Kukosa kazi kubaya sana. Grid ya Taifa imeamua kucheza ruka kamba, Umeme wa uhakika TZ mpaka mwisho wa dunia!
Hapa ni karibu na Songas Ubungo
Kama gesi ipo na umeme tunakosa bora na mafuta yasipatikane maana hayatasaidia kitu zaidi ya kufaidisha mijizi michache huku shida zikiendela