umeshawahi kupigana?

Dah umenikumbusha mbali sn enzi hizo za std 1&2 kijijin huko,nilikuwa napenda sn haka kamchezo tena nipigane na mtoto wa kiume ila mie ilikuwa ikiwekwa tu mstari dah unakuta mwenzangu anakazana kunipiga mie nakomaa na kaptura mpaka niivue siunajua za kijijin alafu watoto,nikiivua tu mambo hazaran hakuna cha chupi wala nn hapo watazamaji wote wananishangilia tu na nakua mshindi!
Mpaka nikaletewa kesi hm bibi yangu akanitembezea stiki za kutosha ndio nikaacha hiyo tabia lol!
kumbe wewe ni mgomvi toka zamani eh!
Nalog off
 
Heheheh..
Yeahh nimewahi. Nadhani nlikua na miaka 8 then...na nlipigana na aliekuja kuwa best friend wangu throughout primary school.
Sikumbuki sababu ila nakumbuka tulikua tumetoka shule na nlikua nimevaa ovaroli ya kigauni akashika vile vimikanda akaninyanyua juu.
Inawezekana yeye ndie alieshinda...

Miaka kadhaa baadae sijui kama naweza nilipigana ila kuna kaka yangu sijui alifanya nini nikamkimbiza sana na kumpiga na mawe.
Alafu kaka yangu mwingine yeye hatujawahi kupigana ile kupigana japo kuchokozana kulikuwepo sana ila zamani nilimvuta kwenye ngazi akaanguka na kuvunjika jino. Sasa hivi ni kama ana mwanya vile.
Dah! hawawezi kukusahau.
Nalog off
 
Mie kweli kupigana sijui, kwa hiyo ukianza kujifanya eti unapigana na mimi nitakuua wakati najitetea. Khabari ndo hiyo,muulize baba mkwe wako akuambie,lol
dada shikamoo,una kesi ngapi za mauaji? ili tujue jinsi ya kukutorosha nchini.
Nalog off
 
Sijawahi toka nizaliwe, wala sina huo mpango... Mie ni muoga sana wa kupigana asee.. Nna hakika ikitokea mtu anataka nipigane nae lazima ntadundwa...lol
unatakiwa uwe unajihami kwa silaha na hutakiwi uwe mwoga umeshakuwa mkubwa sasa.
Nalog off
 
Kuna siku kuna kadada kaliibiwa chenji yake, mzembe si nikajifanya jeki cheni kwenda kumsevu mdada. Kulaleki! njemba iliniweka kipondo mpaka leo sikio la kushoto haliskii vizuri na pua samtaimu inatoka kamasi bila flu.

halaf na kale kadada hata ka namba ya simu hakakunipatia, nyambaaf! ndo maana naungana na The Boss , wanawake wana mapepo kweli bana

Pole sana... mwenzio nilikuwa najulikana kwa kulipiza visasi hadi wababe wakawa wananiogopa.. Tukipigana ukanidunda ujue lazima kuwe na re match siku yoyote mahali popote,ukinishinda nakuvizia..yaani hadi upate maumivu tu...hata kama ni mwaka mzima ntakuwinda tu... mbona walinikoma.
 
dah!!!nakumbuka mara ya mwisho kupigana ilikuwa miaka 8 ilio pita nikwa high skul,kuna ----- tena dogo kidato cha pili sema kajaliwa jimwili kweli ni kiranja,saa asubui si kuna zile joging za lazima skul basi form five tuka goma tena wengi kwa vile mi ndo nilikuwa mwili mdogo afu uwanjani mademu kibao jamaa akaona wa kunioshea ndo mimi hahaha kumbe alikuwa hajui hapa ma shotokan yamelala.anakuja tu nilimpiga washgel...akaenda chali kurudi anakutana kibadanch,pigo latatu yakuzdach kijana chali nikamtia haibu pale pale
 
Pole sana... mwenzio nilikuwa najulikana kwa kulipiza visasi hadi wababe wakawa wananiogopa.. Tukipigana ukanidunda ujue lazima kuwe na re match siku yoyote mahali popote,ukinishinda nakuvizia..yaani hadi upate maumivu tu...hata kama ni mwaka mzima ntakuwinda tu... mbona walinikoma.
usikubalikupigwa kizembezembe ukishindwa kumpiga kwa ngumi tumia hata mawe.
Nalog off
 
Back
Top Bottom