Mahusiano

jesca02

Member
Jan 1, 2024
20
42
Habari ya asubuhi Wana JF niende kwenye mada moja Kwa moja

Kuna Jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu wanawake WA kabila la kihaya, chanzo cha kujiuliza ni kutokana na maisha ya baadhi ya familia nilizoziona jinsi ambavyo zinaishi.
Familia ya 1 hawa ni wanandoa mwanamke ni mhaya mwanaume ni mgogo kiukweli hawajajaaliwa Sana kiuchumi lkn wote wanapambana kutafuta.Cha ajabu ni kwamba nyumba inacontroliwa na mwanamke, Baba mwenye nyumba ni mpole Sana watoto wote wanamsikiliza mama, ndugu wote wanaokuja hapa ni WA upande WA mama ndio wamejazana,kutoka Kwa Baba hakuna hata mmoja Yani mama ndie kichwa kwenye hii familia kutokana na matendo yake.

Familia ya 2 ni wanandoa pia mwanamke ni Mhaya mwanaume pia Mhaya,cha ajabu napo mama ndie kiongozi Mzee anafanya kazi za ndani tena huku mama akiwa amekaa kabisaaa na maisha yanaendelea.

Familia ya 3 hawa ni wanandoa wapya, mwanamke ni Mhaya mwanaume sio Mhaya, hawa ndio kabisaaa ndoa Yao haijafikisha hata mwaka SA hivi imeshavunjika. Huyu mwanamke ni WA kishua na ni mtoto WA mchungaji aliolewa na mwanaume mpole Sana ambaye alimzidi pesa Yan mdada alikuwa na pesa zaidi ya mwanaume so life ikagoma since spending zinatofautiana na kuhusu majukumu huko ndani sijui ilikuwaje, now wameachana na mwanaume sasa hivi anamwanamke na mtoto wanasongesha life.

Familia ya 4 hawa hawajafunga ndoa ni sogea tuishi, mwanamke ni mhaya mwanaume sio Yani ni shughuli pevu.Mwanaume anafanya kazi hadi kufua nguo za huyo mwanamke anaosha vyombo anasafisha nyumba anamtumatuma Sana huyo mwanaume na mwanaume anafanya tu. Huyu mwanaume hapa anasema mwanamke wake ana element za ubinafsi maana ana gari Ila hajawahi kumuachia hata siku moja aendeshe na kila wakifika au kutoka nyumbani yeye ndio kazi yake kwenda kufungua na kufunga geti.

Sasa wandugu mm hayo ndio baadhi ya niliyoyashuhudia napata ukakasi kuelewa kuwa hii ni tabia ya mtu binafsi yaani hao wanaume wao wenyewe Kwa matakwa Yao na kupenda wao wenyewe wamekubali kufua kuosha vyombo kupika n.k au kule Kwa wenzetu kuna Siri nyuma ya pazia, labda mje mtoe ushuhuda na nyie wenzangu kuhusu Hali ya maisha mnayoiona Kwa watu wanaoishi na wanawake WA kihaya.
 
Hivi,ukiwaangalia wanaume wa kihaya na ile misifa yao ya ajabu, hujiulizi watoto wao hasa wa kike hupewa malezi gani? Ukipata jibu hapo, ndo ujue kabla ya kuolewa,maana kwao sogea tuishi si wengi,lakini hata tu kwenye mapenzi, hujiona wao ni zaidi. Ungesema ni wavivu,ila kwenye domo,hawajambo.
Haogopi kukwambia eti Usicheze na mimi, hiki ki kichwa kingine kabisa. Hapo ndo utajua umeolewa siyo umeoa
 
Habari ya asubuhi Wana JF niende kwenye mada moja Kwa moja

Kuna Jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu wanawake WA kabila la kihaya, chanzo cha kujiuliza ni kutokana na maisha ya baadhi ya familia nilizoziona jinsi ambavyo zinaishi.
Familia ya 1 hawa ni wanandoa mwanamke ni mhaya mwanaume ni mgogo kiukweli hawajajaaliwa Sana kiuchumi lkn wote wanapambana kutafuta.Cha ajabu ni kwamba nyumba inacontroliwa na mwanamke, Baba mwenye nyumba ni mpole Sana watoto wote wanamsikiliza mama, ndugu wote wanaokuja hapa ni WA upande WA mama ndio wamejazana,kutoka Kwa Baba hakuna hata mmoja Yani mama ndie kichwa kwenye hii familia kutokana na matendo yake.

Familia ya 2 ni wanandoa pia mwanamke ni Mhaya mwanaume pia Mhaya,cha ajabu napo mama ndie kiongozi Mzee anafanya kazi za ndani tena huku mama akiwa amekaa kabisaaa na maisha yanaendelea.

Familia ya 3 hawa ni wanandoa wapya, mwanamke ni Mhaya mwanaume sio Mhaya, hawa ndio kabisaaa ndoa Yao haijafikisha hata mwaka SA hivi imeshavunjika. Huyu mwanamke ni WA kishua na ni mtoto WA mchungaji aliolewa na mwanaume mpole Sana ambaye alimzidi pesa Yan mdada alikuwa na pesa zaidi ya mwanaume so life ikagoma since spending zinatofautiana na kuhusu majukumu huko ndani sijui ilikuwaje, now wameachana na mwanaume sasa hivi anamwanamke na mtoto wanasongesha life.

Familia ya 4 hawa hawajafunga ndoa ni sogea tuishi, mwanamke ni mhaya mwanaume sio Yani ni shughuli pevu.Mwanaume anafanya kazi hadi kufua nguo za huyo mwanamke anaosha vyombo anasafisha nyumba anamtumatuma Sana huyo mwanaume na mwanaume anafanya tu. Huyu mwanaume hapa anasema mwanamke wake ana element za ubinafsi maana ana gari Ila hajawahi kumuachia hata siku moja aendeshe na kila wakifika au kutoka nyumbani yeye ndio kazi yake kwenda kufungua na kufunga geti.

Sasa wandugu mm hayo ndio baadhi ya niliyoyashuhudia napata ukakasi kuelewa kuwa hii ni tabia ya mtu binafsi yaani hao wanaume wao wenyewe Kwa matakwa Yao na kupenda wao wenyewe wamekubali kufua kuosha vyombo kupika n.k au kule Kwa wenzetu kuna Siri nyuma ya pazia, labda mje mtoe ushuhuda na nyie wenzangu kuhusu Hali ya maisha mnayoiona Kwa watu wanaoishi na wanawake WA kihaya.
ok sasa tupe maelezo kuhusu familia yako pia
 
Acha kufuatilia maishavya watu. By the way nami niongezee, kuna jamaa yangu kaoa mhaya yeye sio mhaya, mwamba ni mpole sana kwa mkewe, mkewe katokea familia bora na mwana choka mbaya. Jamaa yuko chini ya mwanamke, mimi husema kuolewa.

Mtoa mada acha ufala, achana na maisha ya watu
 
Mbea mkubwa wewe...yaani familia zote ulizoziona ni za wahaya tu.

Mind your business
 
Wanawake wapumbavu hao...

Mwanaume sikia, kazi fanya kwa kutaka na upendo ila sio kwa kulazimishwa na mwanamke.
Sasa, siku hizi ujue kuna watoto wa kiume wanaolewa!!! Unategemea nini! Wanatamaniana, na wakaishi. Watu wa zamani kama miaka 25 kurudi nyuma walikuwa na raha sana.
Sasa hivi litoto linabeba mimba,unakuja kujua mtoto yupo la 7.
Wakati kipindi hicho unakaguliwa karibia kila siku
 
Back
Top Bottom