RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Bashe NI kiongozi ambaye amejawa kiburi na dharau kwani Hana sababu za msingi za kusema yeye ana mabosi Wanne tu ndio wakuongea nao ajuwe kazi aliyonayo ni yakuhudumia umma na nafasi aliyonayo inatokana na yeye kuwa mbunge kisha kuteuliwa na raisi kuwa waziri kwa ajiri ya kuhudumia wananchi!
Mambo kadhaa anayotakiwa ayafahamu cha kwanza kabisa
1.Ajue raisi anapatikana kwa Kura kutoka kwa wananchi.
2.pili raisi anapatikana kupitia kwenye chama cha siasa
3 wabunge pamoja na raisi wote waneajiruwa na wananchi.
Hivyo kitendo cha kusema yeye ana mabosi WA nne Tu basi anamaanisha mwenezi ambaye ni msemaji wa chama Hana lolote la kumwambia kitendo hicho hata kama mwenezi atakutana na kero zinazohusiana na wizara yake hapaswi kumwambia,
Je kama utendaji utakuwa WA hivo chama kitakuwa Hali gani na je kitapata ushawishi kwenye jamii
Hivi pakiwepo mawaziri kumi Aina ya bashe chama kitakuwa katika Hali gani kisiasa ? Bashe endelea kuvimbishwa kuchwa na wapinzani kwa kuitwa akili kubwa na hizo sifa ndoo kwako zimefika lakini ujue siku ya kufa nyani miti huteleza .
Ushauri wangu kwako usibishane na mwenezi kwani mwenezi ndiye anayekitaftia Kura chama kilichokuweka hapo kwenye nafasi uliyonayo ,,! Wananchi wanahitaji wanahitaji huduma Bora hawahitaji porojo kama unazosema.
Mama anawachora Tu lakini hamjui ataamua nini!