Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,633
- 28,645
wengi walioa huko wanafurahia ndoa zaoKivipi boss
wengi walioa huko wanafurahia ndoa zao
Umenipa hamasa ya kutafuta dem wa kisukumaPakaJimmy,
Wanawake wa kisukuma
- ni wenye kuheshimu sana waume zao na wanaume kwa ujumla
- ni wachapa kazi sana
- ni wakarimu sana
- ni watiifu
- ni wenye ujuzi na mambo ya kujenga familia (wamefundwa)
- ni wazuri kimaumbile
- ni wajuzi wa kumridhisha mwanamume katika kila hali
Duh tabu Duh shida!
Si kwa kutumwagia sifa zote hizi dada zako,ila kweli bwana tupo kama hapo ulivyoandika.Kwanza ni wazuri kwelikweli. Wana maadili mema. Wanatambua nini maana ya ndoa na wanajua ku play roles zao. Sio wambea. Wanajua kupika. Wana akili. Hawana makuu. Ni wasafi kwelikweli. Sio walevi. Ni wavumilivu. Wana mapenzi ya kweli. Sasa kwa nini watu wasitake kuoa wanawake wa Kisukuma?
Si kwa kutumwagia sifa zote hizi dada zako,ila kweli bwana tupo kama hapo ulivyoandika.
Ben umepotelea wapi jamani?Mkuu,ulivyokomaa na hii stori!duh..ila ni wazurikweli
Ben umepotelea wapi jamani?
Yap sijui kapotelea wapi.Ben huyu ndie yule aliepotea?
Yap sijui kapotelea wapi.
Lol, mzee wa zanzibar unauzoefu. Zenji wapo wasukuma?
Si vibaya ukijitwaliaBasi nitaenda kuchumbia huko
Si vibaya ukijitwalia