Ulozi kwenye mahusiano...

mi huwa naamini kwau ushirikina, ulozi nk ni imani kama imani za dini nyingine. Ukiamini unakuwa muumini, usipoamini hudhuriki.

Mimi nampenda mke wangu ila siamini hata kidogo kuwa mapenzi haya yanachochewa na ushirikina....mana hapa baadhi yetu wanaume tutaanza kuogopa kula nyama nyumbani lol
 
gfsonwin naamini hata kama wanafanya yatakuwa mambo ya muda mfupi sana halafu shida yote hiyo ya nini mbona kama yote uliyosema yanahusisha uchafu sana maji ya kutwawazia,nyama kwenye nyuchi si utanuka!
 
Ngoja MAMA POROJO aje kuiendeleza hii sredi,yeye nasikia ana mastaz ya haya mambo ya ulozi
 
mi huwa naamini kwau ushirikina, ulozi nk ni imani kama imani za dini nyingine. Ukiamini unakuwa muumini, usipoamini hudhuriki.

Mimi nampenda mke wangu ila siamini hata kidogo kuwa mapenzi haya yanachochewa na ushirikina....mana hapa baadhi yetu wanaume tutaanza kuogopa kula nyama nyumbani lol

swtlo nilichosema mimi sio kwamba wanawake wote wako ivyo ila nimetoa angalizo kwani nimeyaona haya na hawa wa nyumba ndogo ndo kabisa tea huwez kuamn ukiwaona nakwambia
 
gfsonwin naamini hata kama wanafanya yatakuwa mambo ya muda mfupi sana halafu shida yote hiyo ya nini mbona kama yote uliyosema yanahusisha uchafu sana maji ya kutwawazia,nyama kwenye nyuchi si utanuka!
skiliza ma dia kama si mtu wa kusali aisee ni ngumu sana. na hadi dawa ziishe wewe umeshalia miaka 10+ umeteseka na wanao hadi basi kisha mtu anakurudia na visukari na presha juu kama sio kansa inauma acha kabisa. ukiyajua haya usiku hutolalal mwanamke utapiga goti kusali
 
waeleze wajue yaani hapa watu watakana ila ni ukweli

aisee dada hii mambo nimeisikia sana,kumwomba Mungu very muhimu coz people are getting more weird by the day.
hii kitu si ya kutegemea ili kujenga mapenzi ya kweli unless definition ya mapenzi imebadilika (kwamba ni kupewa magari, kupangishiwa nyumba, kufunguliwa biashara, kutunziwa familia kifedha n.k) once charm ikiexpire huyo mlozi anaweza ona kama hell just broke loose...si vitu vya kubebana navyo ila unapovisikia omba Mungu akulinde...VEEERY IMPORTANT
 
na mm nia yangu ilikuwa kama yakwako kuwaonyesha watu upande wa pili kisha niwaambie wasali sana.
 
skiliza nikwambie Kongosho wapo wanawake walioko ndoani ambao huamini sana ushirikina so kwao huona kumtuliza mume ni kumloga.

kumbe hata wanawake waliondo ndoani nao wana insecurities hadi kuamua kuwaloga wamme zao.

Je, aliye ndoani na asiye ndoani procedure za kuloga ni tofauti??

Kama ni tofauti zao zikoje??

Na je, wanamme wana risks sana wakiwa na wake zao walozi au small house walozi?
Hapa najaribu kupima muda anaospend na mke mlozi vs small house mlozi.

Je, yule anayekaa naye muda mwingi si ndio ataleta madhara makubwa zaidi??

4783942 said:
%100 ya w=small house zinazohudumiwa kwa kupewa nyumba na magari wanaloga hakuna upendo wa kawaida hapa never. hii nimeona kwani wengi dawa zikiisha huachwa ama wanaume hurudi tena kwake mikono nyuma.
kuna mada moja aliileta Badili Tabia ya kwa nini wanamme wanarudi kwa wake zao hata kama waliasi, sababu ziko nyingi, ila sikuwa na habari na hii ya ulozi pia.

Na pia nashindwa kujua hiyo 100%, umeipataje, ni smalll house ngapi ulizoona, na ni za mazingira gani??

Na pia, hivi kuhongwa nyumba ni ajabu?? Au kuhongwa gari ni ajabu?? Hadi mtu aloge ndio aweze hongwa vitu vya aina hii??

Mwanamme anaweza kukuhonga hata ikulu, siri mfahamu anataka nini, pima kama yuko connected na wewe kwa kiwango gani, be yourself, utapata utakacho.

Kingine, hivi bill gate kuhonga nyumba ya USD mil 15, ni issue?? Kama nataka nyumba kwa nini nidate muuza kibanda cha mkaa? We call it strategic positioning au kwenye biashara ni location, location, location

Nina mengi ya kusema nimechoka tu.

Zaidi ya kondomu, penzi halina dawa.
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo siyaamini hata kwa dawa...na mengine ni nadharia tu....

Nyama inawezaje kukaa sehemu kama hiyo na joto lote hilo bila kuoza kwa siku 7? Yaani watu wanasahau hata biology ya kidato cha kwanza??

Naomba mtu ambaye ana dawa zake anipe mimi...Niko tayari kuwa guinea pig!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
gfsonwin naamini hata kama wanafanya yatakuwa mambo ya muda mfupi sana halafu shida yote hiyo ya nini mbona kama yote uliyosema yanahusisha uchafu sana maji ya kutwawazia,nyama kwenye nyuchi si utanuka!

Upuuzi tu na wanaishia kuwalisha wenzao uchafu wa kupindukia...

Wasopoacha watakuja kuwaua wenzao kwa kuwalisha bacteria wa kwenye kinyesi au kuwasababishia kipindupindu!

Ujinga mtupu!!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
jamani, hata wakati wa maji maji war, kinjeketile Ngware of Ngarambe and Ungido aliwachuuza wenzio wajipake dawa na bullets will turn into water.

Si unaona walivyokufa kama nzige na akashindwa vibaya??

Lakini kwa uelewa wa Kinje aliona amepata muarobaini wa vita, hii ilijidhirisha imeshindwa na haifanyi kazi sababu matokeo yalionekana hadharani.

Kwa upande wa mapenzi, tunashindwa kuona ambayo dawa hazifanyi kazi maana ziko mafichoni tu, am sure hata kwenye mapenzi bullets zinawalamba tu.
 
sikatai gfsonwin kusali ni muhimu sana je unataka kusema nyumba zote ndogo huwa zinahusisha ulonzi,nia na madhumuni ni kipi hasa najaribu kufikiria mazingira yote uliyoweka hapo juu hayana mvuto hata kidogo kwa binadamu mwenye akili timamu kuyafanya au kwao maana ya mapenzi huwa ni tofauti?
labda tuwaite wachumia mali maana sioni hata moja linalovutia kwenye ulonzi!

skiliza ma dia kama si mtu wa kusali aisee ni ngumu sana. na hadi dawa ziishe wewe umeshalia miaka 10+ umeteseka na wanao hadi basi kisha mtu anakurudia na visukari na presha juu kama sio kansa inauma acha kabisa. ukiyajua haya usiku hutolalal mwanamke utapiga goti kusali
 
Kongosho mke aloko ndoan akiwa mlonzi hana tofauti na small house manake hakunaga tofauti sana ya aina ya ulonzi ila tu ni kwamba wote wawili wakiwa walonzi wanaweza kumfanya mume akaugua magonjwa ya ajabu sana. unajua kumloga mtu nia ni almost the same? manake majina yake ukiwa nayo na jina la mama basi vitu kama nywele, kucha, makombo nk unaweza kuvipata tu kirahisi.

nasema kwamba 100% ya small house kwasababu wengi wa watu ambao mie nimewaona tena wote ambao wanatembea na wanaume wenye familia basi huwa wanakwenda kwa waganga siriaz. na ukweli wanasemaga kabisa mganga fulan dawa zake zinakoza ama mganga fulan hazikozi.

mie nakaaga sana vijiwen na stor za uswaz ni hizi hizi, watu wanaloga hadi mabiti wa kazi ili kuwafunga wasiondoke na wasifurukute achana na haya mambo.
 
Last edited by a moderator:
ni ujinga kwa kweli.

True story.
Nakumbuka nikiwa fomu two, kuna mtu aliniambia bora nimkubali kwa hiari, sababu ameshapata mganga atakayeniloga.

Nikajisemea, nitasubiri hadi uniloge, tena huyo mganga alikuwa anaogopewa sana maana alikuwa anatumia eti majini, mtaa wa 2 tu toka nilipokuwa naishi.

The guy was labda 10+yrs older than me, na alikuwa anajaribu kucheza na saikolojia na kutengeneza hofu ndani yangu.
Haya mambo siyaamini hata kwa dawa...na mengine ni nadharia tu....

Nyama inawezaje kukaa sehemu kama hiyo na joto lote hilo bila kuoza kwa siku 7? Yaani watu wanasahau hata biology ya kidato cha kwanza??

Naomba mtu ambaye ana dawa zake anipe mimi...Niko tayari kuwa guinea pig!!

Babu DC!!
 
Haya mambo siyaamini hata kwa dawa...na mengine ni nadharia tu....

Nyama inawezaje kukaa sehemu kama hiyo na joto lote hilo bila kuoza kwa siku 7? Yaani watu wanasahau hata biology ya kidato cha kwanza??

Naomba mtu ambaye ana dawa zake anipe mimi...Niko tayari kuwa guinea pig!!

Babu DC!!

hahahha ........jamani babu DC nilijua utabisha ila ni kweli

iko hivi kipande cha nyama kinachoekwa ukeni sio kikubwa kama unavyodhani pia huwa kinatolea uchi unaoshwa kisha kinarudishwa na usiku kama mume ataomba unyumba anaambiwa naiako kwenye period so anavaa na pedi kabisa
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom