Umeshaambiwa hao wawili wadada/wakaka wanakua ni ndugu!!
Afro i wanna know now!!Inahusiana na thread...toa mfano hai!!

Duhhh jamani wewe

Mi sio kaka..
After his divorce from Gordy in 1988, Jackson started living with Margaret Maldonado. The couple had two children, Jeremy Maldonado Jackson, (born December 16, 1986) and Jourdynn Michael Jackson, (born January 5, 1989).
During his relationship with Maldonado, Alejandra Genevieve Oaziaza had an affair with Jermaine and had two sons, Jaafar Jeremiah Jackson (born July 25, 1996) and Jermajesty Jermaine Jackson (born October 7, 2000).
Oaziaza, who also had three children with Jermaine's younger brother Randy, who she also had an affair with while he was married to Aliza causing their divorce.
Jermaine Jackson na Randy Jackson (wakaka wa Michael Jackson) wote wamezaa na mwanamke mmoja, Alejandra Genevieve Oaziaza. Soma kipande hiki toka wikipedia kuhusu Jermaine;
The Jacksons are the epitome of a dysfunctional family. And Ms. Oaziaza fits the profile of a home wrecker.
Hii nilikuwa sijaiona. ni balaa!
Acha mtu na kaka wawili na dada mmoja, katika historia ya Wa-misri au Wagiriki, au Waroma kuoana mtu na dada yake wa damu kabisa ilikuwa kawaida.
Hamna cha ajabu duniani
Yaa lakini ya kaka na dada is totally wrong and sinfull!
Afro nawe ukiulizwa kitu inakua kesi...
Nimekujibu acha fujo...

Du pole. Inabidi jf waweke icon ya kutanabaisha jinsia. Kuna kukoseana sana, maana majina feki mengi yapo neutral.
Sindo ulivyonijibu...
BTT....haifai kabisa ndugu kushe mwanamke au mwanaume.
Mbona hivivitu vipo sana kaka, mimi naona nipoa tu maana ukoo hauendi mbali, ila inafuatana na mazingira ya kuzalishana!Hivi imeshawai kutokea msichana mmoja akatembea au kuzaa na mtu na kaka ake. Au x-wife wa mtu akaja kuzaa na mdogo wa aliyekuwa mume wake?
AU
Imeshawai kutokea kaka mmoja akatembea au kuzaa na mtu na dada yake?. Au x-husband wa mtu akaja kuzaa na mdogo wa aliyekuwa mke wake? Mimi sijawahi kuona haya.
Naonga mkono hoja.....
lakini hata wala wa fake ID's
wa kiume wataonekana wa kike
na wa kike wataonekana wa kiume

kutakuwa hakuna different kwenye hilo ...
Naonga mkono hoja.....
lakini hata wala wa fake ID's
wa kiume wataonekana wa kike
na wa kike wataonekana wa kiume

kutakuwa hakuna different kwenye hilo ...

Hivi imeshawai kutokea msichana mmoja akatembea au kuzaa na mtu na kaka ake. Au x-wife wa mtu akaja kuzaa na mdogo wa aliyekuwa mume wake?

AU

Imeshawai kutokea kaka mmoja akatembea au kuzaa na mtu na dada yake?. Au x-husband wa mtu akaja kuzaa na mdogo wa aliyekuwa mke wake? Mimi sijawahi kuona haya.
Sindo ulivyonijibu...
BTT....haifai kabisa ndugu kushe mwanamke au mwanaume.