Decoder - Any P*rvu capable decoder eg. strong srt 4922 etc.Wakuu nina swali nikiwa dar es Salaam kwenye decoder na Dish gani naweza pata channel ya Sony Six ?
Kuna malipo yeyote na yanakuwaje?
Thanks
Nilesat 7wKwa sasa nipo na AzamTV. Na sat ya Intelsat 20 68.5'E
Nina dish jingine la KU. Naomba Ushauri, ni Sat gani ambayo Naweza funga na kuendelea kuzifaidi FTA!?
Naombeni Ushauri wa sat za ukweli zilizo na FTA nyingi.
Thanks waungwana.
Ndo unapata chnl zipNilesat 7w
Mbc 1, 2,3,4 mbc max na boolywood dubai one cnn bbc cctv nk angalia link hi kwa list ya chanel Nilesat 201 at 7.0°W - LyngSatNdo unapata chnl zip
Dish la azam lile la 100cm, receiver ya azam pia poa na lnb nzuri kama inverto black ultra, lnb ya kawaida pia utapata ila chanel siyo nyingiMkubwa Doha kuelew kidog unatumia dish dogo la azam au yale makubwa na je unatumia receve ya azam aunapia seals la setting naomba unielrze hp
Setting zakeDish la azam lile la 100cm, receiver ya azam pia poa na lnb nzuri kama inverto black ultra, lnb ya kawaida pia utapata ila chanel siyo nyingi
Tafuta kwanza 3w tumia freq 11149v45000 ukiipata shusha dish kidogo halafu zungusha kidogo kusho ukiwa umesimama nyuma ya dish tumia hii 11862v27500 kutafutia 7w. Upo wapi?Setting zake
Ok 7w inapatikana
Vp na sq Tz zinapatikn?Ok 7w inapatikana
Vip arusha ntapata? Na je nikitaka niendelee pia kuona za azam kawaida itawezekana?Ok 7w inapatikana
Utapata, ukitaka na azam uone weka madishi mawili moja kwa ajili ya azam ipo 7e na jingine nilesat 7wVip arusha ntapata? Na je nikitaka niendelee pia kuona za azam kawaida itawezekana?
Asante na je nkifunga ku mbiliUtapata, ukitaka na azam uone weka madishi mawili moja kwa ajili ya azam ipo 7e na jingine nilesat 7w