Uliza / sema chochote kuhusu Nokia(symbian s60 v5)

mi naongelea apps za maana,symbian haina apps zzte za maana,na hta kama zpo UI mbovu,na limited features unlike iOS and Droid!
Apps za maana zipo nyingi tu kama symella,symtorrent,shazam,yourtube downloader e.t.c
 
Hivi mshawah ona apps,head to apps store au android market ujionee! Juz nlikua natafuta app ya cnn nkakosa et kwa ajili ya s^3 tu,haya nkatafta app moja nzur xana inaitwa oanda currency converter, hola!google earth hakuna,application kama awesome note hakuna,high qualty 3d games ndo hovyo kabisa...
 
yaan upo sawa kabisa mkuu,lack of apps,slow,buggy yan bora 3rd edition!

I`ve experienced nokia n70 na SE P1i yani they are too expensive ila kiukweli hamna hata kitu cha maana zinakuwa nacho zaidi ya ushamba wa kizamani kuona kama vile a mobile phone is working kama a laptop. Sasa naona hata kwa Nokia wenyewe wameamua kuachana na huu ugonjwa unaitwa Symbian wakaenda kwa mgonjwa mwingine anaitwa Windows ambao wako too expensive kwa kuwa gharama yao ya OS kwa kila Unit ni 25$ compare to Android by Google ambao wako absolutely free na they have a lot of Apps. na they are running latest machnes na wanakarbia Apple`s App market kwa kuwa wa pili in Apps. market.
 
niliiingiza anti virus kwenye simu yangu matokeo yake inaleta chenga chenga kwenye scrin yaani haioneshi vizuri ni chenga chenga nifanyeje
 
Wapi chief-mkwawa Nokia fan aje adefend nokia, personal nilikua nafagilia Nokia ala for now nimeanza kuloose hope
 
Last edited by a moderator:
Wapi chief-mkwawa Nokia fan aje adefend nokia, personal nilikua nafagilia Nokia ala for now nimeanza kuloose hope

My self napenda nokia s60v3 maana operating system yake unaieka the way unavotaka. Watu wengi humu wana s60v3 tatizo hazijahakiwa siwezi jifunza nao chochote.

We unataka ubishan wa nokia sasa. To be honesty s60v3 na s60v5 ni za kizamani ila s60v5 imefeli na s60v3 still ipo hot.

Symbian nzuri kama unataka latest unatakiwa uopt symbian belle service pack one ambayo ndo os ya nokia pureview 808
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la smart phones ni betri hazikai nina Huawei Android(Ideos)inabidi kila siku niicharge kuna mwenzagu ameniambia natakiwa niwe na betri mbili ,imebidi ninunue kitochi a.k.a mulika mwizi charge inakaa siku saba,ila kwa Apps ni kiboko
Simu zote zinakaa charge matumizi yako ndio yanayo maliza charge. Ukitaka charge isiishe usitumie simu ila kwa call and msg kama nokia ya tochi
 
Simu zote zinakaa charge matumizi yako ndio yanayo maliza charge. Ukitaka charge isiishe usitumie simu ila kwa call and msg kama nokia ya tochi

Ila zipo battery apart na inayokuja na simu ambazo ni nzuri kama upo willing kutoa hela. Mfano exellent za uk zinakaa na charge 7 hrs ikiwa conected 3g na inatumiwa mfululilizo (eg download) na hadi siku 3 matumizi ya kawaida kama kutumia jf
 
My self napenda nokia s60v3 maana operating system yake unaieka the way unavotaka. Watu wengi humu wana s60v3 tatizo hazijahakiwa siwezi jifunza nao chochote.

We unataka ubishan wa nokia sasa. To be honesty s60v3 na s60v5 ni za kizamani ila s60v5 imefeli na s60v3 still ipo hot.

Symbian nzuri kama unataka latest unatakiwa uopt symbian belle service pack one ambayo ndo os ya nokia pureview 808

Chief uko sahihi kabisa S60v5 sucks na pia UI ya s60v3 bado sana ukilinganisha na android, mfano mzuri ni muonekano wa What'sApp ni tofauti sana, but I hope Belle itakua mzuka zaidi, nilishift to android but soon ntaludi home kwa Nokia, lakini chief WP hawataua Belle OS?? koz naona Nokia wanaelekeza nguvu zaidi kwenye WP kuliko Belle na Other Symbian, pia kulikua na Device name leakage toka Nokia RDA tool kama ulisikia kuna Lumia 910,Lumia 920,Lumia 950 Lumia 1001(hope any of these ni WP8 with pireview technology) pia kuna Nokia 510 na Nokia belle 805, but Nokia hawajasema chochote kuhusu hizo devices,
kama ni kweli basi they Got big plans
 
Nokia walishasema hawaitupi symbian na kuthibitisha hilo ndo wakatoa belle kaka kutoka kwa nokia 808 pureview, 701,700 pamoja na kueka upgrade ya kutoka symbian ana to bele kwa simu za n8, e6 na ^3 devices ni ushahidi symbian ipo hai bado.

Mi sina wasi wasi na nokia maana najua nokia huanzisha na wengine wanaiga wp8 itairudisha nokia kileleni na kuwaweka microsoft juu hasa hiyo plan yao ya kuzindua os na application laki 1 (100,000) kwa mpigo.
 
jamani eee msaada kila nikiingia browser ya simu inaniandikia
Web:
Page not found.
Nimebadilisha home page mpaka bas hakuna kitu
 
jamani eee msaada kila nikiingia browser ya simu inaniandikia
Web:
Page not found.
Nimebadilisha home page mpaka bas hakuna kitu

Ìlinibidi niombe upya mpangilio wa WAP kwa laini za voda. Ikiwa ni baada ya kutokewa na tatizo kama hilo.
But kwa airtel sijaona tatizo kama hilo inadunda mzigo tu.
 
Ila zipo battery apart na inayokuja na simu ambazo ni nzuri kama upo willing kutoa hela. Mfano exellent za uk zinakaa na charge 7 hrs ikiwa conected 3g na inatumiwa mfululilizo (eg download) na hadi siku 3 matumizi ya kawaida kama kutumia jf

tapata duka gani hizo bateri... Nataka moja banaaa
 
natumia nokia n70 nashindwa kufungua mafile ya pdf je nifanye nini ili niweze kufungua.Pia nashindwa kuangalia dstv kwenye simu pamoja na youtube.msaada
 
Back
Top Bottom