Umeme shida ! Kila kitu shida !

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,524
4,243
Kukosa kazi kubaya sana. Grid ya Taifa imeamua kucheza ruka kamba, Umeme wa uhakika TZ mpaka mwisho wa dunia!
Hapa ni karibu na Songas Ubungo

0008054bciz.gif



Kama gesi ipo na umeme tunakosa bora na mafuta yasipatikane maana hayatasaidia kitu zaidi ya kufaidisha mijizi michache huku shida zikiendela

























 
aise hiyo ni kali kwelikweli...kwa hali hiyo giza ni mpaka milele!
 
Mbona hii kitu ya pylons na waya kuruka viunzi ilisha kuwa presented na kaka M.M. Mwanakijiji long ago!!!!! Somi jitahidi ujaribu kupitia thread za huko kabla utaiona.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom