umeshawahi kupigana?

Nimeshakujua utanikoma sasa! Kwanza uwe unakuja kumuwekea kakake ashadii maji ya kuoga kila siku hadi tufunge mabomba bafuni
Sijawahi toka nizaliwe, wala sina huo mpango... Mie ni muoga sana wa kupigana asee.. Nna hakika ikitokea mtu anataka nipigane nae lazima ntadundwa...lol
 
Dah! Hongera yako mwaya,usipigane ni hatari. Nalog off
 
Sasa washawasha, unalogoff kila baada ya post ama? Simu ya mchina? Sio nakuchokoza,bado sijafundishwa kungfu na dingi eeh.
 
Nimeshakujua utanikoma sasa! Kwanza uwe unakuja kumuwekea kakake ashadii maji ya kuoga kila siku hadi tufunge mabomba bafuni
Hahaha! Ntakuja ila yatokanayo na kumwekea ur h'band maji ya kuoga tusilaumiane! Uyakubali kwa moyo wako wote!
 
Sharing is caring! Mie sina shida na ww manake najua akikuhonga jeep cherokee mara moja moja nakuja kuiazima niendee shamba! Tena hakikisha anakua anakuwekea full tank eeh!

Hahahaha! Mie penda wewe thana...mkweo anaguna nini? Muulize anataka tupigane au?
 
Back
Top Bottom