Umeme ulipokatika!!

Sasa FT1 hapa inaonesha wewe ndo mwenye hasira mkuu, kila ukiguswa washtuka, jiachie kidogo bana!
hapa ni full utani na Lizzy ni moja ya watu rational saana hapajamvini...
sisemi hivyo sababu ni partner hapana.. but ni mmoja wa waelewa sana
Alafu pleease in the future usifananashe one member with another
yaweza leta chuki kati ya members bahati nzuri saana mimi
na Lizzy tumeshibana... Sorry kama nitakua nimekuudhi sina nia mbaya..
sina hasira hata kidogo Asha D!
muda mwingine kusema ukweli inapendeza zaidi.
na sij
ui kwanini watu sometimes huwa wana criticise thread za wenzao lakini kwa thread hii kama mtu akikaa na kuisoma vizuri ina maudhui mazuri tu ndani yake.
lakini zikija baadhi ya thread kisa imeletwa na fulani hata kama haina mashiko hawata i criticize hata kidogo na watachangia kama kawaida
Asante Asha D, nanyamaza
 
Hupendwi jamani mbona unalazimishaaaaa?!

Owkey ngoja niwe muungwana.Kweli kabisa umeme ukikatika mengi yanaweza tokea mpaka mpate chemli au mshumaa na kiberiti kilipo.Ila tabia mbaya sana kukanyaga mboga alafu ukawaacha wenzio wale!
 
(Hupendwi jamani mbona unalazimishaaaaa)?!

Owkey ngoja niwe muungwana.Kweli kabisa umeme ukikatika mengi yanaweza tokea mpaka mpate chemli au mshumaa na kiberiti kilipo.Ila tabia mbaya sana kukanyaga mboga alafu ukawaacha wenzio wale!

hahaaaa kwenye ID hii hunipendi
haya Bana
na hapo chini asante kwa kua Muungwana,
Ngoja nikupe na senks
 
sasa hii thread imekuwa ya mapenzi au kumbukumbu mbona na nyny mnakuwa hamjui kusoma majira na nyakat zake?
 
hahaaaa kwenye ID hii hunipendi
haya Bana
na hapo chini asante kwa kua Muungwana,
Ngoja nikupe na senks

Kabisaaaa sikupendi...

By the way since umeringishia samaki uliosusa miaka kadhaa nyuma mi nakuringishia mchuzi wa ng‘ombe ulioungwa na Royco nlokula leo!!
 
Kabisaaaa sikupendi...

By the way since umeringishia samaki uliosusa miaka kadhaa nyuma mi nakuringishia mchuzi wa ng‘ombe ulioungwa na Royco nlokula leo!!

Jamani kweli hunipendi????
Hahaaa haaaaa,
sred iz clozid
 
Hana lolote huyo....

Duh
Hasira za nini kuwa kama Asha D, .

Sasa FT1 hapa inaonesha wewe ndo mwenye hasira mkuu, kila ukiguswa washtuka, jiachie kidogo bana!
hapa ni full utani na Lizzy ni moja ya watu rational saana hapajamvini...
sisemi hivyo sababu ni partner hapana.. but ni mmoja wa waelewa sana
Alafu pleease in the future usifananashe one member with another
yaweza leta chuki kati ya members bahati nzuri saana mimi
na Lizzy tumeshibana... Sorry kama nitakua nimekuudhi sina nia mbaya..
.

Sina hasira ila nataka uache kuleta thread zisizo na mantiki jamvini....kama umeme umekatika si uwashe chemli au kibatari?!.

Invisible na Mods ndo huwa wanajua kuwa thread haina mantiki, wewe ni Mwanachama tu, soma na changia, na kama umekwazika report kwa Invisible aiondoe, kwenye mabano hapo naomba nikupe quiz ya kusoma tena thread nadhani hukuelewa.

Sasa mi nakwambia najua...HAINA MANTIKI!! .

tutakupigia debe u pate U MOD .

[B said:
Fellow Tablet[/B]1;2046526]sina hasira hata kidogo Asha D!
muda mwingine kusema ukweli inapendeza zaidi. na sij ui kwanini watu sometimes huwa wana criticise thread za wenzao lakini kwa thread hii kama mtu akikaa na kuisoma vizuri ina maudhui mazuri tu ndani yake.
lakini zikija baadhi ya thread kisa imeletwa na fulani hata kama haina mashiko hawata i criticize hata kidogo na watachangia kama kawaida
Asante Asha D, nanyamaza .

Hupendwi jamani mbona unalazimishaaaaa?!
Owkey ngoja niwe muungwana.Kweli kabisa umeme ukikatika mengi yanaweza tokea mpaka mpate chemli au mshumaa na kiberiti kilipo.Ila tabia mbaya sana kukanyaga mboga alafu ukawaacha wenzio wale!
.

Hamfai kabisa mtoto wa watu kijasho kimenitoka kumbe mwanichezea!!!:frusty:
Nimewasambu....
 
sasa hii thread imekuwa ya mapenzi au kumbukumbu mbona na nyny mnakuwa hamjui kusoma majira na nyakat zake?

MAANA YA HILI JUKWAA NI KAMA IFUTAVYO:-
wanachama wetu na kuwapa thamani sawa. Tunatoa UHURU WA KUONGEA. Kama mada inakukuna au kukugusa kwa kiwango ambacho unaona lazima utoe majibu jisajili na kutoa ufafanuzi yakinifu. Ieleweke kuwa, yaandikwayo hapa ni mawazo ya wateja/wanachama wetu na si msimamo wa uongozi ama waanzilishi wa JamiiForums.com ama vinginevyo. Lugha za matusi hazitavumiliwa! Tutashukuru pale ukiona jambo baya ukatufahamisha tulifanyie marekebisho haraka kabla hujakashifu au kutoa lawama. Sisi ni binadamu na tuna mapungufu yetu.

asante Mkuu nadhani umeelewa, maana ya hili jukwaa.
 
Duh bado mpo?
Nawatakia usiku mwema!
Asha D hongera kwa kuweka mambo sawa!
 
Mie nakumbuka umeme kukatika nikawa sijasoma kwa ajili ya ka test nilianza tu umeme ukaondoka nikasomea mshumaa kwa mara ya kwanza chumbani hata wazee hawakujua maana ningesemwa. Duh ilikuwa tabu ilibidi ni kramu na nikapata 98% O'level hiyo. Nikawa wa kwanza na kusifiwa juu I guess kutokuwa na umeme usiku huo ulinifunza mengi

Hadi leo sidharau kitu maishani haswa maisha ya wasioweza kupata wengine wachukuliao mchezo
 
Lizzy naona unachangia humu bado na ulikandia topic hii mwanzoni acha watu walete watakayo OK?
 
Back
Top Bottom