Uliza / sema chochote kuhusu Nokia(symbian s60 v5)

Wazee tumwagieni hapa os zote na namna ambavyo tunaweza kufahamu simu inatumia op.sytm gani na kama kunauwezekano wa kubadirisha op systm.
 
Wazee tumwagieni hapa os zote na namna ambavyo tunaweza kufahamu simu inatumia op.sytm gani na kama kunauwezekano wa kubadirisha op systm.
Mmmh hlo swala la kubadl os ngoja tuwasubr wachakuz wachakachue tuone,bt cdhan f itawezekana
 
Mmmh hlo swala la kubadl os ngoja tuwasubr wachakuz wachakachue tuone,bt cdhan f itawezekana
nakumbuka zamani niliwahi ku-FLASH SIMU nokia 1100 rh18 kwa file la nokia 2300 aka 6batan.simu iliwaka na ikaonekana na option ya radio japo haikufanya kazi kwakuwa nok 1100 hazina radio ic. Hivyo naiman kuna kitu flani kikitolewa na kuwekwa kingine labda inaweza kukubari.
 
Kama shaona kwenye supermaket nyng kuna kifaa huwa wanapitsha kwenye bidhaa ulonunua thn chenyewe kinatoa informatn kuhusu hyo bidhaa including price,hyo quick mark barcode reader hufanya kaz kama ya hyo kifaa,bt b4 kutumia lazma ujaze hzo information.Hyo switch ni applcatn inayotumika ku transfr files from phone tu phone by bluetooth.Kama ushawai tumia i-sms,thn hyo life blog ni k2 kama hcho,hutunza kumbukumbu za msg zote kwa mpanglio and good thing abt it unaweza ukatuma msg kama picha(kwa bluetooth)
Senkyu Mkuu! Umenifunua na asante kwa kuniweka wazi! Ubarikiwe inshaalah...!
 
thanks for this an aooprtunity
Natumia nokia n97
please help me with this problem
"kila wakati napojaribu ku charge simu yangu inacharge kidogo kisha in stop na kuandika unplug charger to save charge then showing red alert not charging
nashindwa kijua tatizo ni nini hasa
please i need your help for this
Nilikuwa na tatizo hili baada ya kuitumia simu yangu kwa zaidi ya mwaka. Nilichofanya ni kuwapelekea NOKIA ni bure kabisa kwa hapa nilipo. Wakaicheki na vitu vingine, tena kama ulinunua mwanzoni walifanya na re-call fulani kwenye software. Wapelekee tu hawana neno ni free.
 
nakumbuka zamani niliwahi ku-FLASH SIMU nokia 1100 rh18 kwa file la nokia 2300 aka 6batan.simu iliwaka na ikaonekana na option ya radio japo haikufanya kazi kwakuwa nok 1100 hazina radio ic. Hivyo naiman kuna kitu flani kikitolewa na kuwekwa kingine labda inaweza kukubari.
Hyo radio iligoma kwasababu inahitaji hardware,cmu lazma iwe na kifaa cha radio na softwr yake,hyo softwr pkeyake haitosh. Sijui umenielewaaaaa!
 
Je kwa Nokia zisizo na redio, kuna uwezekano wa kuna program inayoweza weka redio. M natumia Nokia E50.
 
Je kwa Nokia zisizo na redio, kuna uwezekano wa kuna program inayoweza weka redio. M natumia Nokia E50.
Kama imetoka kiwandan haina radio,kuweka itakuwa kazngu ngumu kwa sababu radio inahitaji vitu viwili.software na hardware. Ni sawa na camera ya simu,nayo inahitaji software na hardware,sasa ukiweka softwr ya radio wakat kifaa kitachonasa nawimbi hakipo ni sawa na kuwa na software ya camera wakati simu haina kamera. Jarbu kutafuta internet radio,hyo haiitaji hardware.
 
Hapo kwenye application labda hujawai kutafuta tu,bt v5 ina applctn nyng sana
mi naongelea apps za maana,symbian haina apps zzte za maana,na hta kama zpo UI mbovu,na limited features unlike iOS and Droid!
 
Ila kuna custom firmwares za symbian phones,google tu aina ya cm yako au nenda xda developer site na kuna maforum kibao tu yanazo hzo CF.. Ila kama huna knwledge na hayo mambo ucjaribu,u may end up brick ur phone,proceed at ur own risk!
 
Hayo yote nimeshayafanya mkuu,kama sikosei hii ni charger ya nne (original charger).Hili tatizo lipo ki firmware zaidi i thot mayb kuna namna yoyote naweza ku update firmware ili niweze kuondokana nalomkuu alinishauri pale niondoe battery monitor application itasadia kiukweli sikuwa nayo,nilichoamua ni kuondoa all installed applications simu ikabaki nyepesi kabisa lakini problem still the same...yaani inacharge for sometimes kisha inastop...najaribu kuiangalia hii simu afu nasema ningekua nakashoka kadogo dogo na fedha ya kununua nyingine...ingenitambua
 
mi naongelea apps za maana,symbian haina apps zzte za maana,na hta kama zpo UI mbovu,na limited features unlike iOS and Droid!
Owkay nimekuelewa,na ombi moja 2,naomba uniambie applctn 3 za maana and there uses.
 
Ila kuna custom firmwares za symbian phones,google tu aina ya cm yako au nenda xda developer site na kuna maforum kibao tu yanazo hzo CF.. Ila kama huna knwledge na hayo mambo ucjaribu,u may end up brick ur phone,proceed at ur own risk!
Shukran mkubwa
 
Hayo yote nimeshayafanya mkuu,kama sikosei hii ni charger ya nne (original charger).Hili tatizo lipo ki firmware zaidi i thot mayb kuna namna yoyote naweza ku update firmware ili niweze kuondokana nalomkuu alinishauri pale niondoe battery monitor application itasadia kiukweli sikuwa nayo,nilichoamua ni kuondoa all installed applications simu ikabaki nyepesi kabisa lakini problem still the same...yaani inacharge for sometimes kisha inastop...najaribu kuiangalia hii simu afu nasema ningekua nakashoka kadogo dogo na fedha ya kununua nyingine...ingenitambua
Owkay fanya hv,tafuta nokia update software(search tu google utaipata) then instal kwenye pc yako. Fwata maelekezo yake,u can either update firware kama updates zitakuwepo au reinstal firmwr. Am sure ukifanya hvyo itapona
 
Back
Top Bottom