Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Nimenroll Postgraduate diploma ya law lakin cjajua nasajiri courses zipi za codes 500+( masters) au hizi za undergraduate..... Nimeeda tawi nikaambiwa nasoma UNIT 9.... liko sawa hili? pia zipi nisajili kwa semester inayooanza april........ Au tuwasiliane 0713047951 nili nipate faida zaidi.....
 
Naomba kujua gharama za kusoma Bachelor of science with education ( Bsc.ed). Pia utaratibu wa kufanya practical yaani kila kituo kina maabara au mpaka makao huko dar! Mwisho naomba kozi za chemistry na biology! Asante.
4,200,000
 
Nimenroll Postgraduate diploma ya law lakin cjajua nasajiri courses zipi za codes 500+( masters) au hizi za undergraduate..... Nimeeda tawi nikaambiwa nasoma UNIT 9.... liko sawa hili? pia zipi nisajili kwa semester inayooanza april........ Au tuwasiliane 0713047951 nili nipate faida zaidi.....
sasa kama umeenda sehemu official umeambiwa unit 9 uku unatafuta nn
 
Nina bachelor katika fani nyingine ila nataka kusoma IT,je ninaweza kuanza na level gani...(o level nina D physics na math ila masomo mengine yote nina C na B )
 
Master of Education in quality management Ada ni shilingi ngapi na course inachukua muda gani
Hivi vitu vyote wazi kwenye tovuti usipate tabu na kuwa mvivu majibu yote yapo wazi ingia www.out.ac.tz
Ingia kwenye academic then faculties tafuta hiyo course angalia gharama na mambo mengine haifiki ata 4m
 
Nimenroll Postgraduate diploma ya law lakin cjajua nasajiri courses zipi za codes 500+( masters) au hizi za undergraduate..... Nimeeda tawi nikaambiwa nasoma UNIT 9.... liko sawa hili? pia zipi nisajili kwa semester inayooanza april........ Au tuwasiliane 0713047951 nili nipate faida zaidi.....
Mtafute cordinator wa hii programme atakupa muongozo ingia kwenye tovuti www.out.ac.tz then academic then faculties tafuta hiyo programme utaona mawasiliano ya coordinator
 
Ninataka kusoma bachelor of business administration with education kwa kutumia diploma ya ualimu, ingawa olevel math sikupata pass (F) na sikusoma masomo ya biashara, masomo mengine yote nilipata pass.
 
Kuna baadhi ya vitu katika tovuti yao havipo wazi kama unavyodai hapa. Kama mm hiyo tovuti nimeifuatilia sana lakin hainipi majibu ya maswali yangu.
Pole kwenye vile vipeperushi vyenye programme kuna namba ya Kila Mkoa.
Ukipata wasaa unawapigia kwa ufafanuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom