Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Kuna wakati tumaweza kuwa bize kiasi cha kusahau starehe zetu.
Kwa kweli siwezi ishi bila hako kaugonjwa ingawa kuna wakati naonekana kama nimepona vile. Kwa walio wagonjwa kama mimi wanawezapata g6 kwa bei nafuu kabisa sasa. wasiliana nami. Srt 4922 bado zinapatikana.
 
wakuu nawezaje pata FTA kwenye receiver ya dstv .
nimechoka kuripia je kuna namna naweza nikapata FTA na ni FTA zipi naweza pata
 
E7WA una maanisha nini? au ni sat iliopo digrii 7 east? kama ndivyo kwa ajili ya kupata channel zipi? ninacho jua kama ni zile za kiarabu ipo 7w.

Maarko. E7WA namaanisha Eutelsat 7 West A inapatikana degree 7.3W. Ni kwa ajili ya kupata channels nyingi na nzuri zaidi za kiarabu kwa mfano MBC na BeIN Sports. kwa sasa Napata Nilesat 201 tu at 7W
 
Kuna wakati tumaweza kuwa bize kiasi cha kusahau starehe zetu.
Kwa kweli siwezi ishi bila hako kaugonjwa ingawa kuna wakati naonekana kama nimepona vile. Kwa walio wagonjwa kama mimi wanawezapata g6 kwa bei nafuu kabisa sasa. wasiliana nami. Srt 4922 bado zinapatikana.
Unauzaje G6 ndugu Arselona?
 
Last edited by a moderator:
Jamani msaada kwaanaejua jinsi yakupata Chanel zakenya kama Qtv .kutumia dish la ft 6 anisaidie kwakuweka picha ilinijalibu kutafuta. Maana naipata K 24 pekee. Natanguliza shuklani.
 
Jamani msaada kwaanaejua jinsi yakupata Chanel zakenya kama Qtv .kutumia dish la ft 6 anisaidie kwakuweka picha ilinijalibu kutafuta. Maana naipata K 24 pekee. Natanguliza shuklani.

Tafadhali nisaidie hii k24 inapatikana frequency zipi?
 
Kuna wakati tumaweza kuwa
bize kiasi cha kusahau starehe zetu.
Kwa kweli siwezi ishi bila hako kaugonjwa ingawa kuna wakati naonekana
kama nimepona vile. Kwa walio wagonjwa kama mimi wanawezapata g6 kwa bei
nafuu kabisa sasa. wasiliana nami. Srt 4922 bado zinapatikana.

niandalie pc1 ya kubadirisha na ile g6 fake uliyoniuzia kwa bei kubwa na isifanye kazi.
 
Jamani msaada kwaanaejua jinsi yakupata Chanel zakenya kama Qtv .kutumia dish la ft 6 anisaidie kwakuweka picha ilinijalibu kutafuta. Maana naipata K 24 pekee. Natanguliza shuklani.

Vuta subira kidogo kuna tetesi kuwa channel zote za Kenya zitawekwa kwenye sat moja ya intel 20 ambako tayari family tv imeanza,kwasasa hata dish ft 8 bado watu wanalalamikia loss of signal
 
Salute kwako bro katika kuhangaika nakumbuka niliinasa hiyo family TV, basi tuzid kupeana updates zinapopatikana
 
Kuna wakati tumaweza kuwa bize kiasi cha kusahau starehe zetu.
Kwa kweli siwezi ishi bila hako kaugonjwa ingawa kuna wakati naonekana kama nimepona vile. Kwa walio wagonjwa kama mimi wanawezapata g6 kwa bei nafuu kabisa sasa. wasiliana nami. Srt 4922 bado zinapatikana.

Srt 4922 bei gani?
 
kaka,wani iy QTV unaipata katika angle gan?ngoja nikupe ninachofahamu ndugu yangu,Kenyan mux inkiwemo hiyo QTV waeza kuzipata kupitia eutelsat 10A @ 10'E katika C band,kuna channels zaidi ya kumi kutoka Kenya,kwa uraisi fanya hivi,katika dish lako la C band funga ku band halafu tafuta MBC ambayo ipo eutelsatw3 @ 7'E kwa kutumia 12728 H 30000 au 11192 H 3210,ukiipata hizo channel za hapo,bila kuzungusha dish,toa KU weka C BAND na usisahau kuweka Teflon kama unavyoset ITV kuwa Horizontal,kisha weka freq ya 3729 H 10321 katika satellite yeyote ya C band,kasha simama nyuma ya dish yako taratiibu ifanye dish yako izidi kuangalia juu,kasha nipe matokeo kaka,unaish wap kaka
 
Biharamulo-Kagera TZ,sasa kwenye ft 6 hiyo eutelsat3@7e inakaa juu ya ile ya aljezira au inakaa wapi kaka?
 
Inakaa katikati,toa ile c band ya kibongo pale kati kisha weka ku na hakikisha ku yako ipo @ 9 or 3 ndipo uitafute hiyo 7e

Kwahiyo kaka unamaanisha kuwa kuzipata zote za kenya na Bongo haiwezekani au inawezekana,pia kaka hizo 9 au 3 zinamaanisha nini?
 
Dekoda ya dstv inawewezekana kutumia kupata channel za ndani tofauti na mfumo wao, wazoefu tupe sat na frq tuchakarike.
 
Back
Top Bottom