AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
1.carol light ni nini hasa?mafuta?mkorogo?lotion?
?
Carolite sio mkorogo... ila ni body cream ambayo mtu akipaka majority
inawatakatisha... hasa akichanganya na liquid yake au vitu ziada kwa
malengo ya kua mweupe au light skinned... But note that sio woote
wakipaka hayo mafuta wanakua light skinned...
2.kwa nini yamekuwa maarufu sana hasa kwa wadada
3.wanao tumia ni watu aina gani?
?
Yamekua maarufu bcoz kwa wanaojichubua sio gharama saana mafuta
yake... However Carolight inapatikana katika size tofauti kwa bei inayo
varu tokana na hio size, na pia ni aina ya cream ambayo hukaa mda mrefu
kuisha... hivo wa hali ya chini na juu woote waweza mdu bei. Watumiaji wakubwa
ni wadada na mashoga - but bahati mbaya saana hata baadhi ya wanaume wameanza... Sad.
4.ni kweli yana madhara?tfda,serikali.tbs wapo wapi?
5.ni kweli yamepigwa maruku baadhi ya nchi?uganda?malawi?
6.tanzania ni kampuni gani inahusika na biashara hii?
??
Ndio maana yanapendwa mana madhara yake yako at minimal na ni rahisi
ku recover ngozi ya mhusika compared akiathiriwa na aina nyingine - yenyewe
kama yenyewe madhara yake yapo but hua intensified baada ya kuongezwa
makolombwezo mengine (inapotengenezwa mkorogo...)
Zambia na Malawi yapo kwa wingi kama hapa TZ (that much i know...) kama
ilivyo TZ hua zinapigwa mikwara tena wanajisahau ndio hivo hizo nchi... ingawa
Zambia they do not even bother kuficha... Alafu TZ wafanyabiashara wenyewe
bana... Sidhani kama kuna CO. inahusika openly moja kwa moja...
7.nini kinaongezeka kwa mtumiaji?
8.kama ni mkorogo kwa nini umekuwa maarufu kuliko mingine?
9,na akina baba wanaotumia?inakuwaje?
10.au kuna kitu kingine kinaitwa carol light na sio huo mkorogo??????????
Hii above part mostly nimejibu hapo juu... Ila tu kinachoongezeka ni urembo
hasa kwa wadada... ngozi yao hua nzuri na light hivi... kwa kweli wanapendeza saana
ila tu ikigoma.. mchezo unaharibika... Na mkorogo ni yale mafuta yalochanganywa
mno kwa malengo ya kutakatisha... wengine huweka hadi Petrol, Jik... and the like...