Umepata mcumba.......

Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,716
15,287
Msichana mzuri aliweka tangazo
kwenye gazeti akisema anatafuta
mwanaume atakayemwoa,ambaye
hata mwacha na atamridhisha
kitandani.
kesho yake akashangaa jamaa
anagonga mlango hana miguu
wala mikono.mjadala wao ukawa
hivi.
Mrembo:unagonga unataka nini
wewe?
Jamaa:niliona tangazo lako
kwenye gazeti,nimeamua nikuoe
Mrembo:nitakupeleka wapi mtu
huna miguu wala mikono.
Jamaa:una bahati kuwa na
mimi,sina mikono kwahiyo siwezi
kukupiga,sina miguu kwahiyo
siwezi kukuacha.
Mrembo:sasa we kweli kitandani
uko fiti?
Jamaa:sasa ndo ujiulize sina
mikono wala miguu ila mlango
niliugonga na nini.:A S-confused1:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom