Umeshawahi kuona au kusikia hii?

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,456
Hivi imeshawai kutokea msichana mmoja akatembea au kuzaa na mtu na kaka ake. Au x-wife wa mtu akaja kuzaa na mdogo wa aliyekuwa mume wake?

AU

Imeshawai kutokea kaka mmoja akatembea au kuzaa na mtu na dada yake?. Au x-husband wa mtu akaja kuzaa na mdogo wa aliyekuwa mke wake? Mimi sijawahi kuona haya.
 
Kwa hiyo kuna mtu amezaa kama ulivosema hapo juu? yaa inatokea sana ila huwa hatuikubali kimaadili kabisa
kuna msichana alikuja kufanya kazi kwa sister za ndani akagundulika mjamzito kumuuliza ya nani kasema amekuja nayo anahisi
kabla hajaondoka mdogo wa mama yake alimbaka
 
Duu yani kabakwa na mjomba ake? Thats crazy!
 
Nenda mkoa mmoja unaitwa Singida,fika Wilaya moja inaitwa Manyoni,mtafute mtu mmoja al-maarufu Mzungu-Ameoa mtu na mdogo wake na amewazalisha wote na anaishi nao wote hadi leo hii,huyo bwana ana wake watatu,kati yao wawili ni mtu na mdogo wake!!! Hilo la Mussa lipo la Firaun katika mji huohuo tafuta mtu mmoja mheshimiwa wa siku nyingi D1 yeye alishawazalisha ndugu watatu! Nenda ukashangaye!!
 
Duuh. Hii Kiboko!
 
That‘s not healthy...kwani wanaume/wanawake wameisha mpaka ndugu washee mmoja?!

Eti Afro ....unaweza kuniruhusu nimchukue desh desh?!
 
That‘s not healthy...kwani wanaume/wanawake wameisha mpaka ndugu washee mmoja?!<br />
<br />
Eti Afro ....unaweza kuniruhusu nimchukue desh desh?!

Duhhh
Usije ukamfanya akimbie bila viatu...
 
Acha mtu na kaka wawili na dada mmoja, katika historia ya Wa-misri au Wagiriki, au Waroma kuoana mtu na dada yake wa damu kabisa ilikuwa kawaida.

Hamna cha ajabu duniani
 
Back
Top Bottom