Mujumba
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 853
- 306
kababu wanakaonea sana coz wanakapa mizigo mingi sana,sasa na kwavile hakana kazi kanabidi katie maagizo la sivyo zile milioni kumi na ushee za kila mwezi wale wachaga hawatampa haaha kila siku wimbo wa majina?? babu toa singo nyingine haaa kushne kabisaUmeona mkuu, hii mijitu huwa inadhani hii ni nchi yao peke yao kutukana wenzao, mimi nilidhani hako kababu kao wanakaleta Mtwara nilikuwa nimejiandaa kukazomea hadi kapate kiharusi tena.