Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,051
- 653
Hiyo ya Beberu kali nayo
unanuka km beberu
unatisha km mzimu.
unanuka km beberu
unatisha km mzimu.
mbegu ya kizungu ulishapata? Wewe unaonekana unadeka sana_nilikwambia nikupe chotara wa kitus hujajibuMi mwanaume anayenisifia sifia huwa ananikera!!
ndo manake..swala asi ukweli bwana pasipo kuchek pande ya pili itajifil vp...heee unamshushia km ilivyo ee bwana ur looking similar to monster...sema tu nimekupensa bt napata ukakasi juu ya watoto utakaonisababishia..!Hiyo ya Beberu kali nayo
unanuka km beberu
unatisha km mzimu.
mwee mwee.....duh....hii kali....hapo utakuwa umemmaliza kabisa.....japo wengine samtaim wananukaga kama beberu....unakoma mwenyewe halafu ndio la aziz
Halafu na ubeberu huo unakuta linataka ulilambe mpaka miguu.... Chaaaai ova my dead body oooh!
Kwani wewe utakua umempendea nn? Kama sio huo ubeberu wake?Halafu na ubeberu huo unakuta linataka ulilambe mpaka miguu.... Chaaaai ova my dead body oooh!
madam....keduu.....linataka ulilambe miguu?.....chifyakwaaa....mmbanu......
Hata cku moja ubeberu hauhusu shurti mtu awe msafi mambo ya fumes za ajabu ajabu nop!Kwani wewe utakua umempendea nn? Kama sio huo ubeberu wake?
Odinma my dia, I tell u tufyakwa indeed!
Kiranja Mkuu said:wenzetu wameumbwa na haya ndio maana ukimwambia you are so sexy atafurahi kuliko kumwambia umekaa kihamu hamu.
Ukitumia lugha ya Kiswahili maneno yanakuwa yanachoma sanaKwa hasiefahamu kimombo utamwambia kwa lugha ipi? (ninaongelea wanawake wa kiTZ)
Kiranja Mkuu said:wenzetu wameumbwa na haya ndio maana ukimwambia you are so sexy atafurahi kuliko kumwambia umekaa kihamu hamu.
Ukitumia lugha ya Kiswahili maneno yanakuwa yanachoma sanawanawake wengi wa ki TZ wanajua kimombo siku hiziKwa hasiefahamu kimombo utamwambia kwa lugha ipi? (ninaongelea wanawake wa kiTZ)
kwa kweli kwa ambao hatujui kimombo mmhh ndo balaa tu tunaambiwa lugha hiyo hiyo ya kiswahili lakini hayo maneno sasa..
1."nikinywa maji ni sura yako tu kwenye glass"
2."dada we unanionea sana hata kwa Mungu ni dhambi jinsi unavyo ni nyima kwani hujui we ni ubavu wangu wapili, umeumbwa kwa ajili yangu"
3."sili si lalali nauwaza tu huo uzuri wako"
4."mmhhh aliye kuumba kakupendelea aliye kuzaa nampa hongera"
mmhh maneno ni mengi sana nahitaji ukurasa mzima kukuandikia
ya sisi ambao kimombo kinachemsha kidogo...
mbegu ya kizungu ulishapata? Wewe unaonekana unadeka sana_nilikwambia nikupe chotara wa kitus hujajibu
ha ha....haya bana...unapost na mobile upo chimbo gani leo?
Kiranja Mkuu said:wenzetu wameumbwa na haya ndio maana ukimwambia you are so sexy atafurahi kuliko kumwambia umekaa kihamu hamu.
Ukitumia lugha ya Kiswahili maneno yanakuwa yanachoma sanawanawake wengi wa ki TZ wanajua kimombo siku hizi
kwa kweli kwa ambao hatujui kimombo mmhh ndo balaa tu tunaambiwa lugha hiyo hiyo ya kiswahili lakini hayo maneno sasa..
1."nikinywa maji ni sura yako tu kwenye glass"
2."dada we unanionea sana hata kwa Mungu ni dhambi jinsi unavyo ni nyima kwani hujui we ni ubavu wangu wapili, umeumbwa kwa ajili yangu"
3."sili si lalali nauwaza tu huo uzuri wako"
4."mmhhh aliye kuumba kakupendelea aliye kuzaa nampa hongera"
mmhh maneno ni mengi sana nahitaji ukurasa mzima kukuandikia
ya sisi ambao kimombo kinachemsha kidogo...
Hapo kwenye italic umenikumbusha zile staili zilipenwa, kama za usiku silali nakuota wewe tu ( sasa sijui mtu unaweza ota bila kulala)
mwee mwee.....duh....hii kali....hapo utakuwa umemmaliza kabisa.....japo wengine samtaim wananukaga kama beberu....unakoma mwenyewe halafu ndio la aziz
Hata cku moja ubeberu hauhusu shurti mtu awe msafi mambo ya fumes za ajabu ajabu nop!
madam....keduu.....linataka ulilambe miguu?.....chifyakwaaa....mmbanu......