Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

wakuu ni decoder gani nzuri na ya bei poa ya kupokea c band kwa kupata channels za nyumbani? nipeni majina na models zake ili nitafute na niweze kununua.
 
Kwa channel za nyumbani tu c-band ata azam decoder inashika tatzo n pale utakapotaka powervu channels!
 
Wakuu nina swali nikiwa dar es Salaam kwenye decoder na Dish gani naweza pata channel ya Sony Six ?
Kuna malipo yeyote na yanakuwaje?


Thanks
 
Wakuu nina swali nikiwa dar es Salaam kwenye decoder na Dish gani naweza pata channel ya Sony Six ?
Kuna malipo yeyote na yanakuwaje?


Thanks
Decoder - Any P*rvu capable decoder eg. strong srt 4922 etc.
Dish - 6 ft prime focus can do the job.
Malipo - Hakuna malipo, we nunua vifaa tu.
samahani kwa kuchanganya lugha
 
Kwa sasa nipo na AzamTV. Na sat ya Intelsat 20 68.5'E

Nina dish jingine la KU. Naomba Ushauri, ni Sat gani ambayo Naweza funga na kuendelea kuzifaidi FTA!?

Naombeni Ushauri wa sat za ukweli zilizo na FTA nyingi.

Thanks waungwana.
 
Mkubwa Doha kuelew kidog unatumia dish dogo la azam au yale makubwa na je unatumia receve ya azam aunapia seals la setting naomba unielrze hp
Dish la azam lile la 100cm, receiver ya azam pia poa na lnb nzuri kama inverto black ultra, lnb ya kawaida pia utapata ila chanel siyo nyingi
 
Back
Top Bottom