samito JF-Expert Member May 16, 2011 631 176 Jan 26, 2012 #1 MKENYA: Eti naskia nyie mwatanzania mkiulizwa swali mnajibu kwa kwa kuuliza swali MTANZANIA: We nani kakuambia? MKENYA: duh! Mi naomba niulize wabongo wenzangu, hii kasumba ya kujibu kwa kuuliza swali tumeitoa wap?
MKENYA: Eti naskia nyie mwatanzania mkiulizwa swali mnajibu kwa kwa kuuliza swali MTANZANIA: We nani kakuambia? MKENYA: duh! Mi naomba niulize wabongo wenzangu, hii kasumba ya kujibu kwa kuuliza swali tumeitoa wap?
dazipozi JF-Expert Member Nov 5, 2011 1,137 106 Jan 26, 2012 #3 Kongosho said: Duh, jf kuna mambo! Click to expand... Sanaaa,Mx
nyabhingi JF-Expert Member Oct 12, 2010 15,515 20,005 Jan 26, 2012 #4 kwani we unadhani tumeitoa wapi?
samito JF-Expert Member May 16, 2011 631 176 Jan 26, 2012 Thread starter #5 nyabhingi said: kwani we unadhani tumeitoa wapi? Click to expand... hah haa yale yalee......