umeshine sana huku town...lakini hebu tupe picha namna ulivokiacha kitanda chako...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
wengi hatujatandua chandarau na vitanda havijatandikwa...
nimeguswa kuwakumbusha hili siku ya leo...
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    4 KB · Views: 148
silali na neti, i hate neti. so huwa kutandika ni very simple! yaani i have to do that nikiamka tu. so nimekiacha super mkuu bagah!
 
Me cjui hali ya kitanda changu kwa siku kama 4 hv.
Ila huwa nakiacha fresh kila nitokapo,
labda mbwa wangu Kipisi akitandue.
 
mimi nimeshine leo kweli kweli....na kitandani nimemwacha my bebii bado amelala......hapo nimekiacha vibaya....?

Preta duh na zile purukushani za usiku...sipati picha kimekaa vip?...
 
Last edited by a moderator:
Me cjui hali ya kitanda changu kwa siku kama 4 hv.
Ila huwa nakiacha fresh kila nitokapo,
labda mbwa wangu Kipisi akitandue.

umetisha Madame B vip umeweka wapi kambi kwa siku zote izo?...swalama lakini?...
 
Last edited by a moderator:
dah jamani topic za ukwel hivi sio nzuri.. haya sasa mi sijatandika wik ya pil hii lakni kabla ya kulala najitaid kutandika kidogo.!!! Ubachela mbaya nyie achen tu..
 
silali na neti, i hate neti. so huwa kutandika ni very simple! yaani i have to do that nikiamka tu. so nimekiacha super mkuu bagah!

very good ndugu yangu...huwa naichukia sana net pia...ila nimenunua ile yakushusha na kupandisha kwa REMOTE CONTROL...
 
pole sana bagah kwa kutotandika kitanda.......

sie wengine tukiamka tu ..
kwanza nasali....
kisha natandika kitanda....
halafu mengine yanafuata...

ndivyo nilivyofundishwa, na ndivyo ninavyofundisha watoto wangu.....
 
khaaaaa weekend hukufua mashuka? wala hujabadilisha mashuka weekend?
hicho kitanda si kitakua kimejaa mchanga?

dah jamani topic za ukwel hivi sio nzuri.. haya sasa mi sijatandika wik ya pil hii lakni kabla ya kulala najitaid kutandika kidogo.!!! Ubachela mbaya nyie achen tu..
 
Dah hata sikumbuki nilivyokiacha, labda nikipigie simu nikiulize kilivyo ili kama kiko lafu kinitaarifu nikakirekebishe.
The unseen is illustrated by the seen.
 
mimi nimeshine leo kweli kweli....na kitandani nimemwacha my bebii bado amelala......hapo nimekiacha vibaya....?
...ucjari nikiamka tu na kiweka vizuri....
haaa....stabilizer joints.....ball joints......na centre bolt.....zote ni za kubadilisha.....
hooooooi leo......

...hahahahahaha..mpe na matokeo ya Game yalikua ngapi ngapi...maana mpk mapumziko...ilikua 3-2... Preta
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom