Umeme umegoma kupita kanisani kwa Kakobe

katika wachangiaji wote waliochangia hii mada ( including me), wewe ndiye uliyeongea jambo la msingi sana

kule iringa kuna eneo ambalo line ya umeme ilikwepa makaburi kwa sababu tatizo lilikuwa linatokea pale tuu, na kakobe alifananisha uwezo wake na uwezo ulokuwepo pale kwenye makaburi kwa sababu nakumbuka alitolea mfano huo..sasa yale makaburi sijui ni nguvu zipi na za kakobe ni zipi mpaka ajifananishe nazo!!
Lakini jama, ivi kweli umeme umegoma kupita pale??au watu na mauzandiki yao tuu!!
 
Unataka nani akwambie ili Uamini? Msome Kipima Pembe
 
Oyee Oyeee: Bwana anampigania: Wote sema - Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeni

Hivyo ni Mungu yupi huyo anayeona Kakobe ni muhimu zaidi kuliko wakazi wote wa Dar es salaam? Do you really believe the guys is man of God au ndio ule mchezo wa kwenda Nigeria na Congo mtu anarudi na ushirikina tani moja then you call him man of God. Kama kweli angekuwa mtu wa Mungu nadhani angekuwa wa kwanza kusema pitishen umeme hapa ili watu wa Mungu wasiwe na tatizo la umeme, kama ni kweli umeme haupiti then i really doubt kama huyu jamaa ni mtu wa Mungu, na kama ni mtu wa Mungu basi Mungu wake si Jehova.
 
Back
Top Bottom