Ukweli mchungu: CCM haikutupora viwanja tu, CCM imetupora wananchi uhuru wetu, haki na usawa!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Kumtaka Rais kutoka CCM aingilie swala la wizi na uporaji wa mali za wananchi uliofanywa na CCM, chama ambacho hakioni aibu kumiliki mali hizo, ni ndoto za Alnacha.

Rais ni zao la chama hicho na anaingia madarakani baada ya kuwaridhisha waporaji wenzake ndani ya chama hicho kuwa atalinda na kutetea hizo sera za uporaji na dhulma.

CCM imejengwa kwenye misingi ya dhulma na ndio maana nguvu kubwa mno hutumika kuhakikisha Katiba itakayolinda uhuru wetu, haki na usawa katu haipatikani.

Kwa sababu hizo CCM haioni aibu kutumia mihimili ya dola na vyombo vya dola kung'ang'ania madaraka kwani inaamini hivyo ni vyombo vyake halali na ina haki kuvitumia.

Ndugu zangu tuache utani na tuukabili ukweli hata kama unauma kiasi gani, CCM haimiliki viwanja tu na serikali, CCM kwa sasa inatumiliki sisi wananchi, uhai wetu na mali zetu.

CCM ndio pekee inaamua wananchi tuishi vipi na wapi ndani ya taifa letu, tumiliki nini na tuseme nini kwa wakati gani. CCM imepora ardhi yote Tanzania na vyote vilivyoko chini na juu yake.

Nashangaa watu wanahoji viwanja kuporwa na CCM, je yaliyokuwa Majengo ya umma? Mashirika ya umma? Taasisi za umma? Magari ya umma? CCM ndiyo SMB (Serikali, Mahakama na Bunge)

La kusikitisha ni kwamba wale walioporwa mali zao, uhuru wao na haki zao wote kwa pamoja wanaonekana kuridhika na hali hiyo na kwa pamoja wimbo unaotesa hivi sasa ni kazi iendelee!

KIla baada ya miaka mitano au kumi, mamlaka yanaporwa na watu wale wale, chama kile kile, akili zile zile, uongo ule ule ila vinavyobadilika ni sura, rangi, kanda, dini na inapolazimu jinsia. Inasikitisha!

Ndugu zangu adui wa taifa letu si mwingine bali CCM. Nawatakia Jumanne njema.
 
CCM hawajawahi kuwapenda Watanzania, angalia Bunge limejaa vilaza watupu....hakuna cha maana kinachojadiliwa mle
 
Kwa sasa hiyo ccm unayoisema, inashirikiana na boss wenu kurudisha jitihada zenu za katiba nyuma. Toka aalikwe kilingeni hatusikii tena mshike mshike wa kudai katiba kupitia kinywa chake kama ilivyokuwa hapo mwanzo kabla ya kulambishwa kijiko cha sukari.

Screenshot_20220605-165724.jpg
Screenshot_20220605-082514_1.jpg
Chawa mtaendelea kumtafuta mchawi mnaemfuga wenyewe ndani kwenu. Mwamba tuvushe... mitano tena utake usitake, ili raisi wetu mpendwa aendelee kuwa na amani 😂😂😂
 
CCM hawajawahi kuwapenda Watanzania, angalia Bunge limejaa vilaza watupu....hakuna cha maana kinachojadiliwa mle
Ndugu yangu bungeni hakuna wawakilishi wa wananchi, wapo wawakilishi wa CCM, full stop.
 
Kwa sasa hiyo ccm unayoisema, inashirikiana na boss wenu kurudisha jitihada zenu za katiba nyuma. Toka aalikwe kilingeni hatusikii tena mshike mshike wa kudai katiba kupitia kinywa chake kama ilivyokuwa hapo mwanzo kabla ya kulambishwa kijiko cha sukari. Chawa mtaendelea kumtafuta mchawi mnaemfuga wenyewe ndani kwenu. Mwamba tuvushe... mitano tena utake usitake. Ili raisi wetu aendelee kuwa na amani 😂😂😂
Ndugu yangu nafikiri hapa umechanganya kidogo au umepoteza kumbukumbu. Pitia historia yngu toka nijiunge na JF miaka zaidi ya kumi iliyopita halafu uniambie huyo bosi wangu ni nani! Nadhani tatizo ni kulemazwa akili kwa kukariri mambo. Siko huko unakokusema, naongea kama Mtanzania huru mwenye uchungu na taifa langu, period.
 
Kumtaka Rais kutoka CCM aingilie swala la wizi na uporaji wa mali za wananchi uliofanywa na CCM, chama ambacho hakioni aibu kumiliki mali hizo, ni ndoto za Alnacha.

Rais ni zao la chama hicho na anaingia madarakani baada ya kuwaridhisha waporaji wenzake ndani ya chama hicho kuwa atalinda na kutetea hizo sera za uporaji na dhulma.

CCM imejengwa kwenye misingi ya dhulma na ndio maana nguvu kubwa mno hutumika kuhakikisha Katiba itakayolinda uhuru wetu, haki na usawa katu haipatikani.

Kwa sababu hizo CCM haioni aibu kutumia mihimili ya dola na vyombo vya dola kung'ang'ania madaraka kwani inaamini hivyo ni vyombo vyake halali na ina haki kuvitumia.

Ndugu zangu tuache utani na tuukabili ukweli hata kama unauma kiasi gani, CCM haimiliki viwanja tu na serikali, CCM kwa sasa inatumiliki sisi wananchi, uhai wetu na mali zetu.

CCM ndio pekee inaamua wananchi tuishi vipi na wapi ndani ya taifa letu, tumiliki nini na tuseme nini kwa wakati gani. CCM imepora ardhi yote Tanzania na vyote vilivyoko chini na juu yake.

Nashangaa watu wanahoji viwanja kuporwa na CCM, je yaliyokuwa Majengo ya umma? Mashirika ya umma? Taasisi za umma? Magari ya umma? CCM ndiyo SMB (Serikali, Mahakama na Bunge)

La kusikitisha ni kwamba wale walioporwa mali zao, uhuru wao na haki zao wote kwa pamoja wanaonekana kuridhika na hali hiyo na kwa pamoja wimbo unaotesa hivi sasa ni kazi iendelee!

KIla baada ya miaka mitano au kumi, mamlaka yanaporwa na watu wale wale, chama kile kile, akili zile zile, uongo ule ule ila vinavyobadilika ni sura, rangi, kanda, dini na inapolazimu jinsia. Inasikitisha!

Ndugu zangu adui wa taifa letu si mwingine bali CCM. Nawatakia Jumanne njema.
Upinzani uchwara umekwamisha maendeleo kwa miaka mingi Sana hakuna kinachofanywa na serikali ya CCM mkakiunga mkono na wakati huo umezaliwa umeikuta CCM na unaishi kwa Aman na utulivu
 
Hiki chama ni bora kingehamishia shughuli zake Kenya kwa Manyang'au wenzao. Hakijawahi kuwa na uchungu na wananchi wa nchi hii ya kusadikika.
 
umenena ukweli mtupu mkuu CCM NI JANGA LA TAIFA HILI MAJIZI
 
Wanachotofautiana katika uongozi ni mbinu tu inayotumiwa lakini lengo likiwa ni lile lile...uporaji. Kuna wanaoiba wazi wazi, wapo wanaoiba eti kisayansi, wapo wanaodhulumu kwa kunyang'anya na wapo panya wanaouma na kupuliza. Tatizo hawa wote dawa yao ni Katiba na hawako tayari kukata tawi walilolikalia, kwa hakika inasikitisha!
 
Upinzani uchwara umekwamisha maendeleo kwa miaka mingi Sana hakuna kinachofanywa na serikali ya CCM mkakiunga mkono na wakati huo umezaliwa umeikuta CCM na unaishi kwa Aman na utulivu
Upinzani umekwamishaje maendeleo, ikiwa CCM inamiliki kila kitu.

Anzia Ikulu, TISS, Majeshi, Mahakama, Bunge, Baraza la mawaziri, Benki kuu, Hazina, Taasisi zote,

hadi Ardhi yetu iko chini ya mwenyekiti wa CCM.

CCM inamiliki pia sehemu kubwa ya wananchi wa tanzania.

CCM hiyo hiyo kwa nyakati mbalimbali imeukamata Upinzani na kuuweka kiganjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu nafikiri hapa umechanganya kidogo au umepoteza kumbukumbu. Pitia historia yngu toka nijiunge na JF miaka zaidi ya kumi iliyopita halafu uniambie huyo bosi wangu ni nani! Nadhani tatizo ni kulemazwa akili kwa kukariri mambo. Siko huko unakokusema, naongea kama Mtanzania huru mwenye uchungu na taifa langu, period.
Ukitaka kumjua chawa angalia aina ya thread zake na ID za wale wanao support thread zake. Hapa nina maana kuwa waleta thread za uchawa miezi au miaka yote ni wale wale, na wanao support thread hizo pia ni wale wale.
 
Nakuomba sana tena sana uzingatie jambo moja nalo ni kwamba hii ni Jamii Forums. Kaulimbiu ya Jamii Forims toka nijiunge hadi leo ni kumkoma nyani giledi bila kumtazama uso.

Sijui watu kama wewe mnapataje ujasiri wa kujiunga na forum hii kama, ili uunge mkono hoja, la kwanza ni kuangalia mtoa hoja ni nani. Huu upumbavu ndio umetufikisha hapa tulipo kama taifa...unafiki.

Hoja hujibiwa kwa hoja na sio viroja. Nachukua nafasi leo ya kutoa ombi kwako rasmi uniweke katika ignore list yako kama uwezo wako unaishia kutazama sura ya mleta hoja na si hoja yake.

This is a forum for Great Thinkers, nothing less and nothing more. Chawa kama wewe ndio hao waliolihatamia bunge kusifu kila linaloletwa mbele yao bila kupima uzito wa hoja. Sikubali JF kuwa kokoro linalozoa tu.

Nitaisifu Chadema au CCM kama wana hoja na kama kwa kufanya hivyo kutanipunguzia sifa ya uzalendo wangu so be it! Ukweli ni kuwa CCM haijawahi kuwa na mbadala na inahakikisha haiwi na mbadala, huo ni udhaifu mkubwa.

Mimi TANU ilinikuta, CCM ilinikuta, Chadema na vyama vyote vya siasa vilinikuta. Ukweli mchungu ni kwamba pamoja na kunikuta, uwezekano wa mimi kuondoka na kuviacha ni mkubwa! They can surely outlive me!

Baba wa Taifa Mwalumu Julius Kambarage Nyerere aliiasisi CCM lakini aliondoka akaiacha. Hata hivyo kuna wakati alisema bila kumung'unya maneno Kwamba CCM si mama yake na hata hiyo kadi anaweza kuitupa.
 
Upinzani umekwamishaje maendeleo, ikiwa CCM inamiliki kila kitu.

Anzia Ikulu, TISS, Majeshi, Mahakama, Bunge, Baraza la mawaziri, Benki kuu, Hazina, Taasisi zote,

hadi Ardhi yetu iko chini ya mwenyekiti wa CCM.

CCM inamiliki pia sehemu kubwa ya wananchi wa tanzania.

CCM hiyo hiyo kwa nyakati mbalimbali imeukamata Upinzani na kuuweka kiganjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ni takataka kabisa
 
bla bla bla... umezaliwa umeikuta CCM na unaishi kwa Aman na utulivu
I wish you knew...lakini ni kawaida ya watu wasiojua kuwa hawajui. Nasita kukuweka kundi unalostahili. CCM kwa kweli imewalemaza Watanzania, uwezo wa kufikiri na kutafakari ni sifuri. Eti nimeikuta CCM...pole!
 
Taratibu tutaelewana tu lakini ukweli unabaki pale pale kuwa adui nambari wani wa taifa letu ni CCM. Dawa ya CCM ipo lakini kama wasemavyo wahenga sikio la kufa halisikii dawa.

CCM inatupeleka jehanum na sisi kama kondoo tunafuata tu, kama vipofu hatuoni, kama viziwi hatusikii na kama wafu hatuna hisia na hatusikii tena uchungu wa mwili, masikini Tanzania!
 
Back
Top Bottom