basi mwaya usijali ipo siku utaamini.
hebu siku muulizie mtu hivi libwata ni nini?
come to think of Libwata, sasa hiyo nyama si itnuka sana? na hiyo mbunye nayo nyama wiki nzima si kutafuta majonjwa mabaya sana na haruku kali mno?
sasa sikiliza nimeona mtu ambaye yeye alipigwa sura ya mavi yaani mumewe kila akimuona anasema naskia harufu ya mavi humu ndani kumbe hakuna lolote hali hii ilitokana na mtu kuekewa mavi mlangoni akayatoa basi ikawa ndo balaa lake.limbwata naisikia tu, lakini siiamini
ni kama mapepo, majini, majinamizi yote yanatokana na hofu tu.
Ujue kila mwanamke kwa asili ana dizaini yake ya 'how to charm men'
unakutam mtu anapewa limbwata afu mganga anamwambia zidisha mapenzi kwa mmeo sana ili dawa ifanye kazi.
Kilichofanya kazi ni dawa au kuzidisha mapenzi??
Hivi mwanamke anakaaje na nyama up there for 7 days? Should be very uncomfortable, smelly and infectious! Na haitaanguka as it rots? Kisa cha kutoa mafunza? Si aende tu, kheee!
Na hiyo ya maji ya kutawazia, sijui kucha na nywele, si mtapata amoeba? Dah!
tatizo mie sikulazimish kuamin but ninachokiongea nna uhakika nacho kwa asilimia 1000000. ukitaka kuamina jiulize kwanni wengi wanaotoka nje hushindwa kurud hadi dawa zichakaeKweli ushirikina ni elimu ya mjinga! Hiyo nyama hata iwekwe kwenye uchi wa mwanamke kwa miaka 7 haina lolote isipokuwa wewe mwenyewe. Kama unaamini kwenye uchafu kama huu yatakukuta. Kimsingi watu hujiingiza kwenye nyumba ndogo kutokana na ku-expose matatizo kwenye ndoa zao. Nyumba ndogo wanachofanya ni kumpeleleza mhusika kujua kuna udhaifu gani kwenye ndoa yake. Wengine huwa na nyumba ndogo kutokana na tamaa tu. Hakuna cha limbwata wala ndelenja. Huyo aliyesema hayo uliyokopi ni binadamu. Ana udhaifu wake na imani yake. Je kama angesema kuwa hiyo nyama ni nyama na uchi wa mwanamke ungeamini siyo? Limbwata kubwa linaloweza kutumiwa na mtu yoyote ni kujua siri na udhaifu katika ndoa yako kama siyo udhaifu yaani tamaa zako. Angalieni miwaya itawamaliza wanangu.
@gsonwin yes i can admit kwamba ulozi upo as from matukio unayosema..
But believe me uzi unaojenga mapenzi ya kishirikina ni mwembamba sana..its just the matter of time unakatika!
Ila pia kama alivosema Kongosho wakt mwingine waganga wanacheza na saikolojia ya wanadamu tu..
Jiulize mbona siku hzi pale uwanja wa Taifa hawaambiwii Simba na Yanga kuruka ukuta kama ilivokuwa kule shamba la bibi??
waeleze wajue yaani hapa watu watakana ila ni ukweliaisee hiyo mambo nakimbia kuiamini coz inanitisha. kiukweli nimeshaisikia mara nyingi.
kuna hii niliisikia nikabaki kinywa wazi (honestly, I don't know how much of this is true)... kwamba mwanamke anaenda kwa tawire pros na wanamfanyia design flani ya kuingiza konokono au mdudu yoyote mwenye mwendo wa kujinyonganyonga kwenye p***y yake kwa kutumia sayansi yao, basi magic stick ya kidume ikiingia huko aaah konokono mdudu whatever anawajibika, bwamdogo anasikia kutekenywatekenywa, basi kidada kinakuwa perceived kuwa kina uchi mtamu kwelikweli...oh my!
ulinzi wa Mungu nautegemea sana...
skiliza nikwambie Kongosho wapo wanawake walioko ndoani ambao huamini sana ushirikina so kwao huona kumtuliza mume ni kumloga.another point of correction, je ni kweli walio kwenye ndoa hawatumii limbwata??
Na je nyumba ndogo zote zinatumia limbwata?