Ukweli kuhusu WANAWAKE

Unaonekana una chuki sana na madume ya mbegu
wanawake tulishawaelewa wanume,in short mi hata sifa sizihitaji kama nakuhitaji nitakukubali otherwise we imba,sifia,nunua chochote,nipeleke popote sina time na wewe.msisahau pia uwezo wa kudanganya si suala la jinsia ya kiume pekee,tuna uwezo wa kudanganya mara 50 ya wanaume,na uongo wetu ni mkubwa na mbaya na usioweza gundulika hadi siku ya ufufuo.....so it goes both way,usijione we kinara kumbe hujui na ukijua yaweza kuwa mwanzo wa safari yako kuelekea kuzimu.
 
madam....keduu.....linataka ulilambe miguu?.....chifyakwaaa....mmbanu......

Preta sometimes muwe mnafikiriaga watu tupo makazini tutakuja kufukuzwa kazi huku na mbavu nazo zimevunjika mwe! maana mtu kicheko kinakutoka ghafla lol
 
quote_icon.png
Originally Posted by Preta
madam....keduu.....linataka ulilambe miguu?.....chifyakwaaa....mmbanu......

KWELI PRETA UMEAMUA. MBONA MI MAMA WATOTO ALINIAMBIA HAFIKI KILELENI HADI NIMLAMBE KWAPA? NA MIMI KWELI HUWA NALILAMBA LILIWA KWENYE HALI YOYOTE, IWE SAVANNA AU JANGWA
 
Mi naona kuna conflict kati ya wanaume na wanawake, wanachukiana na wanawindana ile mbaya

Na hii chuki na kuwindana kati ya wanawake na wanaume ilianza tangu adam na eva na haitaisha hata kurejea kwa Yesu. Hata ndani ya ndoa, huwa kuna incessant search for an opportunity to do, discover or create evil against the other partner. We acha tu. Kama isingekuwa kiuno changu kinachokuwa full charge all the time, nisingemgusa mwanamke in life. LOVE AND HATE ARE ONE
 
hahahah kwa kweli ...
kuna vita za Israel na Palestine kila mahali ..
mmmmhhh hi hatari...
 
Nipo wangu si unajua tena lazima kila kitu kiende sawa...karibu Xmass tusherekee!!

vizuri ...
mmhhh mi siji mpaka uniambie umeniwekea zawadi gani chini ya hiyo x-mass tree..
hahahhah lol
Nway i wish u a very wonderful x-mass.... and the best of the best for 2011...
 
vizuri ...
mmhhh mi siji mpaka uniambie umeniwekea zawadi gani chini ya hiyo x-mass tree..
hahahhah lol
Nway i wish u a very wonderful x-mass.... and the best of the best for 2011...
Mi zangu ni suprise tu!
The same to you:party:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom