetisha Madame B vip umeweka wapi kambi kwa siku zote izo?...swalama lakini?...

Huku swalama kabisa.
Aaaaaa Mkuu,c unajua sie watu wa kambi popote?
Bar unalala,
kwa Mashosti unalala,
kwa ma Bro unalala,
kwa Wageni unalala,
Club ndo usiseme na sehemu nyinginezo za mafichoni uzijuazo..!!!!
Zooote kambi kwa kwenda mbeleee...!!!
 
Last edited by a moderator:
Huku swalama kabisa.
Aaaaaa Mkuu,c unajua sie watu wa kambi popote?
Bar unalala,
kwa Mashosti unalala,
kwa ma Bro unalala,
kwa Wageni unalala,
Club ndo usiseme na sehemu nyinginezo za mafichoni uzijuazo..!!!!
Zooote kambi kwa kwenda mbeleee...!!!

aaaah!@Madame B umetisha...nimekushindwa komando wangu!hata kitu cha mtaroni ww utakuwa umewahi kutupia...najaribu kufikiri tu!
 
mi nimelala guest house. jenga picha nmeachaje kitanda.

dubu nazijuaga izo...wale wafanyakazi wa guest nomaa maana wanakutana na mengi...mito kulee...mashuka fulu ramani...harufu za tatu bombaa...mimi huwa natoa godoro kabisa naweka chini...
 
Last edited by a moderator:
pole sana bagah kwa kutotandika kitanda.......

sie wengine tukiamka tu ..
kwanza nasali....
kisha natandika kitanda....
halafu mengine yanafuata...

ndivyo nilivyofundishwa, na ndivyo ninavyofundisha watoto wangu.....

safi sana bibie...mlee mtoto katika njia impasayo nae hataisahau mpaka atakapo kua mzee...maana hata sisi tunaokurupuka ni kwa ajili ya malezi yetu ya awali BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom