Kituko gani kiliwahi kukukuta during sex?

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,113
3,486
Habari za weekend wana JF?

Leo tufunguke kituko kilichowahi kukutokea wakati ukifanya mapenzi.
Nianze na changu.

Nakumbuka wakati nazagamua katikati ya mzagamuo mara dada kakata moto, yaani ile hahemi wala hatingishiki. Kizaazaa. Acha nipagawe!

Kupiga yowe nataka, kukimbia nataka. Acha nianze kupepea na mashuka huku nikiomba.

Mwendo wa dakika kadhaa ndio naona anaanza kurespond. Aki siwezi sahau siku ile.

Enhe hebu tupe kisa chako. Kituko gani uliwahi kumbana nacho wakati wa mzagamuo?
 
Habari za weekend wana JF?
Leo tufunguke kituko kilichowahi kukutokea wakati ukifanya mapenzi.
Nianze na changu.
Nakumbuka wakati nazagamua katikati ya mzagamuo mara dada kakata moto, yaani ile hahemi wala hatingishiki!
Kizaazaa. Acha nipagawe!
Kupiga yowe nataka, kukimbia nataka. Acha nianze kupepea na mashuka huku nikiomba.
Mwendo wa dakika kadhaa ndio naona anaanza kurespond.
Aki siwezi sahau siku ile.
Enhe hebu tupe kisa chako. Kituko gani uliwahi kumbana nacho wakati wa mzagamuo?
Hahahaha unanikumbusha kuna jamaa moja nae ilishawahi mtokea tuko chuo fulani huko kaskazi katoa kademu huko mtaana kazamisha hostel si kakazima ikabidi akatoe kwenye korido aanze kukapepea
 
Kuda mdada alikuwa Ana Tako Hatari Kila nikitongoza anakataa, siku moja akanishtukiza akaniambia anakuja getto Ila hatokaa Sanaa, mbaya zaidi siku hiyo nlikuwa nmeibiwa million 6 ofisini pesa za kampuni na kesho yake nlikuwa natakiwa kudeposit hiyo pesa... Kwa vile huyo demu alikuwa n mzuri Sanaa nikaona acha aje nijilie.... Guess what! Mboo ilishindwa kusimama mawazo yalikuwa kuhusu pesa ya watu niliyoibiwa demu aliambia mbona husimamishi nikamwambia siko Sawa Nina stress yule mrembo najua huko alipo atakuwa ananisimulia kwa jambo Hilo la Mboo kushindwa kusimama angejua nlikuwa nmeibiwa million 6 na mshahara nlikuwa nalipwa laki 2......by the way nilifanya kazi kwa mwaka 1 na nusu Bila ya mshahara na hiyo ni option ya mwisho niliyopewa namshukuru Mungu nipo Hai maana nilifikiria kujiua baada ya ilo tatizo, Mungu alinipa nguvu ya kupambania na jaribu Hilo na kweli nmelishinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom