Chama cha siasa kisichotofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilichokufa

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,026
12,335
Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema" Chama cha siasa kisicho tofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilicho kufa".

Chama chochote cha siasa hapa duniani ambacho wanachama wake wote wanakubalina kila kitu anachosema sema mwenyekiti au katibu bila pingamizi lolote hata katika mambo ya kipuuzi ni chama kilicho kufa kinajiendea bora liende tu.

Moja ya mapungufu makubwa ya vyama vya kikomunisti au vyenye chembechembe za ukomunisti wana kauli mbiu yao moja hivi inayosema" zidumu fikra za mwenyekiti".

Sasa katika hiyo kauli mbiu yao ya" zidumu fikra za mwenyekiti" anaweza tokea mwenyekiti mwendawazimu au mwenyekiti aliyepo madaraka yaka mlevya na kupeleka kuwa mwendawazimu wa madaraka aliyo nayo anaweza sababisha maafa kwa fikra zake za hovyo na asiwe na pingamizi zaidi ya "zidumu fikra za mwenyekiti".

Chama bora ni kile chama kinacho ruhusu challenge baina ya wanachama kukubaliana na kutokubaliana kwa baadhi ya mambo na sio kauli mbiu ya kipuuzi ya" zidumu fikra za mwenyekiti" au " mwenyekiti kasema".

Historia
Historia ya dunia inatueleza kuwa kauli mbiu ya" zidumu fikra za mwenyekiti" au " mwenyekiti kasema" imeweza kuleta matokeo hasi mengi tu katika mataifa mbalimbali.

Wakati mwalimu Nyerere kafika uchina na kuvutiwa na ukomunisti kipindi cha mwenyekiti Mao kwa mbwembwe akarudi bongo na kulazimisha kuifanya bongo kuwa nchi ya ukomunisti uchwara uliopachikwa jina la "ujamaa"

Mwalimu alikutana na pingamizi kubwa kwa baadhi ya wanachama kuona mawazo ya mchonga meno kuwa ni mawazo ya kipuuzi na yasingeweza leta matokeo tarajiwa ila kutokana na kutumia cheo chake cha uenyekiti aliweza ku force mawazo yake kutekelezwa huku yakisindikizwa na kauli mbiu ya "zidumu fikra za mwenyekiti"

Wale wote waliompinga mchonga meno aliwachukia na kuwachukulia hatua za ajabu ajabu alizo zijua yeye waliiona nchi chungu.

Utekelezaji wa mawazo yake ulileta hali mbaya kijamii na kiuchumi na mwisho nchi ilimshinda mchonga meno.

China napo upuuzi huu alio uchukua mchonga meno ulikuwa kwa kiasi kikubwa uliopelekea maafa katika utekekezaji wa cultural revolution/mapinduzi ya kitamaduni.

Mwenyekiti Mao kupitia cheo chake alitoa mawazo ya utekekezaji mapinduzi ya kitamaduni kwa sababu alizo ona yeye pasipo kujali njia na matokeo ya mawazo na maamuzi yake ya kipuuzi.

Bwana bwana Mao kupitia genge lake ndani ya chama cha kikomunisti cha uchina alinyamazisha kimya wanachama wote walio mpinga kwa kuwafunga vifungo vya majumbani, magerezani, wengine kunyongwa, wengine kupotezwa, wengine kuvuliwa nyadhifa zao ndani ya chama na serikali na kupakwa matope wanachama mbalimbali nchi nzima kama wasaliti.

Mfano rahisi kwa China ni familia ya kina Xi Jinping huyu rais wa sasa wa China baba yao ali valishwa bango na kutembezwa sehemu mbalimbali za nchi na kuchafuliwa kama msaliti na mwisho kifungo cha nyumbani.

220px-Xi_Zhongxun_on_struggle_session_in_September_1967.jpg

(Huyo hapo Baba yake Xi Jinping akiwa na bango lake)

Dada yake na Xi alijiua na Xi Jinping kutengwa na familia katika umri mdogo na kupelekwa maporini huko.

Hata yule anaeitwa Deng Xiaoping kama mwana mageuzi wa China naye alikutana na moto wa operation ya Mao.

Chama cha kikomunisti cha Uchina na nchi nzima ilipitia katika kipindi kigumu sana katika cultural revolution kutokana na maamuzi ya Mao yakisindikizwa na zidumu fikra za mwenyekiti ambazo hazikutakiwa kuwa na pingamizi toka kwa wanachama zaidi ya kuzitekeleza.

Mwisho mawazo ya Mao yali fail vibaya na kuleta matokeo mengi negative katika jamii, jambo la kushukuru ni kuwa Mao alikata moto na hio ndio ponea ponea ndipo Deng akarudisha nchi katika mstari.

Bongo wakina Oscar, Titi, Sanga n.k ni matokeo hayo hayo ya mwenyekiti kasema hivyo hakuna pingamizi zaidi ya kukubali na kutekeleza hata upuuzi.

Mwisho: Chama bora kinajengwa kwa wanachama kukubaliana na kuto kukubalina kwa baadhi ya mambo yasiyo na afya.

Chama kinacho amini katika "zidumu fikra mwenyekiti" au "mwenyekiti kasema" kwa kila jambo ni chama mfu.
 
View attachment 2746700

Kolimba alikolimbwa kabisa kwa kuikosoa CCM
 
Heading yako na content technically haziongelei jambo moja....

Tofautisha kutofautiana mitizamo na kufuata mitizamo ya so called mwenyekiti kama ulivyosema....

Ukiangalia vyama vya Siasa vinatokeaje / kwanini kuna vyama; Vyama ni mkusanyiko wa watu wenye mitizamo sawa kwahio wakiwa wengi wenye mitizamo hiyo wanapata Sauti kubwa zaidi ya kuweza kusikika hio mitizamo yao....; Kwahio vyama ni muunganiko wa wanachama wenye mitizamo / itikadi sawa...; Sio kama ulivyosema kwenye content kufuata Mwenyekiti anasema nini (Hilo ni genge au Monarchy)

Tatizo la Chama chochote cha Siasa ni kuwa a Supreme Power kikiwa hivyo badala ya kuweza Sera zake na kuzijadili na kuwa-convince wengine wazichukue kinachotokea ni kulazimisha wasiofuata...., Political Parties are good and necessarily so long as they don't have absolute Power...
 
Yes, political parties are good sijakataa kuhusu hilo.

Lakini maamuzi na madaraka makubwa kuhodhiwa na position moja inapelekea agenda hata ovu kulazimishwa kupita na yule aliye hodhi hayo madaraka kutokana na position yake na kuweza kuwawajibisha wale wote walio against mawazo yake.

Hivyo kinatengenezwa chama cha siasa ambacho kipo katika nguvu ya mtu moja kwa asilimia kubwa yeye na genge lake.

Lengo la uzi ni kuwa uhai wa vyama vya siasa unabebwa na kukubaliana na kuto kukubalina baina ya members huo ndio msingi wa chama hai na imara ila chama mfu demokrasia ya kukukubalina na kutokubaliana baina ya members haipo huonekana ni sumu na usaliti na mifano nimekupatia
 
Yes, political parties are good sijakataa kuhusu hilo.
I know haujakataa wala haujasema hivyo nachokwambia ulichosema kwenye heading (kutofautiana mitizamo) mimi nakwambia kuwa na mitizamo sawa is what makes it a political party (ingawa mnaweza mkabishana jinsi ya kufanikisha mitizamo yenu) ile ile main vision (itikadi ndicho kilichowafanya nyie baadhi muwe wamoja na sio kujiunga na wale wengine)

Ila mimi nimekuongezea Chama chochote kikiwa na Supreme Power Sio Afya kwa nchi husika; Sababu Chama hiki kitaforce mitazamo yake kwa wengine ambao wapo tofauti na hakuna atakayewapinga - This is what happened kwa communists governments walikuwa na following kubwa na nguvu kubwa ambapo wachache waliweza kubadilisha mambo na kutofuata uhalisia bila kupingwa (in short wachache hawa walikuwa sio socialists bali capitalists in socialists clothes....
Lakini maamuzi na madaraka makubwa kuhodhiwa na position moja inapelekea agenda hata ovu kulazimishwa kupita na yule aliye hodhi hayo madaraka kutokana na position yake na kuweza kuwawajibisha wale wote walio against mawazo yake.

Hivyo kinatengenezwa chama cha siasa ambacho kipo katika nguvu ya mtu moja kwa asilimia kubwa yeye na genge lake.
Hakuna anayepinga haya..., But Tell me how is that depicted in your Heading ?
 
I know haujakataa wala haujasema hivyo nachokwambia ulichosema kwenye heading (kutofautiana mitizamo) mimi nakwambia kuwa na mitizamo sawa is what makes it a political party (ingawa mnaweza mkabishana jinsi ya kufanikisha mitizamo yenu) ile ile main vision (itikadi ndicho kilichowafanya nyie baadhi muwe wamoja na sio kujiunga na wale wengine)

Ila mimi nimekuongezea Chama chochote kikiwa na Supreme Power Sio Afya kwa nchi husika; Sababu Chama hiki kitaforce mitazamo yake kwa wengine ambao wapo tofauti na hakuna atakayewapinga - This is what happened kwa communists governments walikuwa na following kubwa na nguvu kubwa ambapo wachache waliweza kubadilisha mambo na kutofuata uhalisia bila kupingwa (in short wachache hawa walikuwa sio socialists bali capitalists in socialists clothes....

Hakuna anayepinga haya..., But Tell me how is that portrayed in your Heading ?
Nimekupata vyema
 
Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema" Chama cha siasa kisicho tofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilicho kufa".

Chama chochote cha siasa hapa duniani ambacho wanachama wake wote wanakubalina kila kitu anachosema sema mwenyekiti au katibu bila pingamizi lolote hata katika mambo ya kipuuzi ni chama kilicho kufa kinajiendea bora liende tu.

Moja ya mapungufu makubwa ya vyama vya kikomunisti au vyenye chembechembe za ukomunisti wana kauli mbiu yao moja hivi inayosema" zidumu fikra za mwenyekiti".

Sasa katika hiyo kauli mbiu yao ya" zidumu fikra za mwenyekiti" anaweza tokea mwenyekiti mwendawazimu au mwenyekiti aliyepo madaraka yaka mlevya na kupeleka kuwa mwendawazimu wa madaraka aliyo nayo anaweza sababisha maafa kwa fikra zake za hovyo na asiwe na pingamizi zaidi ya "zidumu fikra za mwenyekiti".

Chama bora ni kile chama kinacho ruhusu challenge baina ya wanachama kukubaliana na kutokubaliana kwa baadhi ya mambo na sio kauli mbiu ya kipuuzi ya" zidumu fikra za mwenyekiti" au " mwenyekiti kasema".

Historia
Historia ya dunia inatueleza kuwa kauli mbiu ya" zidumu fikra za mwenyekiti" au " mwenyekiti kasema" imeweza kuleta matokeo hasi mengi tu katika mataifa mbalimbali.

Wakati mwalimu Nyerere kafika uchina na kuvutiwa na ukomunisti kipindi cha mwenyekiti Mao kwa mbwembwe akarudi bongo na kulazimisha kuifanya bongo kuwa nchi ya ukomunisti uchwara uliopachikwa jina la "ujamaa"

Mwalimu alikutana na pingamizi kubwa kwa baadhi ya wanachama kuona mawazo ya mchonga meno kuwa ni mawazo ya kipuuzi na yasingeweza leta matokeo tarajiwa ila kutokana na kutumia cheo chake cha uenyekiti aliweza ku force mawazo yake kutekelezwa huku yakisindikizwa na kauli mbiu ya "zidumu fikra za mwenyekiti"

Wale wote waliompinga mchonga meno aliwachukia na kuwachukulia hatua za ajabu ajabu alizo zijua yeye waliiona nchi chungu.

Utekelezaji wa mawazo yake ulileta hali mbaya kijamii na kiuchumi na mwisho nchi ilimshinda mchonga meno.

China napo upuuzi huu alio uchukua mchonga meno ulikuwa kwa kiasi kikubwa uliopelekea maafa katika utekekezaji wa cultural revolution/mapinduzi ya kitamaduni.

Mwenyekiti Mao kupitia cheo chake alitoa mawazo ya utekekezaji mapinduzi ya kitamaduni kwa sababu alizo ona yeye pasipo kujali njia na matokeo ya mawazo na maamuzi yake ya kipuuzi.

Bwana bwana Mao kupitia genge lake ndani ya chama cha kikomunisti cha uchina alinyamazisha kimya wanachama wote walio mpinga kwa kuwafunga vifungo vya majumbani, magerezani, wengine kunyongwa, wengine kupotezwa, wengine kuvuliwa nyadhifa zao ndani ya chama na serikali na kupakwa matope wanachama mbalimbali nchi nzima kama wasaliti.

Mfano rahisi kwa China ni familia ya kina Xi Jinping huyu rais wa sasa wa China baba yao ali valishwa bango na kutembezwa sehemu mbalimbali za nchi na kuchafuliwa kama msaliti na mwisho kifungo cha nyumbani.

View attachment 2746700
(Huyo hapo Baba yake Xi Jinping akiwa na bango lake)

Dada yake na Xi alijiua na Xi Jinping kutengwa na familia katika umri mdogo na kupelekwa maporini huko.

Hata yule anaeitwa Deng Xiaoping kama mwana mageuzi wa China naye alikutana na moto wa operation ya Mao.

Chama cha kikomunisti cha Uchina na nchi nzima ilipitia katika kipindi kigumu sana katika cultural revolution kutokana na maamuzi ya Mao yakisindikizwa na zidumu fikra za mwenyekiti ambazo hazikutakiwa kuwa na pingamizi toka kwa wanachama zaidi ya kuzitekeleza.

Mwisho mawazo ya Mao yali fail vibaya na kuleta matokeo mengi negative katika jamii, jambo la kushukuru ni kuwa Mao alikata moto na hio ndio ponea ponea ndipo Deng akarudisha nchi katika mstari.

Bongo wakina Oscar, Titi, Sanga n.k ni matokeo hayo hayo ya mwenyekiti kasema hivyo hakuna pingamizi zaidi ya kukubali na kutekeleza hata upuuzi.

Mwisho: Chama bora kinajengwa kwa wanachama kukubaliana na kuto kukubalina kwa baadhi ya mambo yasiyo na afya.

Chama kinacho amini katika "zidumu fikra mwenyekiti" au "mwenyekiti kasema" kwa kila jambo ni chama mfu.
Hii imeenda
 
Back
Top Bottom