umeshawahi kupigana?

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
mambo zenu.Vipi wenzangu mshawahi kupigana? Ilikuwa lini? Ulipigana na nani? Kwanini ulipigana? Je ulishinda/droo au ulidundwa? Nalog off
 
Mie kesho wallahi huenda nikapigana, kuna hayawani namdai vidani vyangu vya dhahabu! Na nitahakikisha namtovuga!
Nakutakia ushindi ktk pambano lako ,ukimaliza kumtovuga mpige ngumi ya jicho,ila usipigane sehemu ambayo hakuna mawe,na kumbuka ya kuwa silaha ya mwisho ni mbio. Nalog off
 
Mie kesho wallahi huenda nikapigana, kuna hayawani namdai vidani vyangu vya dhahabu! Na nitahakikisha namtovuga!

mbona una vituko sana, last week tumepata tabu ya kukuandalia kivazi
leo tena unataka boxing, wewe mtoto una tatizo gani,
kwanza vipi mtoko ulifanikiwa kumliwaza jamaa.
 
Back
Top Bottom