Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,205
- 10,953
Imeelezwa kuwa kiongozi wa Israel,Benjamin Netanyahu anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa ngiri muda wowote kuanzia kesha.
Kesho hiyo hiyo mwanasheria mkuu wa serikali anatarajiwa kusaini sheria ya kuwalazimisha wayahudi wa msimamo mkali kuingizwa jeshini kwa lazima.
Mayahudi wa mrengo huo pamoja na kuwa na uhasidi na wapalestina lakini hawako tayari kuingia jeshini kwenda kupigana na Hamas.
Haijafahamika kwa uwazi kwanini sheria ya kulazmisha usajili jeshini unaoanza sasa umetokana na nini.Jee ni kutokana na askari wengi kufa na kuumia au ni kuanza kukimbia kwa baadhi ya askari hao au imetokana na nini hasa.