Ukweli usemwe hata kama unauma, Upinzani wa Tanzania unanitia mashaka

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
174
211
Kiukweli nakua na wasi wasi sana juu ya upinzani wa Tanzania ni kweli wanataka dola au watoa taarifa kama alivyosema Makonda.

Kwasababu gani nina mashaka na upinzani kwanini wanatulazimisha kupiga kura hali ya kuwa mfumo uliokuwepo wa uchaguzi hauruhusu mpinzani kushika dola na wao wanalijua hilo.

Lakini kwanini watuaminishe kitu ambacho wanajua akiwezekani au wanatulazimisha kupiga kura hili kuisaidia serikali na CCM kuiaminisha dunia kama Tanzania kuna uchaguzi ili waendelee kupata misaada.

Kwanini nimesema mfumo uliokuwepo au ruhusu mpinzani kushika dola kwanza uchaguzi unasimamiwa na ccm, pili tume ya uchaguzi imeteuliwa na CCM, tatu vyombo vya dola vyote vinatii amri ya Amiri Jeshi Mkuu ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

Tatu refa lee wa pambano hilo ni CCM nne hata ikionekana refa lee katoa ma amuzi ambayo sio sahihi hamna hatua yoyote anayochukuliwa kisheria kwani sheria ya uchaguzi hiliokuepo inamlinda ccm wameweka kifungu ambacho kinasema matokeo ya urais hayapingwi kokote.

Kwanini waeke kifungu hicho kiujumla mambo yote yanayo uhusiana na uchaguzi wanapanga wao ccm sasa kwa mazingira haya upinzani utapitia wapi na haya niliosema viongozi wetu wa upinzani yote haya wanayajua lakini bado wanalazimisha watu wapige kura.

Nilikua naikubali chadema kwasababu hawakushiriki uchaguzi wowote wamarudio wakidai mfumo wa uchaguzi sio rafiki na mimi niliwapongeza sana kwa msimamo huo.

Na mpaka siku moja Mbowe alikuja Kariakoo kijiwe cha raha na mimi nikamuambia tunaipongeza chadema kwakususia chaguzi zote za marudio na nikamuambia sio uchaguzi wa marudio tu hadi kwenye uchaguzi mkuu muwe na msimamo huohuo.

Mwenyekiti Mbowe akanijibu kwakuniambia ndugu yangu Huseni kambi chadema hatuna misimamo yakuyumba yumba atuto shiriki uchaguzi wowote kwa mfumo huu cha ajabu.

Juzi nimemsikia kiongozi muandamizi wa chadema akisema watashiriki uchaguzi mkuu ushahidi wa mahojiano yangu mimi na Mbowe.

Nenda YouTube andika neno hili mwanachama wa ACT amuuliza swali Mbowe basi utaona leo chadema imegeuka.

Ndiyo maana nikasema nina mashaka na Wapinzani wa Tanzania na mimi nasema kwa mfumo huu ukiendelea kutumika sitopiga kura na nitamshawishi yoyote anaye niamini asipige kura
 
Mkuu ungana na sisi wananchi tulioamua kutoshiriki chaguzi za kishenzi. Hivyo vyama viendelee kushiriki huo uhuni, watakapoona wananchi hatushiriki uhuni hapo titakuwa na nguvu ya kuleta mabadiliko ya kweli.
Hilo halina shaka kuhusu kupiga kura kwa mfumo huu wa chama kimoja halafu tunaongopewa Tanzania inamfumo wa vyama vingi watapiga kura wao wenyewe na machawa wao
 
Wakisusa si ndiyo tunarudi kwenye mfumo wa chama kimoja tena yaani tunarudi nyuma miaka 30.
Bora ijulikane tunaongozwa na mfumo wa chama kimoja kuliko kutolewa akili kwani hivi sasa atupo kwenye mfumo wa chama kimoja kwasababu kwa sheria hii ya uchaguzi hata kama tuta shiriki uchaguzi miaka 1000 ccm haiwezi kushindwa hata kama mpinzani atapata kura za watanzania wote kwa mfumo huu bado ccm itatangazwa imeshinda sasa si bora ijulikane moja kwamba Tanzania hakuna vyama vingi kuliko kupangana kwenye foleni jua mvua letu halafu matokeo yanajulikana huoni kama huko nikufanywa mazuzu kushiriki uchaguzi kwa mfumo huu ni sawa sawa na kuhalalisha haramu kua halali
 
Mkuu ungana na sisi wananchi tulioamua kutoshiriki chaguzi za kishenzi. Hivyo vyama viendelee kushiriki huo uhuni, watakapoona wananchi hatushiriki uhuni hapo titakuwa na nguvu ya kuleta mabadiliko ya kweli.
Kumbuka kwa katiba ya Tanzania, mshindi wa uchaguzi ni anayepata kura nyingi. Yaani kama waliojiandikisha kupiga kura ni watu 10,000 ila siku ya uchaguzi wakapiga kura watu 7 tu kati ya 10,000, hapo tutampata Rais au Mbunge kwa kupata kura 4 tu.
 
Mkuu hata akipiga kura mtu mmoja acha awe rais, lakini hatuna muda wa kupoteza kwenda kupanga mstari kisha kura zetu kuchezewa. Sio lazima kupata viongozi kwa njia ya kura isiyoheshimiwa. Kuna njia nyingi sana za kupata viongozi, ila hiyo njia ya kura ndio ya kistaarabu na sahihi. Lakini kama haiheshimiwi ni vyema kutumia njia nyingine bila kujali madhara yake.
 
Mkuu ungana na sisi wananchi tulioamua kutoshiriki chaguzi za kishenzi. Hivyo vyama viendelee kushiriki huo uhuni, watakapoona wananchi hatushiriki uhuni hapo titakuwa na nguvu ya kuleta mabadiliko ya kweli.
Mkuu Tindo, nilikua na mawazo km yako lkn kila nikiangalia kwa majirani zetu sijaona sehemu watawala wamewahi kukubali mifumo bora ya uchaguzi mpaka wawe disturbed na kura za hasira ndo reformation hufanyika,so kuzira kupiga kura sio suluhisho la mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi.Natamanisiku watz waamue kupiga kura za hasira kwa wingi wetu ndipo tutakapopata tukitakacho.Ref 2019 serikali za mitaa umeona watawala wakitishika!?.
 
Hivi bado Kuna mtu mwenye akili timamu anashiliki chaguzi za nchi hii? Kama bado wapo, nachelea kusema nchi hii ina kiwango kikubwa Cha wapumbavu.

Tanzania hakuna uchaguzi bali ujinga wa mtu mweusi unajidhihirisha kupitia sanduku la Kura.

Kama taifa tumeshindwa jambo ndogo kama la kuratibu uchaguzi huru na haki,tutaweza kweli kuleta mageuzi makubwa ya kisiasa,kijamii, kiuchumi na sayansi na teknolijia.
 
Kiukweli nakua na wasi wasi sana juu ya upinzani wa Tanzania ni kweli wanataka dola au watoa taarifa kama alivyosema Makonda.

Kwasababu gani nina mashaka na upinzani kwanini wanatulazimisha kupiga kura hali ya kuwa mfumo uliokuwepo wa uchaguzi hauruhusu mpinzani kushika dola na wao wanalijua hilo.

Lakini kwanini watuaminishe kitu ambacho wanajua akiwezekani au wanatulazimisha kupiga kura hili kuisaidia serikali na CCM kuiaminisha dunia kama Tanzania kuna uchaguzi ili waendelee kupata misaada.

Kwanini nimesema mfumo uliokuwepo au ruhusu mpinzani kushika dola kwanza uchaguzi unasimamiwa na ccm, pili tume ya uchaguzi imeteuliwa na CCM, tatu vyombo vya dola vyote vinatii amri ya Amiri Jeshi Mkuu ambaye ni mwenyekiti wa CCM.

Tatu refa lee wa pambano hilo ni CCM nne hata ikionekana refa lee katoa ma amuzi ambayo sio sahihi hamna hatua yoyote anayochukuliwa kisheria kwani sheria ya uchaguzi hiliokuepo inamlinda ccm wameweka kifungu ambacho kinasema matokeo ya urais hayapingwi kokote.

Kwanini waeke kifungu hicho kiujumla mambo yote yanayo uhusiana na uchaguzi wanapanga wao ccm sasa kwa mazingira haya upinzani utapitia wapi na haya niliosema viongozi wetu wa upinzani yote haya wanayajua lakini bado wanalazimisha watu wapige kura.

Nilikua naikubali chadema kwasababu hawakushiriki uchaguzi wowote wamarudio wakidai mfumo wa uchaguzi sio rafiki na mimi niliwapongeza sana kwa msimamo huo.

Na mpaka siku moja Mbowe alikuja Kariakoo kijiwe cha raha na mimi nikamuambia tunaipongeza chadema kwakususia chaguzi zote za marudio na nikamuambia sio uchaguzi wa marudio tu hadi kwenye uchaguzi mkuu muwe na msimamo huohuo.

Mwenyekiti Mbowe akanijibu kwakuniambia ndugu yangu Huseni kambi chadema hatuna misimamo yakuyumba yumba atuto shiriki uchaguzi wowote kwa mfumo huu cha ajabu.

Juzi nimemsikia kiongozi muandamizi wa chadema akisema watashiriki uchaguzi mkuu ushahidi wa mahojiano yangu mimi na Mbowe.

Nenda YouTube andika neno hili mwanachama wa ACT amuuliza swali Mbowe basi utaona leo chadema imegeuka.

Ndiyo maana nikasema nina mashaka na Wapinzani wa Tanzania na mimi nasema kwa mfumo huu ukiendelea kutumika sitopiga kura na nitamshawishi yoyote anaye niamini asipige kura
Unakutia mashaka wewe kama nani? Mwekezaji au dalali? Tueleze mashaka kwenye lipi ili twende pamoja.
 
Wapinzani wanakulazimisha kupiga Kura Hali ya kuwa mfumo uliopo hauruhusu kushika dola?

Sasa hapo tatizo ni la Nani, Mpinzani au ww unayelazimishwa kupiga Kura Hali ya kuwa unajua wapinzani hawawezi kushika dola!?
 
Back
Top Bottom