EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Speaking of which....juzi juzi tu hapa kuna watu wamemlawiti jamaa ambaye inadaiwa alikuwa anatoka na mke wa mtu.
Sasa hao waliomlawiti sijui watashitakiwa kwa makosa gani maana nimesikia baadhi wamekamatwa.
Tuone kama watashitakiwa chini ya hiyo sheria ya ushoga!
Lakini wapo baadhi ya Watanzania wanaopinga vikali ushoga na vitendo vyake lakini walikuwa mstari wa kuunga mkono matendo aliyofanyiwa yule mtu.