Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Tongoni, kwanza 2jipongeze leo kwani arsenal tumeshinda leo japo kwa mbinde. Nikushukuru pia kwa kujumuika nami katika thread hii.Tunakukaribisha sana humu darasani.
Asante mkuu kwa kuleta somo.
Unapo tune dish say 36°W au 68.4°E unaanzia wapi na kuelekea wapi?
Nikiwa na maana kwamba 0° unaazia wapi na unaelekea horizontally au vertically?
Maana wengine tumeonyeshwa tu kwamba ukitaka station fulani dish linaelekea mashariki au kaskazini halafu unazungusha zungusha horizontally na vertically hadi unapata signal, hii imekuwa ni kubahatisha bahatisha na inachukua muda mwingi.
Nijuze tafadhali.
Ahsante mkuu, nimekusoma.Mkuu swali lako ni zuri sana na kulijibu linataka kituo na nitatoa mchango wangu kwa kadiri ya upeo wangu...Kitu kikubwa na cha mwanzo unapofunga Dish ni lazima ujue south ni wapi na kama ulivyo toa mfano kama satelite unayotaka iko 36°W au 68.4°E utafika vipi?...ingawa positions zote mbili hakuna satelite yeyote sijui kwa sababu gani za kiufundi.
Labda tuanze namna ya kuipata south,kimsingi unatakiwa kutumia compass au kuna option ambayo nadhani ina wepesi kwa wengi,ikifika saa sita kamili mchana ukiwa juani kivuli chako kinakuwa south nahapo ndio 0° ..sasa hatua ya pili utapata vipi position tunayoitaka.
Hatua ya pili utatumia saa kuanzia saa sita kamili (12:00) kulia east-kushoto west na mshale wa kwanza wa dakika ni 6° kwa maana hiyo utakwenda na mtiririko huo(ukienda east au west) 6° 12° 18 24° 32° 38° 42° 48° na kundelea.
kaka nawapenda sana hasa ninyi watz wenzangu kwan upendo lazima uanzie nyumban halafu usambae kwa jiran. Kwa kweli kitabu kimeanza kwa kac sana ila naahid kuendelea na mada hasa ck za w/end.Arselona; Pole na majukumu ya masomo hapo Mzumbe. ila usichoke kutupa ujuzi kama ulivyotuhaidi. Bado Tupo pamoja kaka. Mimi ningependa kujua - urefu wa waya (Cable) kutoka kwenye dish hadi ilipo TV, zinatakiwa Mita ngapi?. Je hakuna effect yoyote Tv ikiwa Mbali sana na lilipo dishi?. je kuna faida yoyote ya kufunga LNB C-band mbili badala ya moja?.
Kaka ricva yako ARISAT AR 600 - co mpeg4 bali ni dvbs-1 mpeg2 kama specs zinavyoonekana hapo chiniWakuu kwa karne hii tuliopo nikichukua kitu kama hiki kinaendana na wakati ama nitakua nimeingia chaka?????
ARISAT AR600 MPEG4 HD STRONGView attachment 69722
Kaka Nashukuru sana ntakua nimekosea nikaweka picha tofauti. ila hii kitu kuna mahali nimeikuta inauzwa ni MPEG4 DVBS2 HD. DVB-S2 QPSK-2 8PSK. Frequency range 950-2150 mhz. Mimi sina utaalam wa hivi vitu ndiyo naomba ushauri kwenu wataalam. Kwani hii naona bei yake naweza kuimudu inauzwa 110000. Kaka ukipata muda ipitie then nipe maoni yako. Kila la kheri ktk masomo yako.
Arselona; Pole na majukumu ya masomo hapo Mzumbe. ila usichoke kutupa ujuzi kama ulivyotuhaidi. Bado Tupo pamoja kaka. Mimi ningependa kujua - urefu wa waya (Cable) kutoka kwenye dish hadi ilipo TV, zinatakiwa Mita ngapi?. Je hakuna effect yoyote Tv ikiwa Mbali sana na lilipo dishi?. je kuna faida yoyote ya kufunga LNB C-band mbili badala ya moja?.
Tongoni, kwanza 2jipongeze leo kwani arsenal tumeshinda leo japo kwa mbinde. Nikushukuru pia kwa kujumuika nami katika thread hii.Tunakukaribisha sana humu darasani.
ndugu, kadri cable inavyokuwa ndefu zaidi ndivyo signal inavyo pungua. Inatakiwa urefu wa cable uwe kati ya 10-50mita. Aidha kadiri unavyoongeza lnb chaneli huongezeka pia kwani idadi ya lnbs ni sawa na idadi ya satellites ingawa wakati flan lnb moja inaweza kukamata sats zaid ya moja ili mradi 2 sats hizo ziko katika position moja au zinakaribiana,mfano eutelsat 36A/36B @36 degree east na amos @17degr east, eutelsat 16degr east.