Umaarufu wa Chadema wapungua (Gazeti la Tazama)

Magazeti ya nchi hii hayajui yanachokiandika!! Yamekuwa na ushabiki hadi waandishi wanaweka pembeni taaluma zao. Mimi nasoma magazeti machache sana na TAZAMA si miongini mwayo!! Hivi hili TAZAMA si ndio linaandikwa na jamaa mmoja anaitwa Charles Charles ambaye ni katibu wa CCM huko Iringa (kama hajavuliwa gamba)? Huyu jamaa si ndio aliomba apewe pesa za kulifufua gazeti sijui la changamoto (UVCCM). Sisomi magazeti kwa kuwa magazeti mengi ya Tanzania yamegeuka kuwa ya UDAKU

Soma gazeti moja linaitwa Tanzania Daima, mmiliki wake ni yule mmilikiwa lile kasino linaitwa billicanas na pia ni mwenyekiti wa CDM, hili gazeti lipo vere sabjektivi. Ndio gazeti makini sana.
 
Hilo gazeti la Tazama ni la nchi gani?? je wakati huyo Dr akizomewa walikuweko waandishi wa Tazama gazeti tuuu,,,,? huu ni mkakati wa akina Nape Hakuna **** ki hivyo...imekula kwenu wafu mnaosubiri kuwazika wafuao....



watu wakiambiwa ukweli wanakimbilia kusema wametukanwa! Leteni ushahidi wa kuzomewa kwa Slaa hapa vinginevyo kaendelee kucheza mdako msilete umbea humu
 
Hizi habari za kishoga kamwambiw nape na mafala wenzake sio sisi ban....Tafuta lingine hapo imekula kwako
 
sasa ninaamini kuna mijitu mingine akili zipo makalioni

Sisi kazi yetu ni kucheka tu mkuu,tehe tehe tehe,si ndio maana walikuwa wanagawa hayo magazeti asubuhi tehe tehe tehe acha ma houseboy wahangaike mafisadi wamelala.
 
Hata mimi nimeliona asubuhi nikasema ndio maana muhimbili hapatoshi, kama kuna wenye muda dawa ya hili gazeti ni kulishitaki tudai ushahidi ili lifungwe, si ndio hili la kada wa CCM charles charles aliyekua anaomba kazi kwa shigela? crap takataka mavi yake nae anajiita mwanaume anavaa suruali na kufunga mkanda?

Moderator naomba umpe Ban huyu jamaa tukianza matusi JF itaonekana ya wahuni tupu!
 
kama kaanza kuzomewa subiri ipo siku mtasikia katimuliwa. na bado yeye sialijikinga kwenye kanisa? sasa maaskofu wasiokuwa wakatoriki wamesha anza kumwaga cheche na waumini hufuata msimamo wa viongozi wao kwahiyo Slaa hawezi tena pata umaarufu kwa wananchi maana wanaoelimisha jamii juu ya propaganda za slaa.

Unaonaje ukijitoa hapa, maana huonyeshi hata chembe yakuwa 'great thinker,' daima mawazo yako yamejaa udini, ukabila na ushabiki usio na tija. Unashindwa kuziandama hoja zinazotolewa, badala yake umekomalia kuwaandama watu binafsi. Natafurahi sana pale utakapoacha kukisemea chama cha mapinduzi kwani unakipaka matope na mawazo yako duni.
 
Raptor wewe ni great thinker..c mshabiki hata kidogo,.ila tegemea majibu mepesi ya kwamba umetumwa,.maana kuna watu humu ukikosoa tu chadema bs hawaangalii hata ulichoandika kina mantik ganGani,wao haraka wanashambulia mtu

Asante mkuu wewe ni great thinker kwa kunielewa!
 
Hata mimi nimeliona asubuhi nikasema ndio maana muhimbili hapatoshi, kama kuna wenye muda dawa ya hili gazeti ni kulishitaki tudai ushahidi ili lifungwe, si ndio hili la kada wa CCM charles charles aliyekua anaomba kazi kwa shigela? crap takataka mavi yake nae anajiita mwanaume anavaa suruali na kufunga mkanda?

Hiyo ndiyo kula yake. Ili familia yake iende choo, hana budi kuwahadaa watanzania. Watanzania walishang'amua hilo, na sielewi ni vipi wataweza kwenda choo tena kama hana savings.
 
nilitaka kushangaa na bado,watazomewa hadi jimboni kwa zitto kabwe maana kule huwaambii kitu kuhusu JK.SASA WATANZANIA WAMEANZA KUAMKA SASA NAKUONA WANASIASA VILAZA ,WACHAGA WAMEWAROGA NINI WATANZANIA HIVI KWELI WANAOSHABIKIA CHADEMA WAMESAHAU KIFO CHA MPAMBANAJI CHACHA WANGWE? KUPORWA UENYEKITI WA VIJANA DAVID KAFULIA?
 
Soma gazeti moja linaitwa Tanzania Daima, mmiliki wake ni yule mmilikiwa lile kasino linaitwa billicanas na pia ni mwenyekiti wa CDM, hili gazeti lipo vere sabjektivi. Ndio gazeti makini sana.

Mimi silishangai gazeti la Tanzania Daima kwa kuwa najua na inajulikana kwamba linamilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA na kwa maana hiyo najua litakuwa liko biased. Silishangai gazeti la Uhuru kwa kuwa najua linamilikiwa na CCM kwa hiyo litakuwa biased pia siyashangai magazeti ya Habari corporation. Huwa hayo yote siyapendi. Lakini yanapokuja magazeti ambayo tunadhani ni huru kumbe yanakuwa ni kichaka cha watu wengine hapo ndipo ninapoyaita ya UDAKU
 
Duh poleni sana mlivyojipanga hadi huruma, halafu Msekwa anauliza kwanini CCM inachukiwa na vijana hasa kwenye mtandao wa JF kama nyie ndio watumwa wake mtamuua mzee wa watu kabla ya siku zake.

Kaka mimi sijatumwa na wala si mshabiki wa chama cha magamba,ila naleta habari kwa wanajamvi hata kama ni shubiri(chungu) kwa watu wengine.

Siasa ni kuvumiliana
 
kama kaanza kuzomewa subiri ipo siku mtasikia katimuliwa. na bado yeye sialijikinga kwenye kanisa? sasa maaskofu wasiokuwa wakatoriki wamesha anza kumwaga cheche na waumini hufuata msimamo wa viongozi wao kwahiyo Slaa hawezi tena pata umaarufu kwa wananchi maana wanaoelimisha jamii juu ya propaganda za slaa.[/QUOTe
huna tofauti na k.m., kwa maana akili zako ziko chini, kwani ni nani asiyjua kuwa kuwa docta anapata uaarufu kwa sababu a u.s.nge wa ccm?, mimi mwenyewe ni ccm damu lakini kwa mambo wanayoyafanya naogopa hata hata kujitambulisha hata kwa wanangu wadogo, ni aibu. kwa mtu mzima kama mimi kudanganya. na mudasiyo mref nahamia rasmi kwa kuwa naogopa uongo. ccm tumekuwa wango utafikiri tumelogwa
 
Nashangaa!! Kwanini serikali haipendi vyama vya upinzani? Badala yake inavidhoofisha vionekane si lolote. Hiv ndiyo demoklasia? Au kwa kuwa kila sekta kuna makada wa chama cha magamba tangu enzi. Kama ni mpango wa Mungu Chadema itazidi kupaa. Hata kama wakivua magamba sumu bado imo haisaidii. Dawa ya joka lililojivua gamba ni kuliponda kichwa life kabisa. Dua zangu ni ccm kipotee, kishachosha!!
 
Back
Top Bottom