Ulikwisha wahi jiuliza Ishara za kufa chama cha siasa ni zipi?

step

Senior Member
Jun 4, 2011
190
75
Kwa mtazamo wangu sikutegemea kabisa kama chama cha siasa kikongwe kama CCM kutumia muda wake mwingi kuelezea mambo ya umbea kwa kushirikisha viongozi wakubwa kabisa wa serikali katika umbea huo very sad. Haya yanatokea ikiwa kunaongezeko kubwa la changamoto za kimaisha ambazo hazina majibu na wananchi wameanza kutoelewana na kupigana wao kwa wao na wao na serikali yao. Huku chama tawala wakiwa Busy kupiga umbea hali inazidi kuwa mbaya mitaani kwetu kila siku. Ndipo ninapojiuliza
1. Maisha ya mtu binafsi katika jukwaa la siasa yanahusu nini?
2. Je ndugu zangu hawa wameuliza wananchi kuwa wanachokihitaji ni kusikia Slaa alifanya nini na wala si maji, elimu bora huduma za afya bora au hata barabara bora
3. Je Ndugu zangu hawa CCM wamejiuliza kuwa hivi sasa je bado wapo katika kusimamia ilani yao au hivi sasa wapo kwenye kujibu mapigo tu hata kwa umbea wa aina yoyote

Mimi ina nipa wasiwasi kwamba kuwa mwanasiasa ni moja ya njia ya kutengana na Mungu lakini pengi itategemeana na upo upande gani?
 
Muulize Mkeo hapo atakwambia naona una uliza maswali ya kimburura mburura! CCM itaendelea kuwepo na 2015 itashinda!
 
Utakasirika sana lakini nafsi yako itakusuta, kama nawe ni wa upande huo basi umekwisha kata tiketi ya kutengana na Mwenyezi Mungu wewe mwenyewe unalielewa hili.
 
Mfa maji haishi kutapatapa,kama tujuavyo hakuna marefu yasiyo na ncha na huo ndo mwisho wa chama cha magamba (ccm).
 
Hilo ondoa wac wac kuwa mwanasiasa ni kuwa mbali na njia ya mungu kwani %85 utakachokisema ni uongo ndio mana viongozi huacha misikiti na kanisa kwa kukimbilia uheshimiwa
 
Muulize Mkeo hapo atakwambia naona una uliza maswali ya kimburura mburura! CCM itaendelea kuwepo na 2015 itashinda!

Akili yako imefungwa na minyororo ya uafidhina wa CCM walioamua kufanya uongozi wa Tanzania kuwa ajira yao ya kudumu bila kuleta tija kwa watanzania! Kwa mapenzi kwa taifa maskini sana kama letu la Tanzania, ni bora CCM ingeomba radhi watanzania hasa wa vijijni kwa kuwapotezea muda wao wa kujiletea maendeleo kwa kuwalaghai kwa miaka zaidi ya hamsini, tafiti zinaonesha maisha yanaendelea kuwa magumu kila kukicha!
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Kwa mtazamo wangu sikutegemea kabisa kama chama cha siasa kikongwe kama CCM kutumia muda wake mwingi kuelezea mambo ya umbea kwa kushirikisha viongozi wakubwa kabisa wa serikali katika umbea huo very sad. Haya yanatokea ikiwa kunaongezeko kubwa la changamoto za kimaisha ambazo hazina majibu na wananchi wameanza kutoelewana na kupigana wao kwa wao na wao na serikali yao. Huku chama tawala wakiwa Busy kupiga umbea hali inazidi kuwa mbaya mitaani kwetu kila siku. Ndipo ninapojiuliza
1. Maisha ya mtu binafsi katika jukwaa la siasa yanahusu nini?
2. Je ndugu zangu hawa wameuliza wananchi kuwa wanachokihitaji ni kusikia Slaa alifanya nini na wala si maji, elimu bora huduma za afya bora au hata barabara bora
3. Je Ndugu zangu hawa CCM wamejiuliza kuwa hivi sasa je bado wapo katika kusimamia ilani yao au hivi sasa wapo kwenye kujibu mapigo tu hata kwa umbea wa aina yoyote

Mimi ina nipa wasiwasi kwamba kuwa mwanasiasa ni moja ya njia ya kutengana na Mungu lakini pengi itategemeana na upo upande gani?

Ishara ya kuanguka/kufa chama cha siasa.1.viongozi wake kukiuka miiko ya uongozi.2.viongozi kushindwa kusimamia national intigrity.3.viongozi kushindwa kuhudumia umma,jambo linalochochea chuki kwa chama.4.kukandamizwa haki mbalimbali za kiraia.5.kudumaza/kukandamiza demokrasia. Hizo tano kwa sasa zinatosha.Kwa msingi huo ccm waendelee na propaganda wakati ugumu wa maisha uko live.Sina ushauri kwao kwa vile madhara ya propaganda zao yameshaharibu umoja wa kitaifa.Inshort ccm ndo itakayokufa.
 
kweli ww ni 'mlango wa kati'.... Lazma akina Mwigulu, Nape, Lusinde wanajisevia tigo.!!

Mkuu sio mlango wa kati,ni mrengo kwa hiyo maana yake ni mchumia tumbo watu wa aina hii huweka sare kwenye begi akikaribia ukumbini anaivaa ili apate chochote hata cdm siku tukiula na yy yumo
 
Back
Top Bottom