Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

mbona sielewi..aongee m2 mmoja.wengine mnasifia wengine mnaponda sasa 2elewe nn.
 
Kuna mdogo wangu amechaguliwa kigonigoni sekondari naskia ipo wilaya ya mwanga kilimanjaro kama kuna mwanajamii aliyechaguliwa hapo au anapajua ili kupata joining instruction naomba msaada wadau unaweza weka namba pia tumia namba 0712905698
 
Nafkiri itakua mara ni mara ya mwisho kama kuna mtu anataka maelezo kuhusu Mara sec Musoma tech osward mang'ombe chief ihunyo,songe na kibondo girls nitafute 0686432880
 
zanaki sekondariiii
shule yetu tunaipendaaaaa
elimu ni ya kwanzaaaaa
ndio dira ya maendeleoooooo
 
Back
Top Bottom