King Mswat 11
Senior Member
- May 24, 2023
- 178
- 255
Mkuu nashukuru sana nimefanikiwa na nimepata intake ya mwezi April Bach 3 bila maelezo yoyotepole jaribu kuingia katika Website ya OUT - admission panel na uwapigie simu kwa usaidizi zaidi
Naomba niulize baada ya hapa nini kinafuatia ili niangalie namna ya kupambana na yajayo.