Ukweli kuhusu WANAWAKE

Si ndio kama hivyo wake kwa waume ni kuangaliana tu, sema tamaa zao za mwili ndio hufanye wasogeleane kwa muda usiozidi saa moja


hahahahahaha lol Humphnicky wewe......
mmmhhh saa moja tu.... hii kwangu ni mpya...
lakini hii hai apply kwa wanawake na wanaume wote au vipi??
 
Hapo kweli umejoba ndugu yakngu lekanjobhe.
Yaani hebu angalia, ukienda lunch na dada mfanyakazi mwenzako atataka bills ulipe wewe wakati naye ana pesa zake mfukoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom