Ulevi je ni Tabia ya kurithi

DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
2,360
2,863
Mimi ni mtumishi wa umma kwa Miaka nane sasa ktk idara Fulani ya halmshauri. Nina 33 yrs old na elimu ya MSc. Kilichonileta hapa ni kwamba Nina mchumba wangu ambae ni Mwl na sasa hivi ni mwl mkuu wa gvt primary school na she is 28yrs. Kwangu ananiheshimu vizuri tuu ila problems ambayo inanifanya nimekuepo nasita kumuoa kwasababu mojawapo ni kwamba Kaka zake wawili ni walevi wa kupindukia. Kaka Mmoja ni mtumishi wa serikali Ila ni mlevi wa kupindukia mpaka anasahau majukumu ya familia yake na mwingine ni mlevi hivi sasa yupo sober house kupata matibabu . Ktk historia yake anasema Baba yake mzazi alikuepo ni mlevi Sana na ulevi huo ndio ulipelekea kifo cha Baba yake . Yeye mchumba japo aliniambia alikuepo anatumia wine mara chache Sana especially kwenye matukio tuu. Mama yake pia hanywi kabisa . Challenge . Nikikumbuka pombe , sigara etc jinsi zilivotekeza watoto wa Baba yangu Kwa mama mkubwa naogopa mno . Wajomba wa ukoo ule wa mama mkubwa walikuepo ni walevi wa kupindukia hivyo kaka na Dada yangu wa mama mkubwa pia warilithi hizo Tabia za ulevi Hadi kupelekea kifo cha kaka yangu mkubwa. Mimi ktk historia yangu sijawahi kinya pombe, kuvuta sigara au kutumia madawa yeyote ya kulevya. Mimi ni allergic hata harufu ya pombe Aina yoyote Ile nikiisikia Hilo eneo naondoka . Kifupi hata Malta sinywi huwa Ile harufu yake ni Kali . Nakunya soda za kawaida na juice za kawaida. Ktk uzao wa mama yangu wote hatutumii pombe . Nilivyoukuepo mdogo kule kwetu kikombe walichowekea ulanzi nilikikariri sikuweza kukutumia tena either kunywea chai au maji etc. Hivi sasa napata challenge kwa huyu mpenzi wangu ambae nilitarajia nimuoe kumuacha nashindwa cha kumwambia namuachaje hii Tabia ya ndg zake ya ulevi naogopa isije kurithiwa na wanangu.nikiangalia tumekaa kwa relationship about eight months. Yeye anahisi lengo langu ilikuepo kumchezea tuu ili nije nimkimbie . Other challenges nahisi aliwahi kutembea na mzee mmoja ambae ana kitengo nyeti serikalini. Sina Amani ya kumuoa sina Amani naomba ushauri kwa wazoefu nahisi Ile Tabia ya wajomba itaambukizwa Kwa watoto wangu hivyo itanipa challenge ya kuwalea watoto.
 
Siku zote tembo hachoshwi na mkonga wake...!!
 
Uandishi wako unatia shaka kama kweli una Msc, jifunze kutenganisha paragraphs na pia kuzingatia alama za uakifishaji, sio unajaza kila kitu kwenye paragraph moja.

Pombe ni uraibu wa mtu, hamna cha kurithi hapo, endelea kusuasua utampoteza anyakuliwe.
 
Miaka 28 hajaolewa? Labda alikuwa na huyo mtu unayedhani. Kwa hiyo, tafuta watu (hata kwa kuwalipa pesa kidogo), wafuatilie historia yake.

Roho za kurithi haziwezi kwenda kwake mwanamke - labda kama bibi yake alikuwa nazo.
 
Back
Top Bottom